kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Moja ya hasara ya kuoa, ni mke kukukasirisha hadi unashindwa kufanya kazi au kuvurunda

    Msione mtu anakesha baa au anajipa safari safari, kuna nyumba nyingine hazikaliki, ndani kwa moto. na sio kua mtu sio mwanaue kamili, la hasha, ila kuna majanga unakutana nayo, ni kama uji wa moto mdomoni, kumeza huwezi kutema huwezi. Kila mwanamke anajoto lake, anakuvuruga kwa namna yake...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya watu huanza kukudharau unapopitia wakati mgumu maishani, na unapaswa kufanya nini ili kuvuka hali hiyo?

    Ni kama vile heshima na uhusiano wa watu hubadilika unapopitia changamoto kama kupoteza kazi, matatizo ya kifamilia, au hali ngumu ya kifedha. Watu waliokuwa karibu nawe ghafla wanapotea au wanakutazama tofauti. Kwa nini unadhani hili hutokea? Ni asili ya binadamu, au ni kwamba watu wengi...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Press ya Haji Manara kumshambulia Wallace Karia imelipiwa na uongozi wa yanga..dhahiri makomandoo walitumwa kuizuia simba..kama uongozi utakaa kimya

    Ukimuona kobe juu ya mti ujue kapandishwa..Manara anapata wapi ujasiri wa kuisemaea yanga..Manara ni nani kwenye uongozi wa yanga...Manara ndio mratibu mkubwa wa mambo ya kitoto kwa kisingizio cha utani wa jadi...Manara anasahau kama anadhalilisha watu....juzi kati alimdhalilisha askari...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Mbeya: Yaowaonya wanaotaka Kugombea Uongozi, kufanya vitendo vya kinyama dhidi ya binadamu ili kupata madaraka

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya kimewaonya wanaotarajia kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu ujao, kuacha kufanya vitendo vya kinyama dhidi ya binadamu wenzao, ambapo vitendo vingine vinasababisha kukatisha maisha na kuharibu mustakabali wao kisa uroho wa madaraka...
  5. JamiiForums Tanzania Mapatano ya kukaa mezani kila ukiharibu na kufanya maovu ni kama kuwachukulia wajinga

    Tokea kipindi cha mkapa mpaka leo tumekuwa kuwa ni watulivu na wastaimivu ambayo upande wapili ni kwamba hawa watu ni wajinga na waoga. Leo nimekumbuka kipindi cha uchaguzi visiwani znz Marehemu Seif Sharif aliposhinda ilawale ccm wakataaa kukubari wazi mpaka walipo kuja kubembeleza mzee...
  6. JamiiForums Tanzania Utumishi leo wamenizuia kufanya online written interview

    Habari wakuu, mimi ni mtanzania mwenye miaka 29. Leo nimeenda kufanya interview ya forest officer II chini ya TFS kituo kikiwa chuo cha TIA. Jambo la kushangaza watu wa utumishi wamenizuia kufanya kwa sababu wanasema mpaka mda ambao nitaitwa kazini (Ikitokea nimepata) nitakuwa na miaka 30...
  7. JamiiForums Tanzania Nahitaji Partner wa kufanya naye biashara.

    Habari wakuu. Mimi ni Dalali wa mavitu yote lakini nipo na wazo ambalo hili ni Kwa wale Risk Taker kama Mimi. Nahitaji mtu mmoja awe mwanaume au mwanamke ambaye yupo tayari Kwa huu mpango wangu. Nipigie simu tuongee vizuri mkuu. 0754693556
  8. JamiiForums Tanzania Demokrasia, kama jicho na mlango wa mabeberu wa kufanya chochote wapendacho kwa nchi changa!

    Nchi kama China walifanikiwa kuliona hili na kulidhibiti mapema kwa jinsi wawezavyo, katika ulimwengu wa sasa tunashuudia mengi sana, zelensky alipogomea kugawa maliasili zake, basi, marekani kwa haraka sana alianzisha vikao na mpinzani wa zelensky wa kisiasa, nchini humo, Mabeberu wanafahamu...
  9. JamiiForums Tanzania Kazi na Utu: hii slogan itawaondoa watu waliotumiwa kudhalilisha utu kazini

    Slogani hii inaenda kuleta ubinadamu, utu, upendo, heshima katika kazi. Ushalilishaji, uonevu, ukandamizaji katika kazi sasa umefikia mwisho. Iwe katika kilimo, bei nzuri ya mazao, viwandani na ma ofisini, udhalilishaji ukome, mambo ya kusimama jukwaani kudhalilisha watumishi au...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kati ya Bank na law firm wapi pazuri kufanya kazi

    Habari viongozi...nilikua naomba ushauri kati ya bank position ya marketting ambayo sijasomea na law firm position ya administrative officer wapi penye manufaa ukifanya kazi interms of career development,financial benefits na potential for growth... NB.Zote nimepewa probation period ya miezi sita
  11. M

    JamiiForums Tanzania Usipoamua kufanya mazoezi utaendelea kuwa msukule wa hawa wanaharakati wa afya

