Tarehe 19 Septembe TP Mazembe ana Mechi ya Ligi, Dar Wanakuja Kufanya Nini?

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,250
15,116
Kama kawaida.

Nabii Demigod niko Mjengoni na Swali jingine.

Ratiba LigiKuu Congo yaani LinaFoot imetoka leo. Inaonyesha kuwa TP Mazembe wanamchezo wa Ligi katika siku hiyo.? Je Simba wanacheza na TP Mazembe ipi? Kwanini Viongozi wa Simba wanapenda kuwa hadaa sana mashabiki wa Simba?

Maana hapo mwanzo walidokeza kuwa wanaleta Timu kubwa kwenye Tamasha, ghafla bin Vuu wakatu-Suprise na TP Mazembe. Hakuna shabiki wa simba aliye amini huu mwaliko, ila inabidi tu kukubaiana na uamuzi kwakuwa thamani ya hisa za Wanachama hazija zidi zile za Muhindi ambazo hata nazo pia hazija fika kwenye akaunti rasmi ya klabu.

Je TP Mazembe ina kikosi kipana cha kutosha hata kuleta wachezaji wa ziada Dar?

Hiki ni kitendawili ambacho Simba imewaachia mashabiki.

(Ninafuatilia zaidi, nitarudi na taarifa rasmi_)
 
Ndugu unahangaika mno
 
Na siku hiyo hiyo tarehe 19, misukule ya utopolo ya kuokoteza itakuwa inacheza na Rivers United, mchezo wa marudiano wa kukamilisha ratiba
 
Simba inacheza na Mazembe"B",haya tulia Simba tutafanya jambo letu bila tatizo.
Tuje kwenu sasa,umeshasikia taarifa mpya kuhusu Rivers Utd walichowafanyia kuhusu mechi yao mtakaocheza nao pale kwa Mkapa?
 
Na siku hiyo hiyo tarehe 19, misukule ya utopolo ya kuokoteza itakuwa inacheza na Rivers United, mchezo wa marudiano wa kukamilisha ratiba
Umemsikia "Manara"? Amesema Mechi Inaisha Tarehe 12 hiyo ya Marudiano watawapeleka Yanga Princess. πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Unateseka ukiwa wap mkuu?
Nimetua Angoa kama masaa 2 yaliyopita nipo katika Jiji la Luanda. Niko Kwa Hotel inayoitwa Hotel Tropico.

Sio Mara yangu wa Kwanza katika hii Jiji. Ila Maisha ya Hapa ni gharama sana.
 
Tp Mazembe mechi yake ya ligi kama sijakosea ni tarehe 15 mwezi huu kisha atacheza tena tarehe 26 mwezi huu. Tarehe 19 hana mechi. Labda kama ratiba imebadilishwa
 
Nimetua Angoa kama masaa 2 yaliyopita nipo katika Jiji la Luanda. Niko Kwa Hotel inayoitwa Hotel Tropico.

Sio Mara yangu wa Kwanza katika hii Jiji. Ila Maisha ya Hapa ni gharama sana.
Tafuta hotel inaitwa Ritz, hutojuta, iko mbali kutoka hapo Luanda ipo kitongoji kinaitwa Calulo, kuna kila aina raha za hapa duniani. Almost 70 kilometres
 
CAF Official Clubs Ranking (5-year ranking)
Viwango vya club mwa miaka 5

1. Al Ahly
2. EspΓ©rance
3. Wydad Casablanca
4. Raja Casablanca
5. Zamalek
6. Mamelodi Sundowns
7. TP Mazembe
8. RS Berkane
9. Horoya
10. Etoile Sahel
11. Pyramids
12. Simba
13. AS Vita
14. Kaizer Chiefs
15. Enyimba
16. JS Kabylie

π“π”πˆπ“π€π…π”π“π„ π˜π€ππ†π€ 𝐒𝐀𝐒𝐀
17. Al Hilal
18. CS Sfaxien
19. MC Alger
20. Hassania Agadir
21. 1Β° de Agosto
22. Orlando Pirates
23. Coton Sport
24. CR Belouizdad
25. Al Masry
26. ES Setif
27. USM Alger
28. Zesco United
29. Nkana
30. Zanaco
31. El Nasr
32. FC Platinum
33. Rangers
34. Al Merreikh
35. JS Saoura
36. Lobi Stars
37. ASEC Mimosas
38. KCCA FC
39. DJoliba
40. Teungueth

ππˆπŒπ„π‚π‡πŽπŠπ€
41
42
43
44
45
46
47
48
49
50
ππ€πƒπŽ π’πˆπ–π€πŽππˆ π–π€ππŽ πŠπ–π„π‹πˆ
51
52
53
54
55
56
57
58
59
60
πŠπ‡π€π€π€π€π€ π–π€πŠπˆπ‡πˆπ’π“πŽπ‘πˆπ€ π‡π€π–π€ππŽ
61
62
63
64
65
66
67
68
69
πŒπ€π–π„π„π„ ππ€πƒπŽ 𝐓𝐔??
70. Young Africans
 
Wewe jamaa acha uongo Kaizer chiefs, as vita na Kabylie wapo juu ya Simba na pia Enyimba na Simba wapo sawa sawa point wote wana point 24. Kabylie ni wa 12 ana point 28, As vita ni wa 13 anapoint 26, Kaizer chiefs ni ya 14 inapoint 25. Enyimba ni ya 15 na Simba ni ya 16. Hiyo nduyo rank official ya CAF. Yanga ni ya 7 kutoka mwisho.
 
Haina haja ya kurekebisha kama fulani anabaki pale pale wa 7 kutoka mkiani
 
Back
Top Bottom