kuelekea uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    GE2025 Wengine wasahaulika Mchujo Kamati Kuu CCM.

    NYONGEZA YA MAJINA YA WATIA NIA WALIOTEULIWA Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliotajwa katika taarifa hii, waliteuliwa na Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, iliyoketi Jumatatu, tarehe 28 Julai 2025. Majina yao yalisahauliwa kutangazwa katika orodha iliyotolewa mapema...
  2. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Uteuzi wa awali wa wagombea nafasi za ubunge kupitia viti maalumu wanawake

    1) MKOA WA ARUSHA 1) Ndugu Lilian Joseph BADI 2) Ndugu Zaytun Seif SWAI 3) Ndugu Athuman ISSA 4) Martha Gido KIVUNGE 5) Dkt. Asanterabi Ngoyai LOWASSA 6) Ndugu Navoi MOLLEL 7) Ndugu Martha Martin AMO 8) Ndugu Catheline Valentine MAGIGE 2) MKOA WA DAR ES SALAAM 1) Ndugu Janeth Elias MAHAWANGA 2)...
  3. KING MIDAS

    GE2025 CCM wapitisha maprofesa 16 kugombea ubunge

    Kama ulikua hujui kuwa CCM imepitisha MAPROFESA 16 kugombea ubunge wacha nikufahamishe;- Muda mchache uliopita CCM imetoka kutangaza matokeo ya nafasi za ubunge, Katika matangazo hayo watu wenye elimu ya uprofesa wapo 16, Je unataka kujua ni akina nani hao na wanagombea jimbo gani...
  4. Genius Man

    GE2025 Sasa ndio naelewa kuwa uongozi wa hivi sasa ni kama nyumba isiyo na mwenyewe, mke wa rais mstaafu kuwania ubunge kunatupa picha mbaya

    Sasa ndio naelewa kuwa uongozi wa hivi sasa ni kama nyumba isiyo na mwenyewe, mke wa rais mstaafu kuwania ubunge kunatupa picha mbaya. Tanzania ni nchi ya kwanza kuona mke wa rais mstaafu kuwania ubunge, kwa uongozi ambao umeshutumiwa kuwa hakuna mwenye sauti, unabaka katiba ya nchi na chama...
  5. K

    GE2025 Ukweli kuhusu uchaguzi mkuu, Oktoba 2025 ; au baadae kidogo baada ya marekebisho

    Ni muhimu waTanzania waelewe kinacho elekea kutokea katika kutafuta uongozi wa nchi hii, iwe ni kwa ridhaa yao au kwa kulazimishwa kukubali kuongozwa kwa nguvu. Endapo kinachoitwa uchaguzi utafanyika hapo Oktoba kama ilivyo pangwa, kwenye mazingira ya sasa; ni kwamba uchaguzi huo utakuwa ni wa...
  6. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Tahliso Tunamuunga mkono Rais Samia haimaanishi kuwa Taasisi inaiunga Mkono CCM

    Naibu Kamishna wa Katiba, Sheria na Utawala Bora wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini Tahliso Bw. Aron Mzelela Seni amewaambia waandishi wa habari leo Jumatatu Julai 28, 2025 kuwa Jumuiya hiyo inamuunga mkono Dkt. Samia Suluhu Hassan kama Rais wa Tanzania katika shughuli za maendeleo...
  7. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Camanda wa mama: Rais Samia akabidhiwe na kuiongoza dunia nzima 2025-2030

    Camanda wa mama atamani Rais Samia aiongoze dunia nzima,Yaani awe rais wa dunia ili dunia ipate maendeleo ya haraka kama ilivyopata Tanzania ktk kipindi chake cha uongozi
  8. Subira the princess

    GE2025 Miaka 64 ya uhuru bado CCM wanajenga miondombinu, madarasa na vyoo vya wanafunzi na sio uchumi

    Wasalaam. Inatafakarisha sana CCM imeongoza taifa la Tanganyika tangu uhuru lakini bado barabara ni mbovu, maji safi ni mtihani, wanafunzi bado wanakaa chini huko viongozi wa CCM wakitembelea ma v8 huku wakijilipa mishahara minono na kujitajirisha. Tujiulize tu bila kujizima data, je ni lini...
  9. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 CHAUMMA yapokea wanachama wapya 250

    Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), kimepokea wanachama wapya 250 kutoka Jimbo la Kinondoni leo Jumapili, Julai 27, 2025 wakati chama hicho kilipofanya mkutano mkuu wa jimbo hilo. Sera za chama, kushiriki uchaguzi, mabadiliko ni miongoni mwa sababu zilizofanya chama hicho kupokea wanachama...
  10. Tindo

    GE2025 Polisi Wavamia Makazi ya Mbunge Aida Khenani na wafuasi wa CHADEMA wapigwa sana

    WATU WANEKAMATWA NA KUPIGWA VIBAYA SANA TAARIFA KWA UMMA SERIKALI YA CCM YATUMIA POLISI KUVAMIA MAKAZI YA MHE. MBUNGE AIDA JOSEPH KENANI NA KUWAPIGA NA KUWAUMIZA VIBAYA VIONGOZI NA WANACHAMA Mapema Mchana wa leo Tarehe 27 Julai, 2025. Jeshi la Polisi Wilaya ya Nkasi, kwa kutumia Polisi...
  11. Pulchra Animo

    GE2025 Utaratibu uliotumiwa na CCM Kumpitisha Samia Kugombea Urais 2025 Umetengeneza Dangerous Precedent Kwa Chama!

