kufariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lighton

    TO wa mwaka 2006 kidato Cha sita anatrend mitandaoni baada kufariki 2020

    Huyu jamaa aliwahi kunifundisha Tuition pale kwa Demtatuzi( naye ni marehem) boma Kama unaenda msimbazi. jamaa alikuwa anafundisha physics na chemistry tu, alikuwa akisema hawezi kufundisha somo rahisi Kama pure mathematics😄 Alikuwa TO mwaka 2006, akaenda chuo pale UDSM akadisco(inasemekana...
  2. Nyankurungu2020

    Mambo yalianza kuhariba baada ya hawa Marais kufariki. Chuki na hasira vipo mioyoni mwa Watanzania

    Mpaka leo kuna hasira kubwa ndani ya mioyo ya Watanzania. Baada ya hawa viongozi kufariki.
  3. Donnie Charlie

    Pacha wajinyonga hadi kufariki baada ya kukorofisha na mama yao Pemba

    Watoto wawili wa kike, ambao ni mapacha wenye umri wa miaka 11 na wanafunzi wa darasa la tano katika Shule ya Kizimbani, wamekutwa wakiwa wamefariki baada ya kujinyonga. Tukio hilo limetokea katika Kijiji cha Kwale Mpona, Shehia ya Finya, Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba. Akizungumza na...
  4. M

    Nahisi wakati magufuli anakaribia kufariki alikuwa ametoa orders lakini watu flani walizizuia zisitekelezwe, ndio maana tulikuwa tunafichwa fichwa

    Kifo cha Magufuli tulifichwa fichwa sana hadi kilipotangazwa rasmi. Ni nini kilikuwa kinaendelea hadi tunafichwa kiasi hicho. Inaonekana kulikuwa kuna amri nzito sana alizitoa zitekelezwe lakini kulikuwa na watu walioshinikiza zisitekelezwe kwa kuwa na uhakika hawezi kurudi. waliotaka...
  5. K

    Chuki za Polepole kwa Samia kuwa rais zilianza zamani baada ya Magufuli kufariki

    Chuki ya Pole pole na genge lake inadhihirika zaidi leo hii kwa kuwa hakuna jinsi. Lakini niwakumbushe tu kulikuwa na mvutano kuhusu kuapishwa kwa Samia aliyekuwa Makamo wa Raisi kuwa Raisi baada ya kifo cha Raisi Magufuli. Cha kushangaza huyu anayejitambulisha kuwa ni mtetezi wa Katiba hakuwa...
  6. The Zanzibar Echo

    Trump kutumia Mamlaka ya Rais kutuma silaha Ukraine, vyanzo vinasema

    Rais Donald Trump kwa mara ya kwanza tangu arejee madarakani atatuma silaha nchini Ukraine chini ya mamlaka ya rais ambayo ilitumiwa mara kwa mara na mtangulizi wake, vyanzo viwili vya kuaminika vilisema siku ya Alhamisi, hatua inayopendekeza nia mpya ya rais katika kuilinda Ukraine. Kwa zaidi...
  7. The Zanzibar Echo

    Trump kutumia Mamlaka ya Rais kutuma silaha Ukraine, vyanzo vinasema

    Rais Donald Trump kwa mara ya kwanza tangu arejee madarakani atatuma silaha nchini Ukraine chini ya mamlaka ya rais ambayo ilitumiwa mara kwa mara na mtangulizi wake, vyanzo viwili vya kuaminika vilisema siku ya Alhamisi, hatua inayopendekeza nia mpya ya rais katika kuilinda Ukraine. Kwa zaidi...
  8. Ashampoo burning

    Iran na Israel: Kutoka Mabest hadi Maadui wa Kuuana

    Iran na Israel: Kutoka Mabeste Hadi Maadui Basi hebu nikusimulie hii stori kali – kama vile tupo vijiweni tunagawana kahawa ya jioni. Zamani hizi, kabla mambo hayajaharibika, Iran na Israel walikuwa kama mabest wa damu. Walishirikiana kwenye biashara, walipigiana tafu kwenye siasa, na walikuwa...
  9. Daby

    TANZIA Mbunge wa bunge la Kenya Charles Were apigwa risasi na kufariki

    Vyombo vya Kenya Jana usiku vilitoa habari ya kuuliwa kwa Mbunge Were aliyepigwa risasi na mtu aliyekuwa anayeendesha pikipiki. Tukio hili limetokea baada ya Mbunge huyu wa ODM kuliomba jeshi la polisi la Kenya kumpatia ulinzi kutokana na vitisho kutoka kwa watu wasiojulikana kwa wiki kadhaa...
  10. JanguKamaJangu

    Boti yawaka moto DRC, Watu zaidi ya 50 wahofiwa kufariki Dunia

    Boti ya mbao yenye injini iliyokuwa na abiria wapatao 400 imeshika moto na kupinduka kwenye Mto Congo karibu na mji wa Mbandaka Kaskazini Magharibi mwa nchi ya Congo, na kusababisha vifo vya watu wasiopungua 50. Kamishna wa Mto Congo Bwana Loyoko, aliambia Shirika la Habari la Associated Press...
  11. Kirchhoff

    Tanzia: Afisa Maendeleo ya Jamiii Ilala Bi Rhoda Mwanyangala apata ajali na Kufariki

    Jioni ya Tarehe 25/11/2024 imetuletea simanzi mara baada ya Mtumishi huyu Mwema atisa Maendeleo ya Jamiii Segerea Rhoda Mwanyangala kuaga dunia. Ajali hiyo ilitokea maeneo ya Luguruni akiwa kwenye bodaboda kurejea Nyumbani kwake mara baada ya Gari lililobeba wanafunzi kufeli break muda ambao...
  12. B

    Kwanini mara nyingi mwanamke anapotangulia kufariki mume naye huwa hachukui siku nyingi?

