kuelekea uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Msaidizi wa mbunge mstaafu akamatwa na TAKUKURU Tarime

    Elisha Samo ambaye ni Katibu wa Mbunge mstaafu wa Jimbo la Tarime Mjini, Mhe. Michael Mwita Kembaki, anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Tarime kwa tuhuma za kuendesha mikutano ya kisiasa kinyume na taratibu za Chama Cha Mapinduzi @ccmtanzania Inadaiwa...
  2. Mkalukungone Mwamba

    Tetesi: Mpina agonga hodi ACT Wazalendo na yupo tayari kugombea urais

    Saa za aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Mkoa wa Simiyu, Luhaga Mpina wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kutua katika Chama cha ACT-Wazalendo zinahesabika, baada ya kiongozi huyo kubisha hodi huku akieleza kuwa yuko tayari kupeperusha bendera ya chama hicho katika nafasi ya urais, Jambo TV...
  3. G

    GE2025 Abdukadil Ally Issa nyota mpya inayowaka ubunge Tunduru Kaskazini

    Nyota inawaka upande wa Kijana Mdogo na Mjasiliamali katika mbio za Ubunge Jimbo la Tunduru Kaskazini na ni kama Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Tunduru Kaskazini WAMEAMUA kwa kauli moja kumpa kura kijana huyo mdogo lakini mwenye MAONO makubwa hapo kesho! Kwa mujibu wa UTAFITI...
  4. M

    GE2025 Kailima Ramadhani: Acheni upotoshaji, idadi ya wapiga kura iko sahihi

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imesema kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 16 (5) sheria ya Uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani Na.1 ya mwaka 2024, Tume imekamilisha uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa awamu zote mbili. Akizungumza na kwenye Mkutano wa Kitaifa kati ya Tume...
  5. SSH2025_2030

    GE2025 Prof. Ndakidemi aahidi Airport jimbo la Moshi Vijijini akipewa nafasi tena kuwa Mbunge

    Mbunge Mteule Prof Ndakidemi ameahidi makubwa endapo atachaguliwa tena 2025-2030. Moja ya Ahadi Yake NI kujenga airport kubwa jimboni Moshi vijijini.
  6. DuaZaMama

    GE2025 Katibu wa CCM Mufindi Adaiwa Kumsaidia Mbunge Kihenzile Kura za Maoni

    Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mufindi anatuhumiwa kuhusika katika mipango ya kuiba kura za maoni kuelekea uchaguzi wa ndani wa chama hicho unaotarajiwa kufanyika Agosti 4, 2025, ili kumuwezesha Mbunge aliyepo madarakani, Jimbo la Mufindi Kusini Mhe. Davidi Kihenzile, kuendelea...
  7. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Baba Levo aahidi kulipa jina soko la Kipampa "Wasafi night market"

    Mtia nia ya kugombea Ubunge jimbo la Kigoma Mjini Babalevo ameahidi kulipa jina soko lililopo kata ya Kipampa wilayani humo. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
  8. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima Ramadhani: Waandishi wa Habari tendeni haki wakati wa uchaguzi

    Mkurugenzi wa Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani amewakumbusha wanahabari wajibu wao wa kuhakikisha vyama vya siasa na wagombea wanapata nafasi ya kufikisha ujumbe wao kwa wapiga kura katika kipindi cha kampeni. Aidha, Bw. Kailima amewataka wanahabari kutoa taarifa sahihi kwa umma na kuepuka...
  9. Waufukweni

    GE2025 Iringa: Mgombea alivyo piga magoti na kulia mbele ya Wajumbe wa CCM akiomba Kura ya Ndiyo

    Wakuu! :D:D Watia Nia naona wanataka kuonewa huruma siyo Sera ndio ziwabebe Mtia nia wa ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Edward Nguvu Chengula maarufu kama Sauti ya Simba, alipiga magoti na kutishia kulia machozi mbele ya wajumbe wa CCM Kata ya Kihesa, wakati...
  10. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Chief Godlove: Jina limekatwa ila kama sio leo basi kesho nitafaa

    Mtia nia wa Ubunge, Mkurugenzi wa Chief Godlove Foundation na Mwanamitandao Godlove Mwakibete maarufu kama pamoja na jina lake kukatwa, amerudi nyumbani kwao Wilayani Kyela kuwashukuru Wazazi wake walimchukulia fomu pindi alipotia nia ya kuwania Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi. Akiongea na...
  11. DuaZaMama

    GE2025 Wananchi wakiwasha baada ya majina kurudi

    Wananchi wa Kata ya Shambalayi Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara wameandana hadi ofisi ya chama cha mapinduzi (CCM) Kupinga uamuzi wa majina yaliyo rudi kuwa hawayahitaji na badala yake majina wanayo yahitaji hayajarudi. Wananchi hao wamemuomba Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye ni Rais wa Jamhuri...
  12. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Sagini akutana na balaa zito Butiama, wajumbe wamkataa!

