GT
Nadhani kwa sasa mnaona wote jinsi serikali ilivyoanza na uhuni bungeni.
Zungu ni team msoga genge la wahuni hawezi kuruhusu mjadala wowote wa maana wenye tija kwa taifa.
Amewekwa pale kulinda maslahi ya mafisadi hakuna jingine tumwombe tu mungu afanye yake mapema
Sio kwa kujisifia lakini kama unamiliki chombo cha moto na unaweza kumfundisha mtoto, sioni kama kuna cha kukuzuia.
Elimu sio darasani tu, kumfundisha mtoto kitu chohote kinachoweza kuwa na faida ni elimu.
Mwaka una wiki 52 na siku 365.
Je, umeshindwa kutenga muda kwa mtoto wako, hasa wa...
Rostam ni muhindi kama walivyo wengine
Ni miongoni mwa magenge ya wahuni walioingia kwenye siasa
Ni miongoni mwa wanasiasa wapiga dili
Najiuliza serikali ya ccm iliyoshindwa kuendesha mradi wa MWENDO Kasi wangeweza kuendesha Mgodi, ni mradi Gani uliwai simamiwa na serikali ujafanikiwa...
Kuna jambo nimeona kwenye kutumia huduma za fedha mtandao (Yas, kwa case yangu) likanitatiza. Wakati nikifanya malipo ya serikali kutumia app yao, sikuwa na namna ya kuingiza senti kuendana na nilichokua nalipia. Badala yake, mfumo ukafanya ukadiriaji wa juu (rounding up) na kunilazimu kulipia...
Special Task Force (STF) ya Uttar Pradesh imevamia ubalozi bandia ulioendeshwa na Harshvardhan Jain tangu 2017. Aliwadanganya watu kwa ahadi za kazi za njena kufanya biashara haramu ya pesa (hawala).
Vilivyokamatwa:
Plati za kidiplomasia, pasipoti bandia (12)
Rs 44 lakh taslimu, sarafu za...
Mko poa humu?
Kuna jamaa yangu amesafiri kwenda majuu, atakaa almost miezi sita huko, sasa ana gari lake aina ya ist kaiacha hapa kwangu, kaniachia na ufunguo, kaniambia niwe naiwasha mara moja moja kuipiga resi ili injini sijui isiwaje anajua mwenyewe. Kaniambia pia niwe napigia misele if...
Kuna yule jamaa kule twitter anaitwa Sativa17... nilikuwa nafuatilia video yake akielezea jinsi alivyotekwa na kunusurika kufa baada ya kupigwa risasi ya kichwa.
Aliulizwa anafanya kazi gani akadai anafanya betting ( michezo ya kubashiri ) tu, hafanyi inshu nyingine yoyote na kupitia hiyo...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema madereva wa Tanzania waliopelekwa nchini Qatar hawajaajiriwa kutokana na kushindwa kuyatumia magari ya kisasa.
Watu wengi nchini Denmark, hasa wanaoishi mijini, wanapenda sana baiskeli zao. Hufanya hivi ili kupata uhuru binafsi ambao unawapa fursa ya kuingia na kutoka kwenye msongamano wa magari mjini.
Ukiwa kwenye baiskeli, huhitaji kusubiri kwa muda mrefu. Huhitaji pia kungoja basi lifike au kuingia...
Wizara ya TAMISEMI imesema kupitia ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi (PPP) imefanikisha hatua ya kihistoria ya kusaini mikataba na watoa huduma watatu wa uendeshaji wa awamu ya pili ya mabasi yaendayo haraka ambapo imesema mabasi hayo yatapunguza foleni za Dar es salaam na kuharakisha...
Habari wanaJF, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, elimu yangu ni bachelor degree in Logistics and Transport Management, naomba nafasi ya kazi yoyote ile itakayosaidia kuendesha maisha
Google Workspace, zamani ikijulikana kama G Suite, ni seti ya zana za kidijitali zilizotengenezwa na Google kwa ajili ya kuboresha usimamizi wa biashara na taasisi. Ikiwa unatafuta njia ya kufanya kazi kwa ufanisi zaidi, kushirikiana kwa urahisi, na kuokoa gharama, Google Workspace ni suluhisho...
Google Workspace, zamani ikijulikana kama G Suite, ni seti ya zana za kidijitali zilizotengenezwa na Google kwa ajili ya kuboresha usimamizi wa biashara na taasisi. Ikiwa unatafuta njia ya kufanya kazi kwa ufanisi zaidi, kushirikiana kwa urahisi, na kuokoa gharama, Google Workspace ni suluhisho...
Wakuu salama…
Enzi za uhai wake, Rais wa awamu ya tano, hayati John Pombe Magufuli alikuwa ni mpenda drama sana.
Angeweza kusafiri kwa gari kutoka Dodoma pengine kuelekea Chato.
Angeweza kufika Singida na kusimama barabarani bila kujali anasababisha foleni kwa walipa kodi wanaotumia...
1. Gara B achana na events za kujazana ujinga. Nyoosha kiingereza chako ingia dimba za kimataifa (level za Energy Summit).
2. Jifunze kwa moderators wa sessions za huu Mkutano. Kama kichwa si kizito, pambana platforms za kimataifa atatoboa.
Kwa gari ambayo ni manyo lazima utumie miguu yote miwili kuendesha. Mguu mmoja unazingatia wese na huo mwingine breki na klachi.
Kwenye autos break ndo iyoiyo inashift gia. Kwaiyo unaweza kutenga mguu kwa ajili ya kukanyagia wese tu na huo mwingine kwenye break.
Au unaweza kutumia mguu mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.