kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mapinduzi Day na DW: Mazungumzo Baada ya Kufanya Kipindi

    Imekuwa kawaida vyombo vinapokuja kunihoji kuhusu masuala ya historia wale wanaonihoji husikia historia ambazo hawakupata hata siku moja kuzisikia wala hawakusomeshwa si shule ya msingi, sekondari au chuo kikuu. Basi tunapomaliza mahojiano huwa wananiuliza maswali mengi sana kiasi husema kuwa...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mambo ambavyo mwanaume unatakiwa kufanya au kutofanya

    Kwema wakuu Kuna mambo ambavyo mwanaume unatakiwa ufanye na mengine usifanye 1. Mwanaume hutakiwi kurudiana na mwanamke aliyekucheat. 2. Mwanaume hutakiwi kumpa mtu mkono ukiwa umekaa Mengine ongezeeni wakuu ili tuzidi kujengana...
  3. JamiiForums Tanzania Kufanya kazi TAMISEMI shida tupu, kila ukilala unaota uko jela

    TAMISEMI aidha uwe muadilifu wa kiwango cha SGR ili ustaafu salama au uwe na tamaa za kula vizuri, kupata usafiri bora na kupeleka watoto private school ili uishie jela. TAMISEMI hata ukiiba elfu 50 jiandae kufukuzwa kazi au kufungwa. TAMISEMI ukifanya kazi kuwa makini, unaweza kuingizwa...
  4. JamiiForums Tanzania Hatimaye Anjela atimiza ndoto yake ya muda mrefu, Zuchu akubali kufanya nae kazi

    Kila mtu ana ndoto zake na malengo yake. Anjela msanii aliyekuwa konde gang wakashindwa kumpa huduma muhimu akasepa, ndoto yake kubwa ni kufanya kolabo na msanii wa kike namba moja east africa Zuchu. Leo baada ya kuelezea namna atafurahi akitimiza ndoto yake hii, Zuchu alimpa go ahead ya...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kitu gani cha Ajabu wanachofanya CCM Madarakani ambacho vyama Vingine haviwezi kufanya?

    Kila siku tunaambiwa ikitoka CCM Madarakani hakuna chama kingine cha siasa chenye uwezo wa kuchukua nafasi yake. Hivi CCM inafanya kitu gani chanya kwa Tanzania ambacho vyama vingine vya Siasa havitaweza kufanya CCM ikitolewa madarakani?
  6. JamiiForums Tanzania Nawezaje kufanya back up ya mafaili yangu ikiwa nina sehemu za storage mbili kwenye laptop ?

    kupoteza data huwa ni hasara kubwa, ni heri upoteze au uibiwe laptop ama simu lakini uwe na backup Laptop yangu ina storage mbili A. 128 GB SSD - Hii nimeweka window, programs na documents, ina speed kubwa sana kuzidi hdd unapowasha pc, kuperuzi mafaili, kucopy files, kusoma mafaili, n.k. B...
  7. JamiiForums Tanzania Marekani, Israel wanashirikiana na ISIS kufanya ugaidi Iran. Huu ni uoga wa hali ya juu

    Wanaukumbi. BREAKING: ⚡ 🇮🇷ISIS sasa imedai Kuwajibika kwa Mlipuko wa Kujitoa mhanga jana kwenye Njia ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Qasem Soleimani nchini Iran. ISIS na Israeli tena wana adui sawa na huko Syria. Ajabu sana...
  8. JamiiForums Tanzania Mwaka ndo umeanza sasa hebu tuambie ni mchongo gani wenye hela ndefu wa kufanya katika kipindi hiki, mwanzo wa mwaka?

    Mwaka ndo umeanza sasa hebu tuambie ni mchongo gani wenye hela ndefu wa kufanya katika kipindi hiki, mwanzo wa mwaka? #rushamchongo
  9. JamiiForums Tanzania Hamas wafanikiwa kupigana nyuma ya mstari wa mbele wa IDF. Watumia droni kufanya upelelezi

    Hili tukio kiuhalisia wa vita vikali vinavyoendelea ni dogo lakini tunalitaja kwa uzito kwa sababu linatokea kaskazini ya Gaza ambako kwa muda mrefu tumeelezwa kuwa eneo hilo liko kwenye mzingiro na kwamba Hamas wote wamefurushwa. Msomaji anaweza akajiuliza kama ni hivyo Hamas wametokea wapi na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kupiga Punyeto ni kufanya mapenzi ya jinsia moja na pia ni kufanya mapenzi kinyume cha maumbile

    Wadau, Kwamimi ninavyoona, kufanya punyeto ni sawa tu kusema unafanya mapenzi ya jinsia moja lakini pia ni sawa tu kusema unafanya mapenzi kinyume cha maumbile. Nyie mnaonaje?
  11. JamiiForums Tanzania Dunia ni tamu ila nifupi sana jitahidi kufanya yaliyo MEMA

    Ndugu zangu DUNIA ni kweli ni TAMU ila ni FUPI sana., jitahidi sana kufanya yaliyo MEMA. Katika mema yako usisahau na muumba wako, pia usisahau na WAZAZI wako. Kwani wao ndio wamefanya uone mwanga wa jua wa DUNIA. Pia jitahidi sana kuishi vizuri na wanao kuzunguka pia. Kwani...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanaume unaanzaje kuoa binti ambae uchumbani hajawai ama ni mvivu kukufulia, kukupikia, kufanya usafi wa chumba / nyumba, n.k.

