kuelekea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. matunduizi

    Kuelekea uchaguzi: Tukumbuke duniani kuna walioendelea kwa Chama kimoja, Vyama vingi na kwa udikteta wakizalendo

    Tusije tukajisahau kudhani umasikini utaisha kwa kuwa na katiba imara yenye kuleta uwasawa wa kidemokrasia. Hii ni hatua nzuri lakini sio lazima ilete Maendeleo kama watu wetu watakuwa na akili hizihizi. Kuna pengine hii ndio imeharibu kabisa kabisa. Kuna CHINA ilikuwa masikini kwa Chama...
  2. Tauceti Rigel

    Kama Mkristo Naona Uislamu Hautatoboa Hii Karne Kuelekea Karne Ifuatayo: Simu na Wi-Fi Vinachangia Kudidimiza Uislamu Zaidi ya Vita Dhidi ya Makafiri

    Kama ningekuambia miaka 15 iliyopita kwamba simu janja na Wi-Fi vitachangia kudhoofisha Uislamu kuliko hata mashambulizi yote ya historia kutoka kwa Wakristo waliowahi kuitwa "makafiri," ungeweza kudhani ni mzaha. Lakini leo, kama Mkristo ninayeangalia mwenendo wa ulimwengu, siwezi kupuuza...
  3. figganigga

    Wabunge wamuelekeza CAG asipeleke Ripoti yake Bungeni kisa itamharibia Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Ina Ufisadi Mkubwa

    Bunge lataka CAG asipeleke Ripoti yake Bungeni kisa itamharibia Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu Wabunge akiwemo kibajaji, amedai muda hautoshi. Ripoti ya CAG ipelekwe Bungeni Mwenzi Novemba baada ya Uchaguzi Mkuu. Amedia kama ikipelekwa bunge hili kuelekea Uchaguzi Mkuu, itapunguza kura za...
  4. Tlaatlaah

    PreGE2025 Anguko la Chadema kwenye Medani za Siasa za Tanzania hukukukiwa na mgawanyiko mkubwa kuelekea Uchaguzi, nani wa kulaumiwa?

    Chadema imejichimbia kaburi lake yenyewe na imetumbukia shimino na kujizika yenyewe. Ni upande yupi wa kulaumiwa katika mauaji haya ya kikatili kwa uhai wa chadema kisiasa? Ni G55 au ule upande wa no reform no elections? Je, ni kweli kiburi, kudeka na kutegemea huruma za wananchi, kukurupuka...
  5. toriyama

    Mtandao wa X (Twitter) TANZANIA umefungwa Tangu jana 12 april 2025 kuelekea vuguvugu la CHADEMA na kukamatwa kwa Tundulissu bila VPN huwezi kuufungua

    Mtandao wa X (Twitter) TANZANIA umefungwa Tangu jana 12 april 2025 kuelekea vuguvugu la CHADEMA na kukamatwa kwa Tundulissu bila VPN huwezi kuufungua
  6. Harvey Specter

    Tamko la Jeshi la Polisi kuelekea Simba SC vs. Al Masry

    Jeshi la Polisi kupitia Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limeeleza kwamba litahakikisha usalama wa hali ya juu katika mchezo wa kombe la shirikisho Afrika (CAF) kati ya timu ya Simba ya Tanzania na AL Masry kutoka Misri. Jeshi linawahakikishia wananchi kwamba kutakua na ukaguzi...
  7. peno hasegawa

    Barua ya wazi kwa Mh. Rais: Ombi la Haraka kwa Mh. Rais la kulinda Usalama wa Raia na Mali zao Jijini Dodoma kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025.

    Kwa sasa, usalama wa raia na mali zao jijini Dodoma umekuwa katika hali mbaya sana. Kila siku, vifo vya watu vinarekodiwa mitaani, huku serikali ikiendelea na kimya. Hali hii ya kutisha inahitaji hatua za haraka na madhubuti ili kuokoa maisha ya watu. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, ambaye pia ni...
  8. Tlaatlaah

    NDUGU MWANACHADEMA, UNACHAGUA KUA UPANDE WA KIDEMOKRASIA, NO REFORM NO ELECTIONS AU UPANDE WA MAANDAMANO YA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU WA OCTOBER?

    Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi October mwaka huu, utata na migawanyiko imeibuka hususan ndani ya chadema. Je kama mwana chadema, ukiachilia mbali mvutano wa kamati kuu na g55, wewe ungependa uwe upande gani katika mgawanyiko huu wa kidemokrasia ndani ya chadema? :NoGodNo: Mungu Ibariki Tanzania
  9. Nomadiq

    PreGE2025 Rais nitakaemchagua!

