kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Njooni tupange namna ya kufanya mageuzi ya Umma

    Mafanikio ya Mapinduzi ya umma au mageuzi ya Umma hufanikiwa pale tu vyombo vya usalama vinapokuwa upande wa wananchi. Mpango huu umeanza wiki kadhaa sasa kuandaa utaratibu wa kuwaunganisha wananchi wote na vyombo vyetu na kuunda njia za mawasiliano na askari wetu hasa vijana. Kila mtu...
  2. JamiiForums Tanzania Mnaoweka bottox kufanya midomo iwe minene

    Nimekutana na hii video mpaka nimebaki kujiuliza je inakuwa urembo unafikia kiwango cha kukupa wakati mgumu namna hii? Aisee Mungu atusaidie sana!
  3. JamiiForums Tanzania Haya tufanye pesa zinachotwa kama anavyowaongopea Polepole na Mange Kimambi. Nyie mnasemaje? Mna la kufanya?

    Nikiwaita wajinga mnakasirika. Kutwa kutwa mnakesha kufuatilia habari za uzushi kutoka kwa Mange Kimambi na Polepole ambao wao pia ni wana CCM ambao mfumo umewakaanga. Polepole ana madudu mengi sana. Kesho nitayaanika hapa. Mange baada ya kukosa Ubunge ndipo kaja na utetezi uchwara. JPM alimpa...
  4. JamiiForums Tanzania Hatuwezi shindana na ambaye anasema sababu ya kushindwa kwake ni ufinyu wa rasilimali na taarifa ila sisi tunasema ni dhambi za ukoo na kufanya ngono

    Kwa nchi hii fukara yenye watu wenye mindset mgando, rasili za mchongo, pesa iliopo kwenye mifuko ya wachache ila kutotoboa na tabu zako unadanganya watu ni kutokana na makosa ya mababu zako waliofanya na pia ngono inakuua kiroho ndio maana haupati mwanga maishani mwako 🚮🚮 Acha ngozi nyeupe...
  5. JamiiForums Tanzania Top Tools tunazotumia Victoria Agency company kufanya kazi zetu.

    TSH Rates Kila siku TSH Rates inanipa foreign exchange rates za benki za Tanzania. Kama unafanya biashara kimataifa najua unajua umuhimu wa taarifa kama hii—kujua thamani ya fedha kunakupa uwezo wa kupanga bei zako vizuri na kuhakikisha haufanyi maamuzi ya kibiashara gizani. Atlas Kupitia...
  6. JamiiForums Tanzania Wajue wanawake na wanaume waliovunja rekodi ya kufanya mapenzi na idadi kubwa ya watu duniani!

    Orodha fupi ya wanawake waliowahi kudaiwa kuvunja rekodi ya kuwa na wanaume wengi zaidi kimapenzi (hasa kupitia filamu au matukio ya watu wazima): Wanawake waliotajwa kwenye rekodi za “gang bang” Annabel Chong (1995, Los Angeles, Marekani) Alidai kufanya ngono na wanaume 251 mfululizo ndani...
  7. JamiiForums Tanzania Nipeni mbinu za kuaga wazazi kwenda kufanya SUP chuoni

    Niko njia panda naagaje kwenda kusapua course 1 ilinikamata na wazazi wanakuja fika vyuo vikuu vinafunguliwa mwezi 10 Sasa Mimi nasapua mwanzoni wezi wa 9 Nimebuni mbinu hizi ila wapi? 1.Tumeitwa na mama Samia anataka kuongea na sisi baadhi ya wana chuo 2. Nawahi kufatilia masuala ya mikopo...
  8. JamiiForums Tanzania Wakala wa Mzize: Yanga wameamua kufanya kazi unprofessionally

    Login • Instagram "Mzize ameniambia kuwa wamemuomba abaki sababu wanamuhitaji Msimu Ujao wanashiriki ligi ya mabingwa, nikamwambia kwahiyo imekuwaje akaniambia wamesema watamboreshea maslai watampa mkataba, So hapa nilipo nasubiri mkataba wa Mzize wakishampa ananipatia tunarekebisha Baadhi ya...
  9. JamiiForums Tanzania Tafiti isiyo rasmi inaonesha kwamba wanawake wenye nyusi nyingi juu ya jicho wanapenda kufanya mapenzi sana (high sex drive a.k.a libido)

    Copy code; Photo by: AI
  10. JamiiForums Tanzania Kufanya Matusi, Ngono ni majina mabaya yaliyopachikwa kwenye kizuri ili kionekane kibaya

