kuendesha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    Madikteta wako efficient kwenye kuendesha uchumi kuliko viongozi wa kidemokrasia

    Wote kipaumbele chao ni kuendelea kubaki madarakani. Ili dikteta aendelee kubaki madarakani lazima awe na hela za kuwalipa wapambe, wanajeshi na vyombo vingine vya dola. So akili ya dikteta siku zote imefocus kwenye hela na uchumi. Kama nchi ina resources kama mafuta basi akili yote ya dikteta...
  2. S

    Kama serikali imeshindwa kuendesha mfumo wa ESS , bora waufute au kuwe na mbadala in case mfumo unafeli

    Huu mfumo japo umekuja na mazuri, lakini kwa sasa unageuka kero kwa Watumishi kwa baadhi ya huduma kutopatikana leo ikiwa ni siku ya 2 mfululizo. Mimi nashauri waufute huu mfumo au kuwe na mbadala pale mfumo huu unapofeli kwani unakwamisha sana mambo ya watu na kwa sasa unageuka kero badala ya...
  3. Amicable Group

    Mfanyabiashara uliyeamua kuendesha biashara yako kwa kuzingatia misingi ya kisheria ili kufanikisha ukuaji endelevu bila vikwazo, usipite bila kusoma.

    Mfanyabiashara uliyeamua kuendesha biashara yako kwa kuzingatia misingi ya kisheria ili kufanikisha ukuaji endelevu bila vikwazo, kuanzia sasa usijitese. Wasiliana na kampuni yetu yenye wataalamu waliobobea na wenye uzoefu wa kutosha katika Sheria na mifumo ya kodi. Kumbuka kuwa kuanzia tarehe...
  4. Amicable Group

    Mfanyabiashara uliyeamua kuendesha biashara yako kwa kuzingatia misingi ya kisheria ili kufanikisha ukuaji endelevu bila vikwazo, usipite bila kusoma.

    Mfanyabiashara uliyeamua kuendesha biashara yako kwa kuzingatia misingi ya kisheria ili kufanikisha ukuaji endelevu bila vikwazo, kuanzia sasa usijitese. Wasiliana na kampuni yetu yenye wataalamu waliobobea na wenye uzoefu wa kutosha katika Sheria na mifumo ya kodi. Kumbuka kuwa kuanzia tarehe...
  5. JanguKamaJangu

    Una maoni gani kuhusu staili ya kuendesha Bajaji mguu mmoja juu inayofanywa na madereva wa Chuga?

    Askari usalama barabarani wanajitahidi sana kutoa elimu ya Usalama barabarani lakini mara nyingi kama haizingatiwi na wanaonekana kama wanapiga kelele ni vyema hatua zikachukuliwa kuhusu vitendo hivi hii ni maeneo ya barabara ya Ngulelo kuna uendeshaji wa bajaji kunyanyua mguu mmoja na kutembea...
  6. R

    Mahakama ya Ubelgiji kuendesha kesi Mauaji ya Patrice Lumumba, familia yadai haki

    Familia ya kiongozi wa uhuru wa Congo, Patrice Lumumba, imesema kuwa bado ina matumaini ya kupata haki, wakati mahakama ya Ubelgiji ikizingatia uwezekano wa kumfikisha mahakamani mshukiwa pekee aliyesalia hai kuhusiana na mauaji ya mwaka 1961. Kwa takribani miaka 15, familia ya Lumumba imekuwa...
  7. Waufukweni

    Mwigulu: Rais Samia hataki kuendesha Nchi kwa Fedha za dhuruma, ni mwenye huruma

    Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba amesema Tanzania imebahatika kupata Rais mwenye kuwahurumia watanzania ambaye hataki Kuendesha Nchi kwa fedha ya dhuluma.
  8. R

    Mwigulu: Tuna rais wa mfano kwa kuwahurumia watanzania hataki kuendesha serikali kwa fedha ya dhuluma

    Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika mkutano na madereva pikipiki, bajaji na machinga wote leo Januari 8, 2026 katika ukumbi wa Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, amesema Tanzania tuna Rais wa mfano anayejali na kuwahurumia watu...
  9. ELI COHEN

    Generali Ulimwengu: "Kama hupati take home ya 6m au 7m na ukataka kuendesha gari lako dsm, kuna mawili, labda we ni mwizi ama mtumwa"

    Hii code ya mtumwa amemaanishi nini?
  10. The Burning Spear

    CCM sikio la Kufa Zungu Hawezi kuendesha bunge la kuisimamia Serikali sahau

    GT Nadhani kwa sasa mnaona wote jinsi serikali ilivyoanza na uhuni bungeni. Zungu ni team msoga genge la wahuni hawezi kuruhusu mjadala wowote wa maana wenye tija kwa taifa. Amewekwa pale kulinda maslahi ya mafisadi hakuna jingine tumwombe tu mungu afanye yake mapema
  11. M