    Habari bandugu natumai ni kwema. Kuelekea uchaguzi wa mwaka huu, kama ilivyo ada haki ya kila mtanzania alietimiza miaka18 kupiga kura. Aidha palipo na haki pana wajibu, wajibu wa kila mpiga kura ni kuzingatia taratibu zote za uchaguzi na kumchagua kiongozi anaefaa kulingana na yeye...
  10. Ojuolegbha

    Katibu Mkuu CCM Emmanuel Nchimbi aanza ziara yake ya siku 5 mkoani Ruvuma

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ametua Uwanja wa Ndege wa Masasi, mkoani Mtwara, akiwa safarini kuelekea Tunduru, mkoani Ruvuma, tayari kuanza ziara yake ya siku 5. Uwanjani hapo, Balozi Nchimbi amepokelewa na viongozi wa Chama na Serikali...
  11. Dr Adam Francis

    Uchama kuelekea uchaguzi 2025

    Mwaka huu, 2025, bila shaka tutapiga kura kumchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani. Tayari wanasiasa wengi wakongwe na wanaoibuka wameshaanza harakati za kusaka bahati yao kuifikia nchi ya ahadi iliyojaa mishahara mikubwa, maposho makubwa, mafao manono, sifa...
  12. Dalton elijah

    DRC : Waasi wa M23 waripotiwa kuelekea kuunda mfumo wao wa fedha

    Ni miezi miwili sasa tangu pale Jiji la Goma lianguke mikononi mwa kundi la waasi la AFC/M23. Tangu wakati huo, benki zote za biashara zimefungwa kwa maagizo ya mamlaka mjini Kinshasa. Kutokana na hali hiyo, katika jiji hili lenye wakazi zaidi ya milioni moja, madawati ya fedha hayafikiki, fedha...
  13. Waufukweni

    PICHA: Kipa wa Simba, Aishi Manula arejea kikosini. Afanya mazoezi kuelekea mechi ya Shirikisho

    Air Manula mazoezini kujiandaa na mechi ya Kombe la Shirikisho la CRDB Machi 27 na Big Man FC (zamani Mwadui FC). Mechi hiyo ya Kufuzu robo fainali CRDB Bank Federation Cup, Mnyama Simba SC atakuwa KMC Stadium majira ya saa 10:00 Jioni kukipiga na Bigman.
  14. K

    TUWE NA UWAZI KWENYE KILA KITU TUNACHOFANYA KUELEKEA UCHAGUZI 2025

    Ninaomb a sana tuwe na uwazi katika kila jambo tunalolifanya kuelekea uchaguzi wa 2025. Tuige nchi ya jirani yetu ya Kenya ilivyo na uwazi kwenye masuala ya uchaguzi. Leo kule Kenya waombaji wote walioomba nafasi ya Mwenyekiti wa IEBC wanahojiwa mubashara (Live) kupitia luninga ya Citizen...
  15. Tlaatlaah

    No reforms No election kuigawa na kuisambaratisha CHADEMA kuelekea Uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025

    Makada wake maeneo mbalimbali nchini wamegawanyika, wapo waoendelea kujipanga na kutangaza nia za kugombea urasi, ubunge na udiwani, huku wengine wakiwa na msimamo sawa na ule wa mwenyekiti wa chama hicho Taifa na katibu mkuu wake, ambao mara kwa mara wamekua wakidai kutoshiriki uchaguz mkuu...
  16. State Propaganda

    PreGE2025 Kuelekea Uchaguzi mkuu : Wapinzani bado wamezubaa sana

    Wakati CHADEMA ikikomaa na NO REFORM, NO ELECTION, ACT WAZALENDO nao wamekuja na mpya kususia vikao vya umoja wa vyama vya siasa kwa madai kama ya CHADEMA. CCM wao wako busy kubuni mbinu za kunasa makundi mengi ya wananchi waisapoti na kuipa kura nyingi uchaguzi mkuu. Wanabuni vikundi vya...
  17. milele amina

    Kilio Cha Wananchi : Changamoto za kukosekana kwa usalama wa Raia na Mali zao, Kuelekea uchaguzi mkuu, Njia panda ya Himo Wilaya ya Moshi- Kiliman

    Utangulizi Katika eneo la Njiapanda ya Himo, Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, wananchi wanakabiliwa na changamoto kubwa zinazohusiana na usalama. Kilio hiki kimekuwa kikubwa, kwani vibaka, wezi, na wanyang’anyi wamekuwa kero ya kimataifa. Hali hii imesababisha wananchi kutokuwa na amani...
  18. JanguKamaJangu

    Kuelekea mechi dhidi ya PSG, Mo Salah na Alexander-Arnold watibuana mazoezini

    Wachezaji wawili wa Liverpool, Mohamed Salah “Mo Salah” na Trent Alexander-Arnold wameonekana wakirushiana maneno hali iliyofanya wenzao kadhaa kuingilia kati na kuwatenganisha wakati wakisogeleana wakati walipokuwa kwenye Uwanja wa Mazoezi. Tukio hilo limetokea muda mfupi kuelekea mchezo wa 16...
  19. Just Pray

    Video: Hali ilivyo uwanja wa Mkapa kuelekea mechi ya Yanga na Simba, mashabiki wanasuasua kuingia uwanjani

    Hali ilivyo nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kabla ya mchezo wa Yanga na Simba ni tofauti na matarajio ama ilivyo zoeleka. Pia soma: Breaking News: Bodi ya Ligi yahairisha Mechi ya Derby
  20. Meja Jenerali Isamuhyo

    Bashiri utabiri wako kuelekea Kariakoo Derby

    Tuone kipawa chako cha ubashiri. Kuelekea mchezo wa weekend hii, Yanga Vs Simba, tabiri matokeo yatakuaje. Mimi naanza Yanga 1-3 Simba, Tutakuepo
Back
Top Bottom