    Wahuni sio watuwazuri. Kitendo cha watu wa jinsi 2 tofauti kuungana kimwili ni kitendo chenyeraha isiyo kifani hasa ikichagizwa na miguno. Sasa sijui katokea mtu wapi huko eti anadai kitendo kile kinaitwa kufanya matusi.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Uchawa na kubebana chanzo cha kufanya vibaya Taifa Star CHAN-2025

    wakuuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza...tusitafute mchawi wa kwanini tunashindwa na timu kama Madagscar au Sudan nchi ambazo hazipo kwenye top 20 ya ligi bora za Africa kwa wachezaji wa nyumbani.. kilichotugharimu 1. Benchi la ufundi buree hamna kitu pale...watu wamewekwa pale kisiasa ...
  12. JamiiForums Tanzania Gen z wako tayari kufanya chochote ili tu wapate Cha kupost

  13. JamiiForums Tanzania Tunapeleka barua ya uchumba Iringa tusaidieni tunatakiwa kufanya nini?

    Wakuuuuuu. Dogo anavuta chuma toka iringa kwa wabena. Barua inatakiwa kuwa na nini? Afanye nini?
  14. JamiiForums Tanzania Kuna swali hapa kwa waliooa au kuolewa na kufanya sherehe: Hivi uwa mrudi kuangalia video za shughuli yenu?

    Katika heka heka za kupunguza gharama za uendeshaji wa harusi, kuna hii budget ya videography. Hii sekta inaongeza sana gharama na inaweza kufika Mil 2-3 kizembe sana. Mara nyingi ukienda kwenye harusi utaona TV kadhaa zinaonesha live, macamera man kadhaa, drones na mataa ya picha. Hao ndigo...
  15. JamiiForums Tanzania Dkt Magembe awataka Waganga Wafawidhi kufanya Mawasiliano ya Mapema kabla ya Rufaa

    Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe ametoa wito kwa Waganga Wafawidhi wa hospitali za Rufaa kuzingatia mawasiliano ya awali kabla ya kumpa mgonjwa rufaa kwenda hospitali ya Kanda kwa lengo kutoa msaada wa haraka kwa mgonjwa. Ameyasema hayo Agosti 21, 2025 wakati akifungua Kikao Kazi cha...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo sasa rais Samia asisubiri hadi alazimike kufanya maridhiano ya mapya na vyama vya upinzan juu ya madai ya msingi kuhusu uchaguzi mkuu.

    Hali ya kisiasa nchini inaendelea kuwa tete huku watu wengi zaidi wakiendelea kukosa imani na mchakato wa uchaguzi kila kukicha. Kiufupi Polepole ambaye ni kada wa ndani wa CCM emeendelea kuwafungua macho watanzania huku shauku ya kumsikiliza ikizidi kukua kila pahali. Komredi Polepole...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kuingilia mifumo ya uchaguzi ni Uhaini. Lissu anashtakiwa kwa niaba yetu kwa kufanya Uhaini na tunaopaswa kuwashitaki kwa Uhaini!

    Uhaini ni jaribio la kubatilisha matakwa ya wananchi kusimika utawala kwa njia haramu. Kwa kuingilia mifumo ya uchaguzi CCM imekuwa ikibatilisha matakwa ya wananchi na kusimika utawala wake kwa njia zilizo haramu. Tumebebeshwa kesi dhidi ya Lissu tusiyoielewa na tunaopaswa kuwashitaki kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa miaka 5 Polepole alizunguka nchi mzima kuinadi CCM na Magufuli, upinzani walikatazwa kufanya siasa 2020 bado wakapora uchaguzi

    Swali kwa Polepole: Unaposema mwaka huu hakuna uchaguzi bali kuna viinimacho, mwaka 2019 na 2020 kulikuwa na nini? Hamjaandaa mabox mawili moja mkawapa walimu na watendaji wajaze kura usiku? Mliogopa nini kama kwa miaka 5 mliweza kufanya siasa peke yenu huku wapinzani hata kwenye vikao vya...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanajeshi wa Marekani ahukumiwa kwa kufanya ujasusi kwa ajili ya China

    Baharia wa Jeshi la Wanamaji la Marekani huko California amehukumiwa kwa kosa la ujasusi kwa kuuza siri za kikosi hicho kwa afisa wa China ambaye alimsajili kupitia mtandao ya kijamii. Jinchao Wei, 25, alipatikana na hatia ya mashtaka sita, ikiwa ni pamoja na ujasusi, njama ya kufanya ujasusi...
  20. JamiiForums Tanzania Mikoa 7 huwezi kufanya biashara kama huna mganga wa kweli

    1.Njombe 2.Mbeya 3.Mwanza 4.Katavi 5.Rukwa 6.Dar 7.Simiyu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…