Viongozi wa dini, wazee wa mila na asasi za kiraia wametakiwa kushirikiana kwa karibu katika kupambana na vitendo vya rushwa wakati huu taifa likielekea kwenye uchaguzi mkuu, ili kusaidia jamii kupata viongozi bora, waadilifu na wenye kuzingatia masuala ya haki, uongozi na maendeleo ya wananchi...
WARATIBU wa uchaguzi , wasimamizi wa uchaguzi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya jimbo wamekutana jijini Arusha kwa siku tatu kwa ajili ya mafunzo ikiwa ni maandalizi ya kuwawezesha kutekeleza ipasavyo kazi na jukumu lililo mbele yao.
Akifungua mafunzo hayo leo Mjumbe wa Tume huru ya...
Maafisa na wasimamizi wa uchaguzi katika mikoa ya Mwanza na Mara wametakiwa kuhakikisha wanavishirikisha vyama vya siasa kikamilifu katika mchakato wa uchaguzi, huku wakizingatia sheria na kuiepuka migogoro inayoweza kuibuka wakati wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Wito...
Kinachoshangaza ni hivi wanawake na wanaCCM wanaojumuika jimboni humo wameahidi kwamba hawatashiriki katika kura za maoni zinazopangwa kufanyika tarehe 2 Agosti 2025 – iwapo jina la Luhaga Mpina halitarudishwa kwenye mchakato huo .
Hali hii inaashiria mgawanyiko ndani ya chama na wasiwasi...
Chama cha Ukombozi wa Umma kimefanya Uzinduzi wa ofisi ya chama hicho Mkoa wa Kilimanjaro leo Julai 19,2025 na kuhudhuriwa na wafuasa mbalimbali wa chama hicho.
Sambamba na uzinduzi huo pia Chama hicho rasmi kimezinduzi wa zoezi la uchukuaji fomu kwa wagombea wa ubunge na udiwani ndani ya Mkoa...
Aliyekuwa Katibu wa Mkoa wa Kagera wa Chama cha ACT-Wazalendo, Linus Maeje (Meja) amejiondoa kwenye chama hicho na kujiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) leo Jumamosi Julai 19 2025 Mjini Karagwe mkoani Kagera.
Meja mepokelewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Habari kwa Umma wa...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Na Aliyekuwa (Mbunge Ukonga) Jerry Silaa akizungumza Na Wananchi Wa Kitunda Jimbo La Ukonga Katika Eneo Ambalo Atakabidhiwa Mkandarasi Barabara Ya Banana,Kitunda,Kivule Mpaka Msongola Kwaajili Ya Kuanza Ujenzi Hivi Karibuni
KADA wa CCM Hussein Bashe anatajwa kuwa ndiye chanzo cha kuvuruga Kikao cha Kamati Kuu kilichopangwa kufanyika leo cha kupitisha majina ya wagombea ubunge wa majimbo na viti maalum baada ya kubainika kuwa sehemu kubwa ya wagombea waliopitishwa na Kamati za Siasa za Wilaya na Mikoa ni Maelekezo...
Wakati Watanzania mbalimbali waki summarize Press ya Mzalendo Polepole Kwa namna mbalimbali waonavyo.
Polepole yeye kahitimisha Kwa kusema huku akisisitiza "Mwaka huu KwaDesturibya CCM kunapaswa kua na Wagombea Urais Wapya wenye Sifa, Wapyaaa wenye Sifa"
Tazama hapa kuanzia Dakika 25...
Mtia nia ya ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Kinondoni, Joseph Boniface Mhonda, ametoa wito kwa wanachama na wagombea wenzake wa CCM kuwa watulivu na kuheshimu taratibu za chama, wakati huu wa mchakato wa ndani wa chama kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Akizungumza...
Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha) Taifa, Bi. Sigrada Mligo, amehutubia kwenye mkutano wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), uliofanyika Makambako mkoani Njombe leo Julai 17, 2025.
Mligo katika hotuba yake amesema wananchi wanahitaji Wawakilishi...
Godfrey Sitta, mtia nia wa Ubunge wa jimbo la Meatu kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) ametoa wito kwa makada wa chama hicho na wakazi wa Meatu kwa ujumla wake kuhakikisha wanaufanyia kazi kikamilifu ushauri uliotolewa na Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
"Nitakuja Tunduru kufanya Mkutano na Mkutano wangu wa Tunduru nitatamani niambatane na Katibu Mkuu mwenzangu, Kaka yangu Ado Shaibu tuje tungurume hapa.
Leo ilikuwa nije naye, yule ndio pacha wangu, yeye akicheza 11 mimi namba saba na tumekubaliana mwaka huu Mimi na Ado Shaibu kiwake kisiwake...
Nimezaliwa na kukuwa Arusha.
Hakuna uchochoro wa mji ambao kwakweli siufahamu.
Naona Makonda kama mvamizi tu.
Mji haujui, hajui watu wake, matatizo yake na wala hawezi kuyasemea matatizo ya watu wa Arusha kama vile angewasemea watu wa kule kwao koromije.
Arusha kwake ni kama ngazi ya...
MRADI WA KUPELEKA UMEME MGODINI STANGOLD.
Mh mbunge wa jimbo la biharamulo Eng Ezra Chilewesa wakati wa kampeni aliarifiwa kuwa mgodi wa dhahabu wa STANGOLD wana tatizo kubwa la uhaba nishati na baada ya kuchaguliwa alifika mgodini hapo na kuona uhalisia .
Mgodi huo ulikuwa ukitumia bilioni...
Tanzania inakaribia uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, huku ikikabiliwa na changamoto kubwa za miundombinu, hasa barabara. Hali hii inatishia maendeleo ya kiuchumi na kijamii, na inahitaji umakini wa hali ya juu ili kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa ufanisi. Barabara zetu nyingi zimeharibiwa, zikiwa...
Kauli mbiu ya "No Reform, No Election" (Hakuna Mageuzi, Hakuna Uchaguzi) hutumiwa na makundi ya kijamii au kisiasa kupinga kushiriki katika uchaguzi hadi pale mageuzi ya kisiasa, kisheria, au ya kiutawala yatakapofanyika.
Malengo ya kampeni hii kwa kawaida huwa ni:
1. Kushinikiza Mageuzi ya...
Muda mfupi baada ya Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa Chama cha ACT Wazalendo, Abdul Nondo kuchukua fomu ya kugombea ubunge Kigoma Mjini, kada wa CCM, Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba Levo anayewania jimbo hilo, amedai kuwa hizo ni njama za kumwepusha kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo...
Kama mwanachama wa chama cha upinzani, nimekuwa nikifuatilia kwa makini mwenendo wa siasa ndani ya vyama vyote, si kwa ajili ya kushangilia mapungufu ya wengine, bali kwa kutambua kuwa mustakabali wa Taifa letu hutegemea afya ya kisiasa ya kila upande.
Hivyo basi, matukio yanayoripotiwa kutokea...
LIle genge la watia nia wa Chadema wa kutaka kugombea ubunge na udiwani kwenye uchaguzi wa mwaka huu, maarufu kama G55, wakati Chadema ikiwa kwenye harakati za NRNE kisha baadhi yao kuamua kumtimkia CHAUMA sijui limefikia wapi kwenye mpango wao wa kugombea. Siwasikii popote wakijinadi wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.