    Sagini Jumanne Abdallah amakutana na balaa zito kwa wananchi wa Butiama, baada ya ya baadhi ya wananchi kuonyesha kutomtaka kuendelea kujinadi mbele ya wajumbe Hakika kweli wananchi mwaka huu wanalao jambo kwa viongozi waliwakimbia kuwaletea maendeleo
  13. K

    GE2025 Kuwashambulia viongozi wetu waliopo na wastaafu kwa watu wao wa karibu kugombea nafasi za uongozi kwa jamii ni kuwakosea adabu

    KUWASHAMBULIA VIONGOZI WETU WALIOPO NA WASTAAFU KWA WATU WAO WA KARIBU KUGOMBEA NAFASI ZA UONGOZI KWA JAMII NI KUWAKOSEA ADABU Na: Alex Msama 🇹🇿 : Agosti 1, 2025 Katika jamii inayozingatia misingi ya haki, utu na utawala wa sheria, ni jambo la aibu na la hatari kuanzisha dhana potofu...
  14. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mgombea wa ubunge viti maalumu apata kiwewe wakati wa kuomba kura mbele ya wajumbe

    Mambo yanakuwa moto pale unaposimama kwenye kundi la watu na kuanza kuzugumza ! Sasa yamemkuta moja ya mgombe wa nafasi za viti maalumu Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Zoezi la kuomba kura mbele ya Wajumbe wa...
  15. MamaSamia2025

    GE2025 CCM iruhusu CHADEMA kutoa mapendekezo yao kuhusu wagombea wa CCM wanaowataka

    Kutokana na wanaCHADEMA kuwa mstari wa mbele kupinga na kukosoa mambo mbalimbali yanayoendelea wakati huu wa uchaguzi ninashauri chama chetu CCM kiwape hawa ndugu zetu nafasi maalum ya kupendekeza wagombea wanaowataka. Imefika sehemu viongozi waandamizi wa CHADEMA wamejiunga na Polepole kusema...
  16. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Wanachama wa CCM warudisha kadi, baisikeli na pikipiki za chama baada ya kuenguliwa kwa majina udiwani

    Wanachama wa chama cha mapinduzi katika kijiji cha Mkwedu kata ya Mkwedu wilayani Newala mkoa wa Mtwara wamerudisha kazi za chama haicho, baiskeli na pikipiki kwa sababu ya kuenguliwa kwa majina ya wagombea udiwani. Hayo yamejiri 31 July 2025
  17. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Devotha Minja ajitosa ubunge Morogoro mjini kupitia CHAUMMA

    Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Tanzania Bara, Devotha Minja, Agosti 1, 2025, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Morogoro Mjini kupitia chama hicho. Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu katika Ofisi za CHAUMMA mkoani Morogoro...
  18. M

    GE2025 Dkt. Kimei: Nimeomba tena ubunge ili kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya barabara na kufungua fursa za utalii Kilema

    Dkt Charles Stephen Kimei, Mbunge wa Jimbo la Vunjo, amesema kuwa kukamilika kwa barabara ya Nyerere (Pofo – Mandaka – Kilema) pamoja na barabara ya Kilema – Maua – Kirua ni miongoni mwa vipaumbele atakavyovitekeleza katika kipindi kijacho ikiwa atapata ridhaa ya kuendelea kulitumikia Jimbo...
  19. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Aliekatwa jina lake CCM Jimbo la Meatu aibukia ofisi za CHAUMMA

    Aliyekuwa mtia nia wa ubunge wa Jimbo la Meatu kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Joseph Mwanambuke, ambaye jina lake halikufanikiwa kupenya katika orodha ya awali ya walioteuliwa kuwania nafasi hiyo ameonekana katika viunga vya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) mkoani Dar es...
  20. Just Pray

    GE2025 Mjumbe CCM amuuliza Peter Msigwa kama atahama chama andapo atashindwa kura za maoni, Msigwa asema kuhama sio kosa la jinai, inategemeana na mazingira

    Mtia nia wa Ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, leo 31 Julai 2025 amemjibu moja ya mjumbe aaliyemuuliza swali "endapo akishindwa atahama chama?" Msigwa amejibu swali hilo wakati akiomba kura za maoni kutola kwa wajumbe wa Kata ya Mtwivila.
Back
Top Bottom