Akifumaniwa au kufumaniwa afanyeje?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
8,173
11,582
Kwa uchache,

Fumanizi ni miongoni mwa matikio ya aibu na fedheha, ghadhabu, hasira na uchungu sana kwa wahusika.

Hamu ya tendo inawakata kabisa, nguvu zinawaishia, sauti zinawakatia hazitoki vizuri, maneno yanawaisha ya kusema.

Kiufupi wahusika wanakua kama wameparalyese hivi. Wanakua mabubu na vibogoyo.

Wengine hutetemeka kama vibration ya kiswaswadu au mashine ya kufyatulia tofali za cement.

Pole sana waliowahi kupitia kadhia na dhahama hii ngumu na nzito sana kwenye jamii.

Eeehhe ndugu yetu, hebu tupe na utushirikishe uzoefu ilikuaje na ulitokatokaje kwenye mkasa huo?

Na wale ambao walinusurika mlichomokaje salama?

Na kwa ujumla, jambo hili sio jema na wala soi zuri. USIFANYE HILI, TOSHEKA NA ULICHONACHO.

Lakini hata pamoja na kukanyana, huwezi jua, mambo ni mengi. Kuna wakati bila kujua unaweza kuteleza bila kutarajia ukajikuta umefumaniwa pia...

Hebu toa nasaha na ushauri afanye nini akinaswa kwenye zogo hili la KUFUMANIA au KUFUMANIWA?

IMG_20231101_084655.jpg
 
Hivi narudi kutoka lindo naenda kumfumania mke wangu nilisikia aliingiza mtu jana saa 2 usiku na lijamaa nasikia bado halijatoka bado linamkamua hadi visivyo kamulika
 
Usiku umeota umefumaniwa nini
Hapana sijaota. Kufumaniana kupo. Hutokea na huendelea kutokea ktk jamii. Si jambo zuri. ni vizuri kujiahadhari nalo na walau kujua namna ya kujinasua ukinasa apo.
 
Kufumaniwa kupo ila mpaka ufumaniwe kuna kauzembe flani muhuni umefanya!

Kabla ya fumanizi
Jitahidi usipige show kwenye geto la manzi, kama ni mke wa Mtu usimle kwenye nyumba wanayoishi na mme wake tengeneza mazingira kamtafunie mbali kidogo!

Fumanizi zingine hupangwa ili upigwe pesa either mwanafunzi au mke wa Mtu, Cha kufanya mpange pa kukutana peleka guest ambayo unakua ushampanga mapema ila ukifika hapo guest chukua simu yake Zima, Zima ya kwako badilisha location haraka sana kamtanie kwingine

Usitumie boda boda mnaefahamiana wanachomeshaga hao

Wakati wa Fumanizi
Inapotokea ushafumaniwa Cha kwanza wahi kujisitiri kivyovyote vaaa hata bukta ya Chelsea 😁 kikubwa usitirike

Angalia reaction ya watu kivyovyote usioneshe unyonge, kama wapo kiashari we onyesha Shari mara mbili zaidi maana hapo unyonge sio solution tena

Huku uswahilini kwetu silaha ya kwanza ni kua peace na watu, silaha ya pili miguu, ya tatu una nn either panga, rungu. Ila Kwa hapa peace hamna tena tunaangalia option zingn kama Kuna upenyo toka speed Kali mwendo wa ngiri mkia juu

Kama Kuna uwezekano wa kumnusuru uliekua nae basi jaribu

Baada ya fumanizi
Mara nyingi hapa inategemea na reaction zilizotokea wakati wa Fumanizi kama hamna madhara bas tuombane MSAMAHA na fine ndogo ndogo zitahusika, kama madhara makubwa either ulipigwa hapo hamna maongezi tena kila mtu afe kivyake
 
🤣nimefurahishwa sana na luguha nyepesi na rahisi ya huku mtaani kwetu kabisa...

True,
nadhani sio kwenye fumanizi tu hata katika shari nyingine ni vizuri kua bold, ondoa unnyonge, take full control and authority ya yale Mazingira then analyze na ku-put on action, any possible altanative kwa wakati huo uweze kuji-uproot kwenye mkwamo huo.....
shukrani sana Mpaji Mungu
 
Kuna matokeo machache katika hilo

1. Kufariki kwa kipigo/heart attack

2. Kwenda jela kwa mauji

3. Kupata ulemavu wa kudumu kwa kipigo

4. Ndoa kusambaratika
 
Kuna matokeo machache katika hilo

1. Kufariki kwa kipigo/heart attack

2. Kwenda jela kwa mauji

3. Kupata ulemavu wa kudumu kwa kipigo

4. Ndoa kusambaratika
Aise,
kuiepuka ni muhimu sana hii kitu

lakini ndio ivo tena unaweza kusingiziwa kulingana na mazingira ulokutikana wakati huo,
what would you do
 
Back
Top Bottom