    Ni jambo la fedheha uwe na gari au pikipiki lakini mtoto anafika miaka 14 hajui kuendesha

    Sio kwa kujisifia lakini kama unamiliki chombo cha moto na unaweza kumfundisha mtoto, sioni kama kuna cha kukuzuia. Elimu sio darasani tu, kumfundisha mtoto kitu chohote kinachoweza kuwa na faida ni elimu. Mwaka una wiki 52 na siku 365. Je, umeshindwa kutenga muda kwa mtoto wako, hasa wa...
  12. Sifi Leo

    Serikali iliyoshindwa kuendesha Mwendokasi ingeweza Mgodi? Rostam kweli anakwepa Kodi hakunaga muhindi anae penda KULIPA kodi

    Rostam ni muhindi kama walivyo wengine Ni miongoni mwa magenge ya wahuni walioingia kwenye siasa Ni miongoni mwa wanasiasa wapiga dili Najiuliza serikali ya ccm iliyoshindwa kuendesha mradi wa MWENDO Kasi wangeweza kuendesha Mgodi, ni mradi Gani uliwai simamiwa na serikali ujafanikiwa...
  13. R

    Kanuni za kuendesha huduma za kifedha zinasemaje kuhusu ukadiriaji wa senti unaofanywa na huduma za pesa mtandao ?

    Kuna jambo nimeona kwenye kutumia huduma za fedha mtandao (Yas, kwa case yangu) likanitatiza. Wakati nikifanya malipo ya serikali kutumia app yao, sikuwa na namna ya kuingiza senti kuendana na nilichokua nalipia. Badala yake, mfumo ukafanya ukadiriaji wa juu (rounding up) na kunilazimu kulipia...
  14. Black jackal360

    Habari mimi nina leseni ndogo class D je ninao uwezo wa kuendesha gari ndogo fuso au tata (Single)

    Naombeni mchangie tafadhari
  15. Nipe Maji

    SI KWELI PreGE2025 Nape anatuhumiwa kuendesha vikundi vya uhalifu kwa wapinzani wake uchaguzi kura za maoni jimbo la Mtama

  16. Huihui2

    Afungua na kuendesha ubalozi bandia India kwa miaka 7

    Special Task Force (STF) ya Uttar Pradesh imevamia ubalozi bandia ulioendeshwa na Harshvardhan Jain tangu 2017. Aliwadanganya watu kwa ahadi za kazi za njena kufanya biashara haramu ya pesa (hawala). Vilivyokamatwa: Plati za kidiplomasia, pasipoti bandia (12) Rs 44 lakh taslimu, sarafu za...
  17. Isenye

    Naomba mnifundishe kuendesha gari aina ya IST

    Mko poa humu? Kuna jamaa yangu amesafiri kwenda majuu, atakaa almost miezi sita huko, sasa ana gari lake aina ya ist kaiacha hapa kwangu, kaniachia na ufunguo, kaniambia niwe naiwasha mara moja moja kuipiga resi ili injini sijui isiwaje anajua mwenyewe. Kaniambia pia niwe napigia misele if...
  18. Metronidazole 400mg

    Hivi ni kweli mtu anaweza kuendesha maisha yake kwa kutegemea betting tu?

    Kuna yule jamaa kule twitter anaitwa Sativa17... nilikuwa nafuatilia video yake akielezea jinsi alivyotekwa na kunusurika kufa baada ya kupigwa risasi ya kichwa. Aliulizwa anafanya kazi gani akadai anafanya betting ( michezo ya kubashiri ) tu, hafanyi inshu nyingine yoyote na kupitia hiyo...
  19. Waufukweni

    Madereva Watanzania washindwa kuendesha magari ya kisasa Qatar

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema madereva wa Tanzania waliopelekwa nchini Qatar hawajaajiriwa kutokana na kushindwa kuyatumia magari ya kisasa.
  20. W

    Wananchi wengi wa Denmark huendesha baiskeli ili kuepuka foleni na msongamano kwenye mabasi. Watu 9 kati ya 10 wanamiliki baiskeli nchini humo

    Watu wengi nchini Denmark, hasa wanaoishi mijini, wanapenda sana baiskeli zao. Hufanya hivi ili kupata uhuru binafsi ambao unawapa fursa ya kuingia na kutoka kwenye msongamano wa magari mjini. Ukiwa kwenye baiskeli, huhitaji kusubiri kwa muda mrefu. Huhitaji pia kungoja basi lifike au kuingia...
Back
Top Bottom