    Inashangaza mara nyingi mwanamke anapotangulia kabla ya mwanamme 👉Mwanaume huwa hadumu sana hii ni kwasababu zipi? 👉Lakini mwanaume akutangulie kuna possibility kubwa mwanamke akabaki Mifano halisi 👉 Mke wa Ephraim kibonde alipofariki kibonde alifuata mwaka uliofuata 👉Mzee Kigunge alianza...
  13. Yoda

    Kuna tatizo gani mke akiuza nyumba baada ya mume kufariki?

    Kwanini katika jamii huonekana jambo baya mke akiuza nyumba ya familia baada ya mume wake kufariki dunia? Nyumba kuuzwa huwa inaleta utata sana kuliko mali nyingine. Kama mwanaume amefariki halafu mke/mwanamke akaamua kuuza nyumba waliyokuwa wanaishi kwa sababu zozote zile upande wa wakwe huwa...
  14. W

    SI KWELI Kinyonga wakati wa uzazi wake hupasuka tumbo na kufariki

    Hivi ni kweli kwamba kinyonga akiwa anazaa hupanda juu ya mti na kujirusha chini hali inayopelekea tumbo lake kupasuka na kufariki?
  15. lugoda12

    Hatua za kufa au kufariki

    Hatua za kufa au kufariki Kila kiumbe kitakufa. Mwanadamu naye atakufa. Kila kiumbe kina hatua yake ya mwisho na ndipo kinafikia kukufa. Hakuna dawa ya kutokufa. Ila zipo njia za kupunguza kufa mapema. Kupiga kelele sana kunakafanya uzeeke mapema na kufa mapema. Kushangilia sana kunakufanya...
  16. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Ukisikia kua uyaone ndo haya sasa: Bhufakale dawa ya kuchelewa kufariki (kufa)

    Habari za Leo mabibi na mabwana. Mnamo 14/05/2024 tulimzika mzee mmoja kijijini kwetu jina (..) Mzee yule alikuwa amemuoa shangazi yangu Mimi. Chanzo Cha kifo chake ni ugonjwa wa kisukari uliodumu Kwa muda mrefu. Baada ya kuzunguka huku na huko na hospital mbalimbali kutafuta matibbu ya...
  17. Mchochezi

    Kumbukizi: Leo ni Miaka 21 tangu Marc Vivien Foe adondoke uwanjani na kufariki Dunia

    Tarehe kama ya leo miaka 21 iliyopita Dunia ilimpoteza kiungo mahiri wa Man City na timu ya Taifa ya Cameroun, Marc-Vivien Foe. Foe alidondoka uwanjani dakika ya 72 wakati wa mchezo wa Kombe la Mabara, kati ya Cameorun dhidi ya Colombia katika hatia ya nusu fainali ambapo michuano hiyo ilikuwa...
  18. PureView zeiss

    Handeni: Dereva wa Bodaboda agonga bundi na kufariki

    Afisa mifugo wilayani Handeni mkoani Tanga (Jina lake bado halijafahamika) amefariki dunia baada ya kumgonga ndege aina ya Bundi na pikipiki aliyokuwa akiendesha yenye namba za usajili STM 0232 . Ajali hiyo imetokea asubuhi ya leo Ijumaa, Mei 17 2024 eneo la Sindeni, Handeni jirani na kona ya...
  19. Mjuba og

    Tangu kufariki Askofu Kulola, Kanisa la EAGT uongozi wake wa juu umeshindwa kuliunganisha kanisa bali kusababisha matabaka

    Tangu alipofariki aliyekuwa muasisi wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania, Dr. Moses Kulola, uongozi uliopewa dhamana kuliongoza kanisa hilo umeshindwa kuliunganisha kanisa hilo badala yake wamekuwa ni viongozi wanaolisambaratisha kanisa kwa mpasuko, matabaka, ukabila na kwa...
  20. Kaka yake shetani

    Millard Ayo amejifunza nini kwa kilichotokea kwa mfanyakazi wake mpiga picha kufariki

    Nimeangalia clip ikionyesha boda boda wakilalamika kuhusu kukosa msaada muda mrefu kwa majeruhi ambaye ni mpiga picha wa office ya millard ayo. Je amejifunza nini kama nchi yake inaweza kurekebisha yale ambayo wale bodaboda wana lalamika kwenye tukio kuhusu msaada. Pia soma Zuchi Zuchero...
Back
Top Bottom