Nimecheka sana kukumbuka hili neno "mchezo mbaya", kwanini watu wazima walilipa kitendo hicho jina la mchezo mbaya? Ukidakwa hizo fimbo zake ni balaa, ni kama dunia imeisha, mtaa mzima unajua umechapwa sababu umebambwa ukifanya mchezo mbaya😂😂. Usiombe kubambwa na watoto wa wenzako - redio mbao...