Hakuna tena vizuizi vyovyote vya kisayansi vinavyotuzuia kutoa nakala yawanadamu. (Human cloning)
Mnamo mwaka wa 2018, wanasayansi wa China walifanikiwa kuunda nakala ya macaque wawili wanaokula kaa, Zhong Zhong na Hua Hua, na hivyo kuashiria Kwa mara ya kwanza kwa sokwe kuwahi kuumbiwa nakala...