kuelekea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Twiga Stars yaanza vizuri kuelekea Wafcon 2025 Morocco

    21 June 2025 Dar es Salaam, Tanzania TWIGA STARS YATWAA KOMBE LA MICHUANO YA CECAFA FULL MATCH FINAL CECAFA 2025 KENYA VS TANZANIA https://m.youtube.com/watch?v=0D7FA4xY-K4 Hivyo michuano ya CECAFA yazidi kuiimarisha kuelekea michuano ya mataifa ya kiafrika ya mpira wa miguu WAFCON itakayoanza...
  2. Pearce

    JamiiForums Tanzania Iran yarusha makombora kuelekea Israel, baada ya USA kuingilia kati

    Kadili siku zinavyosonga mbele idadi ya makombora yanayorushwa inazidi kupungua, kutoka makombora na drone 1000 kwa siku Sasa IRAN anarusha 30 tu Ndani ya muda mfupi ataanza kujaribu kutumia artillery
  3. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Leo Jumapili, Tarehe 22/06/2025 Kuelekea Kilele Cha Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya

    Mchezo wa mpira wa miguu – hatua ya fainali unatarajiwa kufanyika kwa shamrashamra kubwa katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Makatifu John (St. John’s University), jijini Dodoma. saa tisa Jioni. Tukio hili ni sehemu ya kampeni endelevu ya kuhamasisha jamii, hususan vijana, kuhusu madhara ya...
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hizi baiskeli zimetoka wapi, na kwanini zigawiwe kwenye kuelekea uchuguzi tu?

    Hizi baiskeli zimetoka wapi, na kwanini zigawiwe kwenye kuelekea uchuguzi tu ? Vipi zilikuwa kwenye bajeti ya nchi ? Hizi siasa tunazotaka kuzifanya sio kabisa na zinatia aibu sana kwa majirani na dunia, sasa mtu kama huyu anayekupa sijui baiskeli sijui kanga hana akili timamu na hawezi kuwa...
  5. ngara23

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mgogoro ndani ya Simba unafukuta, Mo na bodi yake wasusa, Simba yasafiri Kwa njia ya barabara kuelekea Tabora

    Baada ya suluhu ya mgogoro wa derby huko Ikulu Dodoma umekuwepo mgogoro mkubwa kwenye timu ya Simba Bodi ya Simba na mdhamini mkuu Mo Dewji hawakufurahia uwakilishi wa viongozi wa Simba ambapo wengi walikuwa wazee wa Simba akina Dalali na Hasanoo Wazee hao wa Simba hawakuwa na hoja au matakwa...
  6. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Misri wamewafanyia vurugu na kuwaondosha waandamanaji wa kimataifa waliotaka kupitia nchini kwao kuelekea Gaza.

    🤣🤣 Wamisri wameona hawataki kuingizwa katika utapeli wa kipalestina. Wana maana yao kwa nini wameweka uzio mkubwa katika ya gaza na misri.
  7. U

    JamiiForums Tanzania Njia ya kuelekea Tehran imejengwa': Wakuu wa IDF wasema Jeshi la Wanahewa kuanza kufanya kazi kwa uhuru katika mji mkuu wa Iran Tehran

    Wadau hamjamboni nyote. Mkuu wa Wafanyakazi wa IDF Lt. Jenerali Eyal Zamir na Mkuu wa Jeshi la Wanahewa la Israel Meja Jenerali Tomer Bar walisema katika tathmini iliyochapishwa leo asubuhi kwamba "njia ya kuelekea Tehran imejengwa." "Kulingana na...
  8. Bill

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Nguo za akina MAMA zipo wazi chini? Wanatembea wakiwa wazi kuelekea ardhini?

    Hili ni swali naomba majibu. Kwanini nguo za akina mama, yaani magauni, sketi, hijabu na zinginezo zinazofanana na hizo huwa zipo wazi chini? Kwa asili, duniani kote, mavazi ya wanawake huwa yapo wazi chini. Ukiachana na usasa wanavaa suruali na vibana ngozi (tight), lakini kiuhalisia nguo zao...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isingetumia njia ya Mombasa hadi Kisumu kisha Ziwa Victoria kusafirisha boti badala ya njia ya Barabara kutoka Mtwara mpaka Mwanza??

    Anayeweza kunisaidia kufafanua bot inayosafirishwa kupita mikoa zaidi ya 4 kwa siku 30 kwanini lisingesafiri kwa maji kutoka Mtwara mpaka Mombasa Kenya kisha, wasafirishe mpaka bandari ya Kisumu kisha iingie kwenye maji yenyewe mpaka Mwanza? Wataalam walitumia tathimini gani kuona njia...
  10. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tutegemee matukio gani kujitikeza kuanzia sasa kuelekea Oktoba 2025?