    Naandika uzi huu kwasababu nazidi kujionea baadhi ya ndoa hizi za kizazi kipya zimekuwa za ajabu sana, hata ile tafsiri ya kuvuta jiko imeanza kupotea. Na tuache masikhara, ndoa zetu za kiafrika mwanamke ana majukumu yake na mwanaume ana majukumu yake na kuna majukumu ya wote kwa pamoja...
  13. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Dar: Wahalifu wadaiwa kutumia jina la ‘Ulinzi Shirikishi’ kufanya uhalifu maeneo ya Tanganyika Packers

    Wakazi wa Mtaa wa Kawe Jijini Dar es Salaam, wameliomba Jeshi la Polisi Nchini kuongeza ulinzi hasa nyakati za jioni katika maeneo ya Tanganyika Packers ikidaiwa kuongezeka kwa vitendo vya ukabaji na unyang’anyi wa kutumia silaha mbalimbali hususani za jadi. Ikidaiwa kuwa wahusika wanaofanya...
  14. JamiiForums Tanzania Kama huna hela unaenda bar kufanya nini? Huo ndio mwanzo wa kuingia kwenye ushoga

    Baba jitu zima una zaaidi ya miaka 18, unendaje bar ukiwa hauna kitu? Unaenda bar unaanza kuombaomba bia kwa wanaume marijali wenzako, hùu ndio mwanzo wa kufanyiwa vitendo vya hovyo. Kama huna hela baki ndani mwako, na kama unataka kulewa chukua buku mbili kununue Smart Gin Rudi nyumbani...
  15. JamiiForums Tanzania Je, anayejihusha kimapenzi na mwanafunzi adhabu yake ni sawa na aliyempa mimba mwanafunzi?

    Mtu akiwa na mahusiano na mwanafunzi na wakashiriki ngono bila kutokea mimba je adhabu yake inakuaje? Maana kesi zote nilizoskia adhabu ya miaka 30 inatolewa pale tu binti anapopata mimba , je asipopata mimba ila ikathibitima kufanya ngono inakuaje?
  16. JamiiForums Tanzania Boeing yaagiza Mashirika yaliyonunua Ndege za toleo la "MAX" kufanya ukaguzi wa Mfumo wa Rudder

    Kampuni ya kuunda Ndege za Boeing imehimiza mashirika ya ndege duniani kufanya ukaguzi wa ndege za 737 Max kutafuta "Bolt inayowezekana kuwa imelegea" katika mfumo wa udhibiti wa rudda, tatizo jipya la ubora linaloathiri ndege inayouza zaidi ya mtengenezaji huyo. Kampuni hiyo iliagiza ukaguzi...
  17. JamiiForums Tanzania Chimbo gani kuna AC na unaweza pata kinywaji, lunch yako na kufanya kazi zako mbili tatu?

    Salaaaam wanajamvi Natafuta chimbo la kuweza kupata upepo mwanana wa kiyiyozi (AC) hili joto la mjini SALIDARAMA balaaaaaaa feni haifui Dafu hata sekunde chimbo liwe reasonable unazuga zuga pale huko unapiga kazi zako...JUICE /LUNCH
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kufanya check-up ya mwili mzima, je kuna madhara yoyote?

    Habarini ndugu zangu. Katika kuujali mwili wangu nataka nifanye check up ya mwili mzima kuanzia kichwani mpaka miguunii nijue maendeleo na afya ya viungo vyangu vya ndani. Ni hospital gani naweza pata hii huduma na pia Kwa aliyefanya atupe experience hua inakuaje. Je, kuna madhara yoyote I...
  19. JamiiForums Tanzania Je, unajua mkoa wako umepanga kufanya nini katika dira ya maendeleo ya taifa 2025-2050? Ni muhimu wakuu wetu wafanye wasilisho katika media ili tujue?

    Taifa linatarajia kuwa na mpango wa maendeleo wa miaka 25, 2025-2050. Mpango huu naona kama haupati kutangazwa vya kutosha kwa wananchi ili wajue mkoa/wilaya yao inatakiwa kuwa namna gani katika kipindi cha miaka 25 ijayo. Wakijua ndipo watahoji kwa nini miaka 25 imepita na hakuna...
  20. JamiiForums Tanzania Wazazi tuchukue tahadhari, Tusomeshe watoto sambamba na kuwaandaa waweze kujiajiri ama kufanya biashara, degree/masters zinawaaibisha watu mitaani

    Ni wazi kabisa bila kupepesa macho lengo kuu la wazazi wa Tanzania ni kusomesha mtoto ili aje kupata ajira serikalini. Ajira zinazidi kuwa adimu sana, wanafunzi wengi wanahitimu vyuo na vyuo vipo vingi sio kama zamani, wahitimu wamekuwa wengi sana lakini ajira haziongezeki. Wanaoajiriwa ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…