Watoto wadogo wa shule za msingi Msongola, Yangeyange na Msongola Mpya kata ya Msongola wilaya ya Ilala waishio Chakenge Richmond, na Yangeyange wamekuwa wakipata adha kubwa ya kutafuta elimu kwa kutembea kwa zaidi ya Km 15 kwenda katika shule za Msongola, Yangeyange na Msongola Mpya ambapo...