    Uzi huu ni kwa wale waona mbali tu. Wale waliibarikiwa kipawa na Mwenyezi Mungu cha kuweza kuona yajayo. Kwa upepo unavyoenda, ni matukio gani makubwa unahisi yanaweza kutokea kuanzia sasa mpaka hapo Oktoba? Cc: Tumia akili
  11. toriyama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga yashikilia msimamo wake wa kutocheza derby ya Kariakoo 15/6/2025

    TAARIFA KWA UMΜΑ JUNI 09, 2025 Uongozi wa Young Africans Sports Club, unapenda kuutarifu umma kuwa, tarehe 7 Juni, 2025 tulipokea barua kutoka Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kwa ajili ya kuhudhuria kikao maalum cha kujadili masuala yahusuyo mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC, YANGA dhidi ya Simba...
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli kuelekea dabi yanga na simba June 15,2025

    Iwapo yanga atapeleka timu uwanjani kucheza na simba yafuatayo yatatokea. Yanga watacheza Kwa nguvu na pressure kubwa na rafu nyingi kupelekea kuadhibiwa Kwa kadi za njano nyingi. Kuna uwezekano simba wakafaidika na hizo rafu na hata haitakuwa ajabu simba wakipata penati zaidi ya Moja...
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo yanayoikuta Israel kuelekea kushindwa vita na Hamas

    Yale yaliyotabiriwa awali na wachambuzi mahiri wa vita kati ya Hamas na jeshi la Isael sasa ndio yanakaribia kuwa kweli. Msemaji wa jeshi lsrael kwa mdomo wake wakati wa mahojiano na kipindi cha televishei ya BBC amesema kwa sasa jeshi lake lina upungufu wa askari 10,000 ili kuendelea na vita...
  14. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa TFF na Bodi ya Ligi Wanahujumu Chama na Serikali Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu 2025

    Wanachokifanya Chama cha soka nchini TFF na Bodi ya Ligi kuhusiana na mechi ya mkondo wa pili ya watani wa jadi Young Africans SC na Simba SC ni wazi wanatumika na baadhi ya wanasiasa kuhujumu uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Ikumbukwe vilabu hivi vikubwa vina wanachama na mashabiki ambao wale wenye...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ulega Ambana Mkandarasi Barabara Kuelekea Makao Makuu ya Jeshi (JWTZ)

    ULEGA AMBANA MKANDARASI BARABARA KUELEKEA MAKAO MAKUU YA JESHI (JWTZ). Amtaka akabidhi barabara ifikapo Disemba mwaka huu Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemtaka Mkandarasi Kampuni ya CHICO kukamilisha ujenzi wa barabara ya Kikombo – Chololo - Mapinduzi (Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kuzimwa kwa mtandao nchini, TCRA yapewa tahadhari kuelekea uchaguzi/ pin na TMC watoa tamko

    30 May 2025 Dar es Salaam https://m.youtube.com/watch?v=nUGKwZ44tlQ Tech & Media Covergency na PIN wazungumzia kuhusu changamoto za TEHAMA barani Africa huku mtandao wa X ukiwa umezimwa, na nchi mwenyeji wa mkutano huo wa wadau wa Barani Africa unafanyika Tanzania jijini Dar es Salaam. Wadau...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi hotuba za Rais wetu, CHADEMA ni vyema mjiandae kimkakati kuelekea 2030, uchaguzi wa mwaka huu ni wazi hata kwa 0% hautakuwa wa huru na haki.

    Nawasikitikia sana wale wanaosema watapambana wakiwa uwanjani, kiukweli mtachakazwa na kila aina ya rafu hadi mtakimbia kabla hata ya dakika 90. Wale walioahidiwa ubunge wa bure sahauni, simuoni mwana ccm yeyote wa kukubali kuachia jimbo kizembe eti kisa wewe mpinzani. Chadema mwaka huu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025, naomba tukubali mabadiliko.

    Ni muhimu sana kwa viongozi wetu kuona hali halisi iliyopo sasa kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025. Hali inaonesha kwamba, Watanzania wanataka mabadiliko. Kwa sababu viongozi ni kwa ajili ya Watanzania wapatao 60,000,000 na si kwa ajili ya viongozi wenyewe ambao pengine wanaweza wasifike...
  19. B

    JamiiForums Tanzania PPP na UDSM kujadili mwenendo wa uchumi na nafasi ya sekta binafsi kuelekea Tanzania 2050

    Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) kwa kushirikiana na Taasisi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) imekuja na Kongamano la Wanazuoni kujadili mwenendo wa uchumi na nafasi ya Sekta Binafsi kuelekea Tanzania 2050. Kongamano hili litafanyika Jumanne tarehe 27/05/2025...
  20. endesha

    JamiiForums Tanzania Natabiri hili kutokea kwenye mikutano ya CHAUMMA

    Nisipoteze muda niende kwenye mada moja kwa moja. Kwa wale ambao hawana taarifa ni kwamba CHAUMMA wametangaza kuanza mikutano yao karibuni kwa siku 16 na wamesema watarusha chopa. Kwanza ieleweke wazi kwamba hili swala lipo kimkakati kati ya kiongozi mmoja mkubwa mstaafu wa upinzani na...
Back
Top Bottom