kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mambo ya kufanya yatayo leta mabadiliko

    Uchumi na Biashara kama tutatengeneza mifumo bora dhidi ya wafanya biashara wadogo (Machinga na mama ntilie) tunaweza kukuza uchumi wetu pamoja na biashara. Mfano Serikali inapo anzisha miji inapo tenga maeneo kwa ajili ya masoko, shule ,hospitali, vituo vya mabasi, nyumba za ibada nakazalika...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nina Noah, ni biashara gani niweze kufanya?

    Habar wakuu, kuna gari Aina ya noah zile za zamani, Sasa najiuliza ni biashara gani niweze kufanya ili niweze kupata pesa kwa kutumia hii gari... Kumbuka kwa usafiri kwa hapa Dar es salaam imekatazwa...naombeni mawazo yenu wakuu, na mungu atawabariki.., au kama kuna connection yoyote ile ya...
  3. JamiiForums Tanzania Cha kufanya baada ya kuachana na mpenzi wako

    Ukweli ni kwamba mkiachana. Sio kwamba mmeachana. Ni kama mme pumzishana Sasa akitokea ni mwanamke ameringa kabisa Cha kufanya 1. FUTA namba yake ya What's App asione Picha zako 2. Kama ulimfollow . Mu unfollow chap chap alafu mblock 3. Kama ulikua na mchongo una. Fanya, utaona pole pole...
  4. JamiiForums Tanzania Utapeli wa kisiasa wa CHADEMA: Robert Amsterdam hana leseni ya kufanya shughuli za uwakili Tanzania

    Shughuli za uwakili nchini Tanzania hufanywa kwa mujibu wa Sheria ya Mawakili (The Advocates Act) ambayo kimsingi, inatoa masharti, ikiwemo kuhudhuria shule ya sheria (Law School) na kisha kuapishwa na Jaji Mkuu baada ya kufaulu. Huyu Robert Amsterdam hana leseni ya kufanya shughuli za sheria...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kama sababu Kuu ya Yanga SC kufanya vibaya CAF CL ni Pre Season basi tuwaombe GSM watusajilie upesi huyu Mchezaji Pre Season ili Msimu ujao tutoboe

    Wapuuzi na Wanafiki wakubwa nyie yaani tokea Mwezi wa Saba ( 7 ) tena mwanzoni mlijua kuwa Mwezi Septemba mtacheza CAF CL kwanini hamkujiandaa vizuri na Kimkakati zaidi? Sasa hivi nikikutana tu na Mpuuzi anasema kuwa Kufungwa Kimoko ( cha Nguruwe ) Dar es Salaam na Kufungwa tena Kimoko ( cha...
  6. JamiiForums Tanzania Umewahi develop software ama kufanya chochote na window subsystem linux/WSL kama mbadala wa VM na dual boot?

    Huwa siwezi kutumia linux completely kwenye mashine yangu haiwezekani, hivyo huwa nafanya dual boot Kwa Linux na window 10, baada ya kuona mapungufu kadhaa ya VM, ila kuna kipindi Microsoft walitoa WSL ambayo ina version kadhaa nadhani zimefika mbili mpaka sasa. Hii inasifika kwa kuwa na uwezo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Udikteta Tanzania: Polisi ya Simon Sirro yazuia wanawake kufanya mazoezi ya Jogging

    My Take: Hii nchi inaendelea kuwa na mambo ya kishenzi mpaka inatia hasira. Nyie endeleeni kuwapush wananchi to the limit. Mwana kulitafuta mwana kulipata
  8. JamiiForums Tanzania SoC01 Njia Pekee ya Kuelekea mafanikio ni kufanya uwekezaji mkubwa katika ubongo wako vijana soma hii!

    Miaka kadhaa iliyopita nilipohitimu elimu ya Chuo Baba yangu yangu mzazi aliniita akaniuliza nikikupa milioni moja unaweza ukaifanyia nini ili uache kusubiri ajira! Kwaweli nilikosa jibu kwa muda ule nilikaa nimemuangalia tu, kisha nikamuomba anipe muda wa kutosha nimpe jibu, nilimwambia...
  9. JamiiForums Tanzania SoC01 Njia pekee ya kuelekea Mafanikio ni kufanya uwekezaji katika Ubongo wako Vijana

    Miaka kadhaa iliyopita nilipohitimu elimu ya Chuo Baba yangu yangu mzazi aliniita akaniuliza nikikupa milioni moja unaweza ukaifanyia nini ili uache kusubiri ajira! kwaweli nilikosa jibu kwa muda ule nilikaa nimemuangalia tu, kisha nikamuomba anipe muda wa kutosha nimpe jibu, nilimwambia...
  10. JamiiForums Tanzania Nimesaidia Serikali kupata 20M baada ya kuwachoma wakwepa kodi

    Habari wadau..! Kumbe kuwa usalama wa Taifa sio mpaka uajiriwe na wale watu. Mwaka huu nimejikuta tu nafanya kazi za wale jamaa pasipo kujua na kuisaidia serikali kupata 20M ambayo ilikuwa inapotea kama kodi baada ya kuwachoma wakuda fulani kwa serikali na kutiwa hatiani. Ila hawa waduanzi...
  11. JamiiForums Tanzania Eti Mbowe alitoa laki 6 kufadhili ugaidi. Seriously?