    Wakuu lazima tukubaliane kuwa maisha yamebadilika sana kuanzia vijijini hadi mijini. Na mabadiliko yametokea ghafla. Ujio wa bodaboda na mabadiliko makubwa ya teknolojia kama uwepo wa mitandao ya kijamii na mobile money umepunguza ugumu wa kazi nyingi. Urahisi wa kufanya kazi nyingi pia nao...
  12. JamiiForums Tanzania TASHICO: MV. Victoria itaendelea kusimamisha huduma kwa muda wa mwezi mmoja kwajili ya kufanya 'service'

    Wananchi wanaoishi kwenye maeneo mbalimbali ya mkoa wa Mwanza na Kagera ambao hutegemea kusafiri kwa kutumia meli ya MV. Victoria wameombwa kutumia usafiri mbadala wakati huu ambapo meli hiyo imeanza matengenezo yatakayochukua mwezi mmoja. Ikitoa taarifa hiyo, Shirika la Meli nchini TASHICO...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Degree 100 zimefutwa baada ya vyuo 15 kufanya kazi kinyume na Sheria Kenya

    Nimewaza tu kwa sauti kwamba mtu umepigika zako miaka mitatu ya kutafuta digrii alafu unakuja kufutiwa kwamba ni feki. =================================== Tume ya Elimu ya Vyuo Vikuu imetaja vyuo 15 vinavyofanya kazi kinyume cha sheria nchini Kenya na kuwaonya Wakenya kwamba vyeti vya kimasomo...
  14. JamiiForums Tanzania Pesa nyingi ninazopata kwenye Freelancing zianaishia kuwalipa vijana wanaonisaidia kufanya kazi. Hii level inaitwa dropservicing

    Pesa nyingi ninazopata kwenye Freelancing zianaishia kuwalipa vijana wanaonisaidia kufanya kazi. Hii level inaitwa dropservicing Nitakuelekeza mambo muhimu ya kuzingatia ili uweze kufanya dropservicing... Pia ukitaka kufanya freelancing zingatia haya Kwanza kabisa lazima uanze kama freelancer...
  15. JamiiForums Tanzania Vijana wa bongo, Tuishi kwa kuendana na hali halisia ya maisha yetu vinginevyo tunajitia katika maisha ya stress au kufanya maamuzi yatakayo tucost.

    Yule mwingine alikamatwa na ngada kwenye manywele yake. Huyu mwingine ni anatepeli watu. Alafu wakija mitandaoni wanawaonesha marenji rova ili kuwaumiza roho. Hii yote ni malue lue ya maisha ya TV, kushindana, hurka za misifa sifa, upendaji wa anasa, kutokubali ukweli wa uhalisia, etc. Sawa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Simba kuzuiwa kufanya mazoezi, Je inamfanya kutofika uwanja kucheza mechi? Kanuni ya 31.

    Baada ya Mashabiki wengi wa soka kuumizwa na usitishwaji wa derby wamekuwa wakitaka kujua, Je hata kama simba angekuwa alikosewa kikanuni, tukio hilo linampa fursa ya kugomea mchezo! JIBU NI NDIYO. Kanuni ya 31 ya Tff/tplb inasomeka hivi; "Timu yoyote itakayo kosa kufika uwanjani bila ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Yanga asema waliinyima Simba haki ya kufanya mazoezi kwa kuwa nao walinyimwa mechi ya kwanza

    Ataka busara itumike, kanuni zikae kando kwanza Adhihirisha kuwa mabaunsa walitumwa na uongozi Tuendelee kuhifadhi post walizoweka mwanzo mwanzo, zitasaidia kujua kilichopangwa na kilichofanywa.
  18. JamiiForums Tanzania Usiogope kwa 200,000 mpaka 250,000 unapata fremu ya biashara kariakoo.

    Habari wana JF it's another beautiful day. Thread hii inahusu kariakoo, Kuna watu wanahitaji/tamani kufanya biashara Kariakoo lakini wanahofia bei za fremu lakini pia hawajui wanaanzia wapi kupata fremu za kufanyia biashara kama za kuuzia nguo, viatu, urembo, vyombo, huduma za kifedha kama...
  19. M

    JamiiForums Tanzania TFF, najua Simba itapokwa pointi kwa kutoingiza timu uwanjani na Yanga mtawaadhibu kwa kuwazuia Simba wasifanye maamuzi ila Haji Manara msimuachie

    Mm nawaza hili jambo lazima litatokea tu maana mpira wa bongo una changamoto za mda mrefu sana, yote kwa yote kwa vile wao wameshasema hawatacheza tena najua mtawapa pointi 3, lkn kubalansi mambo Yanga mtawaadhibu kwa kuwazuia simba wasifanye mazoezi ila Haji Manara amewadhalilisha sana na...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Kesho Jumatatu Iran itafanya mazoezi makubwa sana ya kijeshi na Urusi na China ikiwa ni maandalizi ya utayari

    Wadau hamjamboni nyote? Joint naval drills organized annually between Iran, Russia and China will start tomorrow in the southeastern Iranian port of Chabahar, Iran’s Tasnim news agency reports.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…