    Inaonekana CCM iko mikononi mwa watu ambao uwezo wao wa kuona mbele ni mwisho wa pua zao. Sijui kama wamewahi kufikiria uwezekano wa historia kujirudia! Hatuombei iwe hivyo, lakini ikitokea (for any reason) Samia ameshindwa kumaliza term anayopigana kuichukua na hivyo Nchimbi (VP wake...
  12. Mshana Jr

    GE2025 Pamoja na Tume ya Uchaguzi kutoa ratiba. Lakini dalili ziko wazi Uchaguzi Mkuu hautakuwepo

    Walau jahazi lingekuwa na hitilafu ndogo lingeweza kuvutwa mpaka fuoni ili lirekebishwe.. Lakini jahazi letu limetapa hitilafu kubwa kwenye engine na kule kwenye nyufa kunazidi kutanuka na matobo yanazidi kuongezeka Hali ni mbaya sana huko mtaa wa pili.. Kama ni ugonjwa basi umeshakula mpaka...
  13. Emmanuel Adam14

    GE2025 "Hali ya Usafiri wa Mwendo Kasi Jijini Dar es salaam: Je, Wananchi Watapiga Kura Kwa Hili?"

    Naandika kwa mshangao, kwa masikitiko, na kwa hasira pia. Yaani wananchi wa Dar es Salaam wanateseka kila siku na huduma ya mwendo kasi, lakini bado baadhi yao wanatetea na kuahidi kupigia kura hii serikali? Tuambiane ukweli: Serikali hii imeshindwa kabisa kuendesha mfumo wa usafiri wa mwendo...
  14. Kinumbo

    GE2025 CCM wao hawajali wanaendelea na mambo yao kama kawaida

    Jana CCM wamefanya mkutano wao wakati huo huo tume ya uchaguzi imeweka wazi ratiba rasmi ya uchaguzi mkuu. Hii inatoa taswira kuwa CCM hawajali lolote lile, kumekuwepo mambo mbalimbali yanao endelea kutoka kwa wananchi na vyama pinzani kutaka mabadiliko ya tume kabla ya uchaguzi. Lakini kwa...
  15. 888I

    GE2025 Uchaguzi mkuu 2025, Je, unajua takwimu hizi muhimu?

    Uchaguzi Mkuu 2025: Je, unajua takwimu hizi muhimu? 📍 Jumla ya wapiga kura — Zaidi ya 37.6 milioni! 📍 Idadi ya Wanawake ni kubwa kidogo vs Wanaume 📍 Vituo vya kupigia kura — Karibu 100,000, vimeongezeka kwa 22%! Takwimu hizi zinaonesha maandalizi ya uchaguzi. Siku ya Kupiga kura ni Oktoba 29...
  16. B

    GE2025 Lawama za mchujo zilizidi hadi ikabidi wabadili katiba! Kazini kwao kuna Kazi!

    Kila wakichekecha kipenzi anadondoshwa, wakimrudisha inabidi kipenzi mwingine aanguke, mchujo umekuwa umekuwa vita🤣🤣🤣 Halafu sasa kulivyokuwa hakuna siri, wanaotiwa ngumu wote wanakuwa wanajulikana, wakifikiria kurogwa na kuwahishwa kwenda kumuona mwenda zake wanasema aaaah aaah embu tufikirie...
  17. ChoiceVariable

    GE2025 Abdulhabib Mwanyemba: Waliotaka kupora urais wa Samia tunawajua walipojificha

    My Take Huu ni ukweli mchungu najua mnajua ila mlokuwa mnatikisa kiberiti. Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba, amelaani vikali kile alichokiita juhudi za watu wachache wenye nia ya kukwamisha misingi, tamaduni na Katiba ya Chama Cha...
  18. N

    GE2025 Hongera nyingi kwa Mwenyekiti wa CCM na Rais Wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassani

    Hongera sana Raisi na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema CCM itajitahidi kuingiza vijana wengi kuwania nafasi za Ubunge na Udiwani katika Uchaguzi Mkuu 2025. Mwenyekiti Dkt. Samia amesema hayo leo tarehe 26 Julai...
  19. Ashampoo burning

    GE2025 Mama Samia Atapita Tu 2025, Lakini CCM Italipa Gharama 2030

    Mwaka huu 2025 Mama Samia atapita tu kwenye uchaguzi, si kwa sababu watu wanampenda sana – la hasha – bali ni kwa sababu mambo yalivyokaa tu. Chadema walishajichimbia kaburi mapema na ka-ideology kao ka “No Reform No Election”. Hiyo hoja ina uzito, lakini ukweli ni kwamba huwezi kuzuia uchaguzi...
  20. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Agnesta Kaiza: Reforms azijafanyika lakini tusisusie uchaguzi

    Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Agnesta Kaiza, amewataka wanachama na wapenzi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kutokata tamaa na kususia uchaguzi licha ya changamoto zilizopo kwenye mfumo wa uchaguzi nchini. Akizungumza na wanachama katika hafla ya kupokea wanachama wapya wa Chaumma...
Back
Top Bottom