Leo nimepata majibu ya kwanin course yangu chuo iliitwa political science.
Kumbe siasa si kuongea siasa ni kusimamia kile unachokiamini kikamilifu mengine yatajifuta yenyewe bila shinikizo.
Leo tunashuhudia kufariki kwa no reform no election na hatimaye watu wamekosa waende na nini.
Siasa si...
Malalamiko yameibuka kutoka kwa baadhi ya Wagombea wa Ubunge kupitia kundi la Wanawake (Viti Maalum) Mkoani Kilimanjaro, wakimtuhumu Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wa mkoa huo,Elizabeth Minde, kwa kukiuka taratibu za uchaguzi kwa kupeleka majina ya wagombea kutoka Moshi Mjini...
Wakuu Hili ni kama maajabu ila ndio Uhalisia wenyewe !!
Vita inayoendelea ni Kati ya WAZALENDO wa NCHI hii dhidi ya Genge la Wahuni( Wanamtandao).
Mpaka muda huu naoandika Hapa, WAZALENDO WAMESHINDA !!.
Ipo hivi, Hapatakuapo na Utekaji tena, Hamna Kiongozi wa juu wa Dola kubadilishwa Ovyo ...
Chama cha Mapinduzi CCM wilayani Handeni mkoani Tanga kimelaani kauli zinazotolewa na baadhi ya watu wanaotumika kuwasema vibaya viongozi wa chama hicho pamoja na wagombea walioongoza kwenye uchaguzi wa kura za maoni wilayani humo, kwa madai kuwa uchaguzi huo haukufanyika kwa uhuru na haki.
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imepokea barua kutoka katika vyama vya siasa 14 vikieleza tarehe na muda ambao wanachama wao waliopendekezwa kugombea nafasi ya Urais na Umakamu wa Rais watafika kuchukua fomu za uteuzi katika ofisi za Tume zilizopo eneo la Njedengwa, Dodoma.
Soma...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua Maabara Kuu ya Kilimo ya Taifa (National Laboratory Centre) mkoani Dodoma, ikiwa ni hatua muhimu ya kuimarisha tija, ubunifu na utafiti katika sekta ya kilimo
Mradi huo wa kimkakati uliozinduliwa siku ya Ijumaa Agosti...
Wajumbe wa CCM Kata ya Engusero wilayani Kiteto mkoani Manyara, wamelalamikia kubadilishwa kwa namba za wagombea katika fomu za kupigia kura za maoni, kwa ngazi ya Udiwani hivyo kusababisha mkanganyiko katika upigaji kura.
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) John Luhende, ameibuka mshindi wa kura za maoni za kuwania ubunge wa Jimbo la Bukene mkoani Tabora, baada ya kuzoa kura 6,274 na kuwaacha kwa mbali wapinzani wake akiwemo Mbunge aliyemaliza muda wake Selemani Jumanne Zedi, ambaye amekuwa wa tatu kwa kupata kura...
Katibu wa Wilaya ya Ilala CCM akimpigania Mgombea wake dhidi ya Mgombea wa anayekubalika na wengi, ambaye ameonekana kuwa mwiba kwa Mgombea wa Katibu huyo.
Tangu Mh. Mpina alipowapima samaki waliopikwa kwa rula kwenye sahani ya mlaji ndipo nikagundua kuwa Mpina sio wali wa kushiba. Tangu siku ile kila anachosema ninakihoji. Eti sasa anataka kuwa Rais wetu wote. Hebu tuweni serious!!!
Ndio maana vyama vya upinzani vina safari ndefu bado...
Wanaopenda Chama sindikizi jiungeni na ACT Wazalendo tuacheni wapenda mabadiliko. Huwezi kupata madiliko ya kimfumo wakati wewe mwenyewe unategemea mfumo huohuo kukulipa. Huwezi kupata mabadiliko kama huwezi kwenda jela na kuwa mwoga mwoga. Huwezi kupata madiliko kwa kuomba wakandamizaji wako...
Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ADA-TADEA, Ally Makame, ameikosoa vikali kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya No Reforms, No Election, akidai kuwa ni jaribio la kujipa mamlaka ya kipekee kisiasa na kupotosha mwelekeo wa taifa...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba ameongoza kwenye kura za maoni zilizopigwa na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wa Jimbo la Iramba Magharibi ambapo amepata kura 10,604
Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amewapita kwa kura nyingi wapinzani wake watatu, ambao ni...
Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Aisha Madoga, amepokea fomu ya kutia nia ya kuwania ubunge Jimbo la Dodoma Mjini kwa tiketi ya chama hicho.
Madoga amekabidhiwa fomu hiyo na wanachama wa CHAUMMA nyumbani kwake jijini Dodoma Agosti 04, 2025
Akizungumza mara...
Wajumbe wa Kata za Bonyokwa na Kinyerezi zilizopo katika Jimbo la Segerea jijini Dar es Salaam wameamua kulala na wengine kuweka vijiwe nje ya kumbi walizopigia kura.
Kata za Jimbo la Segerea zina wajumbe zaidi ya 1,000 kwa kila kata, hivyo wengi wamesema kuwa huenda kazi ya kuhesabu kura...
Paul Makonda ameshinda kwa kupata kura zaidi ya elfu 9 ambayo ni sawa na 97% na kuwaacha mbali wenzake kwenye kura za maoni ya ccm kwenye jimbo la Arusha mjini.
Wasiompenda msukuma mwana kolomije Paul Makonda sasa watakuwa nae sana hapo mjni
===============
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
Aibu kubwa kujihusicha na chama kama hiki.
Wizi ,ruchwa,upendeleo kwa familia za vigogo, kwenye mikutano
Katiba kuvunjwa kama vile watu wanavunja miwa.
Watu makini wamekaa kando
Nurdin Bilal Juma maarufu kama Shetta, Msanii wa muziki wa kizazi kipya na mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameibuka mshindi katika kura za maoni za chama hicho kwa nafasi ya udiwani Kata ya Mchikichini, Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam.
Ushindi huo unamuweka Shetta katika nafasi...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Makambako mkoani Njombe Deo Sanga (Jah People) akiomba kura kwa wajumbe wa CCM katika kata ya Kitisi amesema kuwa endapo akipata ridhaa kwa mara nyingine ya kuwa mwakilishi wao Bungeni atahakikisha anafanikisha ujenzi wa bustani kwa ajili ya wananchi kupunguza mawazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.