kuelekea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 TAFEYOCO yataka wananchi watumie mitandao kwa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Shirika la Vijana na Wanawake Tanzania (TAFEYOCO) limewataka wananchi kutumia mitandao ya kijamii kwa uangalifu na kwa manufaa, ili kudumisha amani na utulivu kuelekea Uchaguzi wa Madiwani, Wabunge na Rais, huku likikemea vikali watu wote wanaojihusisha na vitendo au kauli zenye viashiria vya...
  2. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum wa Ahadi za Uongo za Wanasiasa kuelekea October 2025

    Wanasiasa wamekua wakitoa ahadi ya mambo ambayo wanapaswa kufanya kwakuwa wanakusanya kodi, sasa Je, ni ahadi zipi ambazo unajua kabisa ni kama mama anamwambia mwanaye baba yule anaendesha ndege anaelekea Ulaya, zile za utotoni? Mgombea Ubunge Moshi- Nitafufua viwanda vyote vilivyofilisiwa na...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tazama jinsi boti iliokuwa imebeba madawa ya kulevya kutoka Venezuela kuelekea Marekani ilivyodunguliwa na jeshi la Marekani.

  4. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakristo wanaposali hawageukii au kuelekea Yerusalemu (Qibla) kama Mfalme Sulemani alivyofanya?

    Kitabu cha 1 Wafalme 8:29-30 kinatuambia kwamba Mfalme Sulemani aliomba huku akilielekea hekalu lililokuwa Yerusalemu. Sasa swali ni hili: kwa nini Wakristo hawafanyi sala kama Sulemani? Mbona hawana mwelekeo maalum wanaposali? Usiumize kichwa kutafuta majibu. Majibu haya hapa: Kwanza ni muhimu...
  5. Ritz

    JamiiForums Tanzania Meli za misaada kutoka maeneo mbalimbali za flotilla zinaanza safari Barcelona kuelekea Gaza.

    Wanaukumbi. Flotilla iliyobeba misaada ya kibinadamu na wanaharakati, ikiwa ni pamoja na mwanaharakati wa hali ya hewa wa Uswidi Greta Thunberg, wanatarajiwa kuondoka kutoka Barcelona Jumapili kujaribu "kuvunja kuzingirwa haramu kwa Gaza", waandaaji walisema. Meli hizo zitaondoka katika mji wa...
  6. Franky Samuel

    JamiiForums Tanzania JEZI MPYA YA YANGA KUELEKEA MSIMU WA 25/26 MWANANCHI UMEIONAJE JEZI HII ?

    Huyu ni mbunifu mpya baada ya sheria ngowi kutemana na yanga vipi hapo amepatia au tuendelee kumpa muda
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Tukutane uwanja wa Taifa, naaza kuelekea huko nimepiga uzi wangu wa Taifa stars

    Jamani eeeeeee!!!!! twendeni tukapate burudani, twendeni tukaishangilie timu yetu ya Taifa. Leo ni kufa au kupona, Ushindi ni lazima.
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania BADO SIKU 3: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii

    BADO SIKU 3: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Afya ya akili huanza na kujipenda. Jitunze 📅 25 - 30 Agosti, 2025 📍 Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam Kwa mawasiliano; Simu +255754471958 BaruaPepe...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Madiwani 2025

    https://www.youtube.com/live/bsMXcScNS8E Muliro: Polisi kusubiri hadi tukio lifanyike hapo ni sawa na kufeli Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro akizungumza katika mdahalo huo leo Agosti 20, 2025.
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania BADO SIKU 6: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii

    BADO SIKU 6: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Jifunze kusema "hapana" unapochoka ili kulinda afya ya akili 📅 25 - 30 Agosti, 2025 📍 Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam Kwa mawasiliano; Simu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea tarehe 23.08.2025

    Tarehe 23.08.2025 ni siku iliyotangazwa na Kanisa Katoliki Tanzania kuwa itakuwa ni kilele cha maombi makuu kuhusu HAKI na AMANI katika Nchi yetu. Naomba kuwaalika Watanzania wote wenye mapenzi mema, watu wa Dini zote na imani zote za Makabila yote na wanaokerwa na vitendo vya uvunjifu wa haki...
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Picha Bora Kuelekea Oktoba 29

    Hawa vijana ni hazina kubwa Kwa Taifa letu, Tuwalinde Kwa gharama yoyote Kwa faida ya Leo na baadae.
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania BADO SIKU 8: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii

    BADO SIKU 8: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Usijilazimishe kufanya kila kitu. Tambua mipaka yako na heshimu muda wa kupumzika. 📅 25 - 30 Agosti, 2025 📍 Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam Kwa...
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania BADO SIKU 9: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii

    BADO SIKU 9: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Mazoezi huchochea homoni ya furaha, Tembea, kimbia, au fanya mazoezi mara kwa mara. 📅 25 - 30 Agosti, 2025 📍 Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam Kwa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Najaribu kutafuta ujumbe halisi wa michango ya wafanyabiashara kwa ajili ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu

    Kuombaomba huwa mchakato wenye kumuondolea heshima yule muombaji wa misaada. Nilikuwa namsikiliza Makamu wa Rais Dr Mpango akiongelea namna utu wa kiongozi wa nchi maskini unavyodhalilika katika meza ya mkutano kati ya mawaziri wa kutoka mataifa ya dunia ya tatu na wale wa mataifa ya Ulaya na...
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania BADO SIKU 12: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii

    BADO SIKU 12: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Jenga jamii iliyo salama na yenye matumaini kwa kumshirikisha Afisa Ustawi wa Jamii changamoto unayopitia 📅 25 - 30 Agosti, 2025 📍 Chuo cha Ustawi wa Jamii -...
  17. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Nimewaona Chaumma wakisomba watu kuelekea Mkutanoni hapo Tabata Shule

    GT Wonders shall never end leo chauma wanakazi moja tu kusomba.watu kutoka viunga mbalimbali vya Tabata kwa ajili ya mkutano. Naona wanafauta nyao za wafadhili wao. Leo daladala zimepata tenda nzuri. NRNE
  18. W

    JamiiForums Tanzania Bashe awaonya Wanasiasa wanaowandanganya Wakulima kuelekea Uchaguzi

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amekemea tabia ya baadhi ya watu wanaotafuta kura kwa kukosoa mifumo ya kilimo ikiwemo mfumo wa pamba, BBT (Building a Better Tomorrow) na stakabadhi ghalani, akisema ni hatari kwa ustawi wa sekta hiyo. Akizungumza leo ljumaa, Agosti 8, 2025 jijini Dodoma katika...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Goli la kibabe la Shomari Kapombe limesafisha njia nyeupe kwa Timu yetu ya Taifa kuelekea nusu fainali na hatimaye tutashinda.

    Hakika timu yetu imeendelea kujituma kwa bidii kupigania kombe la chan. Jana dakika za majeruhi Shomari Kapombe alipoga goli la kibabe na kuizamisha Maurtania. Pongezi kwa timu yetu....iendelee hivyohivyo. Wacheze kwa bidii na kujituma, ila waepuke makosa madogomadogo. Bila kumsahau Rais wetu...
  20. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Wahouthi warusha tena makombora kuelekea Israel

    Jeshi la Israel linasema limefanikiwa kulidunguwa kombora lililorushwa kutoka nchini Yemen mapema leo. Taarifa hiyo imekuja baada ya milio ya ving'ora vya hadhari kusikika kwenye maeneo kadhaa ya Israel, kutokana na kombora hilo. Jeshi hilo halikusema ikiwa kombora hilo lilidunguliwa kwenye...
Back
Top Bottom