    Kabla ya Mbowe kusomewa mashtaka, watu waliipa Jamhuri "benefit of doubt" kwamba huenda ina ushahidi wa maana. Watu wakahisi labda Mbowe ana uhusiano na makundi ya kigaidi kama Al Shabab, Al Queda, Boko Haram etc na pengine anapeleka vijana huko kwa ajili ya mafunzo. Hayo ndio yalikua matarajio...
  12. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Unataka kusafiri nje kikazi au kufanya biashara? Zingatia yafuatayo;

    Maisha ya ajira nchini yamekuwa magumu lakini tambua Dunia ni kijiji. Ukiwaza kufanya kazi popote Duniani Ni tofauti na mtu anayewaza kufanya kazi popote Tanzania. Wapo watu wamehitimu shahada ya kwanza lakini awajui wanawezaje kuvuka vipi mpaka. Wapo wenye masters lakini ukiwauliza kuhusu...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyowaandaa wanawake wamchague mwanamke 2025, vyama pinzani navyo viruhusiwe kufanya siasa kupambana na huyo Mwanamke

    Rais ametangaza rasmi kwamba wanawake watakuwa na kazi yakumpata Rais mwanamke 2025 means kwa kauli hii amewaambia chama chake kwamba mgombe atakuwa mwanamke aidha yeye au mwanamke mwingine. Hii inatoa tafsiri ya wazi kwamba wanaume kwa upande wake awataruhusiwa kupambana na mwanamke...
  14. JamiiForums Tanzania Mambo gani ya fedheha umewahi kufanya kwasababu ya kufulia (kukosa Hela)?

    Pesa ni muhimu aisee, pesa hainunui Kila kitu ila inakamilisha mambo mengi sana, ikose ujue namaanisha nini. Nakumbuka kuna kipindi nlikuwa sina pesa nlikuwa nashindia kiazi utamu kilichochomwa, nashushia maji ya bombani, hicho kiazi ndio msosi wa siku nzima. Nimewahi kukaa na chaja ya...
  15. JamiiForums Tanzania SoC01 Afya: Unataka uanze kufanya mazoezi? Fuata hatua hizi...

    Ni matumaini yangu kuwa wote ni wazima wa afya. Leo napenda kuzungumzia juu ya afya, na katika afya nitajikita kwenye eneo la kufanya mazoezi ya mwili. Nimechagua eneo hili, kwani kuna vitu vingi binadamu anatakiwa kuvifanya karibia kila siku au mara moja moja ili kuimarisha afya yake. Kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanangu ana kimeo, napaswa kufanya nini?

    Habari wakuu, Naomba niende kwenye mada, mwanangu ana umri wa miaka minne,juzi ndio tumegundua kuna kinyama kimening'inia kwenye koo (kimeo). Na hili wazo la kumchunguza lilikuja baada ya kuwa na hali ya kukohoa mara kwa mara licha ya kuwa huwa tunampa dawa za kifua na kikohozi. Nimejaribu...
  17. JamiiForums Tanzania Muda aliodhania angebadili mtazamo wa viongozi na wa kuongoza nao umeisha bila kufanya hivo je kashindwa?

    Kikao cha watu saba baada ya Magufuli kutoweka duniani kilikuwa na maazimio yafuatayo 1. Bashiru pamoja ná wenzake wasichukuliwe hatua haraka maana wangezalisha bomu la wanaojua serikali in and out bali wafanyiwe demotion na wawe chini ya uangalizi Kwa miezi 4 2. Baraza la mawaziri alibadili...
  18. B

    JamiiForums Tanzania SoC01 Fahamu fursa ya kutumia bussiness whatsapp kufanya biashara

    nawasalimu wote katika jukwaa hili la JamiiForum Nitazungumzia bussiness whatsapp kama nyanja muhimu ya kujiingizia kipato Mtandao wa whatsapp umekuwa ukipata umaarufu kila kukicha kwasababu unakua kwa kasi kila siku Kutoka kwenye status za kuandika mpaka status za picha na video. Kutoka...
  19. JamiiForums Tanzania Tarehe 19 Septembe TP Mazembe ana Mechi ya Ligi, Dar Wanakuja Kufanya Nini?

    Kama kawaida. Nabii Demigod niko Mjengoni na Swali jingine. Ratiba LigiKuu Congo yaani LinaFoot imetoka leo. Inaonyesha kuwa TP Mazembe wanamchezo wa Ligi katika siku hiyo.? Je Simba wanacheza na TP Mazembe ipi? Kwanini Viongozi wa Simba wanapenda kuwa hadaa sana mashabiki wa Simba? Maana...
  20. JamiiForums Tanzania Kufanya Backup ni muhimu katika kulinda Data zako binafsi

    'Back up' ni hatua muhimu ya #UlinziWaData kwani humsaidia Mhusika kutunza taarifa zake muhimu ili akipoteza kifaa chake au kikiharibika aweze kuzipata taarifa hizo Kuna majukwaa mengi yanayotoa huduma ya Backup kama Google Drive, One Drive, Team Drive, iCloud, SugarSync, MyPCBackup, Dropbox n.k
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…