Askofu Amani ameyasema hayo leo Julai 25, 2025 wakati wa maadhimisho ya Jubilee ya miaka 100 ya Seminari ya Mtakatifu Yakobo Mtume iliyopo Kilema chini, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha, Isaack Amani ametawaka Watanzania kuwa waangalifu kuelekea...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ametoa wito kwa viongozi wa vyama vyote vya siasa nchini, wakiwemo wa CHADEMA, CCM, na ACT-Wazalendo, kuonesha ukomavu wa kisiasa kwa kuweka kando tofauti zao na kukutana kwa mazungumzo ya pamoja kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2025...
Endapo kesho Mkutano Mkuu utatengua kanuni iliyopitisha mgombea mmoja na kuruhusu wagombea wasiopungua watatu, Rais Samia anaweza kuwekewa pingamizi kwa kuanza kampeni ya uteuzi mapema,
Na endapo atateuliwa na chama chake, anaweza pia kuwekewa pingamizi mahakamani au kwenye Tume ya Uchaguzi na...
Wahenga walisema "maji yaliyotulia Yana kina kirefu" CCM NI MAJI YALIYOTULIA"
Nashangaa kuona wapinzani wapo busy na kufatilia habari za uchambuzi wa wagombea wa ubunge na udiwani wa CCM huku wanaamini No Reform no Election sijui ni akili ya namna gani hii.
Tuliwaambia CCM ni dude kubwa...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuitisha Mkutano Mkuu Maalum wa Taifa utakaofanyika kwa njia ya mtandao siku ya Jumamosi, Julai 26, 2025 kuanzia saa 2:00 asubuhi.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo vyetu vya kuaminika ndani ya CCM, tangazo hilo lililotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu...
Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amepokea rasmi mapendekezo ya sifa na vigezo vya wanawake wa chama hicho wanaotarajiwa kuteuliwa kushika nafasi mbalimbali za uongozi kupitia viti maalum katika uchaguzi ujao.
Akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam siku...
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) mkoani Katavi kimewatoa wasiwasi wananchi wa Kata ya Kakese, Manispaa ya Mpanda, kuhusu usalama wa kura zao kwenye uchaguzi mkuu ujao, kikiahidi kuwa na mikakati madhubuti ya kuzilinda ingawa hakijaweka wazi mbinu hizo kwa sasa.
Kauli hiyo imetolewa siku ya...
MSIMAMIZI Msaidizi wa Jimbo la Kivule, Wilaya ya Ilala, Dk. Mussa Ally ameipongeza serikali kwa kuwaruhusu wafungwa kushiriki katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu kwa mara ya kwanza.
Akizungumza na Daily News Digital, Dk. Mussa amesema hatua hiyo ni miongoni mwa maboresho makubwa kuelekea...
Mchungaji Dk.Godfrey Malisa aliyefutwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameendelea kusisitiza kuwa kilichofanywa na Chama hicho kumpitisha Rais Dk. Samia kuwania nafasi ya Urais haikuwa sehemu ya Mkutano Mkuu wa CCM kwani agenda hiyo ilipachikwa dakika za mwisho hivyo kuna maswali ya...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuwa kitafanya kura ya maoni kwa wagombea wa Ubunge, Uwakilishi na Udiwani katika ngazi ya Kata/Wadi na Majimbo kwa Tanzania Bara na Zanzibar Agosti 4, 2025. Hii ni hatua muhimu katika mchakato wa ndani wa chama wa kupata wagombea wake kwa ajili ya Uchaguzi...
Kamishna wa chama cha ukombozi wa umma CHAUMMA kwenye mikoa ya Katavi, Kigoma na Tabora Masanja Mussa katambi Amesema taarifa za kuwa wamenunuliwa kwenda CHAUMMA Ni uongo na walichokifanha ni maamuzi sahihi ya Kutafuta jukwaa la kuendelea kuwasemea Wananchi baada ya kuona hawatapata nafasi ya...
Hawa Bananga, Mbunge Mstaafu wa Viti Maalum akifunguka kupitia One on One
Mbunge yeyote anayetafuta nafasi kwa sababu ya fedha mtegemee miaka mitano kutokuhoji wa kuuliza chochote kwake kwa sababu mmeshamalizana
Mbunge wa Viti Maalum 2015 - 2025 kupitia CHADEMA Hawa Bananga , ambaye kwa sasa amejiunga na CCM na ni miongoni mwa wanachama waliojitosa katika mbio za ubunge Jimbo la Tabora Mjini.
Mbunge wa zamani wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Hawa Bananga akijibu maswali kupitia kipindi cha One on One with ya Wasafi TV.
Hawa kwa sasa ni mwanachama wa CCM na amejitosa katika mbio za ubunge wa Jimbo la Tabora Mjini amefunguka mengi.
Hawa Bananga, mmoja kati ya waliokuwa Wabunge 19 wa...
Mkurugenzi wa Fedha, Mipango na Uchumi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Catherine Ruge (Msubhati) amesema ameamua kusimama na kugombea ubunge wa Jimbo la Serengeti Mkoani Mara, kwa lengo la kupigania haki za wananchi na kurejesha matumaini kwa jamii inayokabiliwa na changamoto mbalimbali...
Kauli ya Daniel Kalinga Mtumishi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Wakati akifunga mafunzo kwa Watendaji wa Uchaguzi ngazi ya Jimbo kutoka mikoa ya Iringa,Ruvuma na Njombe.
Huenda jina la Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba likakosekana miongoni mwa watakaogombea urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala...
Kutokana na kukosekana kwa stendi ya mabasi katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Kheri James Ameiagiza Halmashauri hiyo kuhakikisha kuwa baada ya miezi miwili stendi za mabasi zinaanza kufanya kazi katika maeneo yaliyotengwa.
Mhe. Kheri ametoa maagizo hayo Julai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.