kuelekea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    Kuelekea Derby ya Kariakoo kesho, tabiri tukio gani la kisiasa litajitokeza

    Kama mnavyojua, Simba na Yanga ndio mtaji wa wanasiasa wa Tanzania. Hebu tabiri unahisi tukio gani la kisiasa lazma litajitokeza uwanjani?
  2. Waufukweni

    Team Land Rover wapita Mwenge kwa Mbwembwe kuelekea Arusha kwa Makonda kwenye Land Rover Festival

    Mambo vipi Wakuu! Team Land Rover wako njiani kuelekea Chuga wakitokea Dar es Salaam, na hivi ndivyo walivyopitia Mwenge, kuelekea Arusha ambako wanataka kwenda kuandika historia Jumamosi hii kwenye tukio la Land Rover Festival 2024, tamasha la kwanza la aina yake katika viwanja vya Magereza...
  3. S

    Hans: Simba wakipoteza mchezo wa tarehe 19 (Derby) hapo ndio basi tena

    "Matokeo haya ya Simba dhidi ya Coastal Union yanaifanya derby ya tarehe 19 kuwa ngumu sana, kama Simba wanahitaji chochote kitu msimu huu basi wanatakiwa kushinda mechi hiyo….lakini kama watakubali kupoteza basi watajikuta nyuma ya Yanga pointi 5 (kama Yanga watashinda kiporo). Mnaweza kusema...
  4. Mrndumbarojl

    Kwa walimu tu, chagua nini kinakufaa hapo kuelekea usaili wa sekretariate ya ajira

    UNDERSTANDING THE APTITUDE TEST IN DEPTH AND ITS USE IN ASSESSING TEACHERS For detailed information on the Aptitude Test and how it can be used to evaluate teachers, click the link below: Understanding the Aptitude Test and Its Role in Teacher Interviews 2024 and Other Fields:👇👇👇👇👇👇👇...
  5. Waufukweni

    LGE2024 Tundu Lissu: Kachukueni fomu mapema, msisubiri tarehe 1 itakula kwenu "Tuwe Wajeuri, Watu Jeuri Watashinda Uchaguzi”

    Tundu Lissu awafunda watia nia wa nafasi ya Uongozi kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa akiwa Jimboni Kibamba katika Semina iliyofanyika Kata ya Kawe na kuwataka kutofanya makosa ambayo yatasababisha kupoteza kwenye Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni. Lissu amewataka Watia nia...
  6. Roving Journalist

    LGE2024 Pwani: Matukio yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

    Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Pwani. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine. Ramani ya Mkoa wa Pwani Historia ya mkoa wa Pwani Kabla ya uhuru mkoa wa Pwani ulikuwa...
  7. T

    Kuna darasa tunaweza kujifunza kwa Japan kuelekea 2025

    Napenda siasa napenda democracy japo sidhani kama ni democracy. Napenda siasa yenye mrengo wa kiuchumi na kiusalama wa Taifa. Nimeona mabadiliko ktk serikali ya Japan nikatamani taifa langu lipate Kiongozi mwenye mirengo inafanana na Japan hasa ukizingatia dunia kwa sasa siasa ni usalama wa...
  8. Roving Journalist

    LGE2024 Matukio Yaliyojiri Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Singida 2024

    Mkoa wa Singida upo kanda ya kati, ukipakana na mikoa ya Manyara upande wa kaskazini, Dodoma mashariki, Iringa na Mbeya kusini, Tabora upande wa magharibi na Shinyanga. Mkoa wa Singida una ukubwa wa takriban kilomita za mraba 43000. Singida Kuna wilaya saba nazo ni Iramba, Manyoni, Singida...
  9. J

    RAS DSM Dr Nguvila atangaza tarehe 23/09/2024 kuwa ni Siku ya Amani Duniani

    Katibu Tawala mkoa wa DSM mh Nguvila atangaza tarehe 23 September 2024 kuwa ni Siku ya Amani duniani Source: Jambo TV Ahsanteni Sana 😂🌹
  10. Mshana Jr

    Kuelekea Maandamano ya Maombolezo Septemba 23: Je, Mamlaka Zimejiandaa?

    Kuna kila dalili kwamba maandamano yatafanyika, lakini ni kwa ukubwa gani ni ngumu kutabiri. Kwa wiki nzima hii, kamata kamata imekuwa kubwa sana, hadi vibaka na wezi wameamua kuchukua likizo ya muda. Tumeshuhudia pia maandalizi makubwa ya polisi wa kutuliza ghasia, polisi wa sare, na...
  11. Waufukweni

    PreGE2025 Tukumbushane baadhi ya Matukio ambayo hufanywa na Wanasiasa Majimboni kuelekea Uchaguzi ili kuombea kura

    Kuna msemo wa Waswahili wanakwambia bora Ukosee njia lakini usikosee Kuoa ila binafsi naona hakuna kosa kubwa katika hii dunia kama kukosea katika kuchagua kiongozi bora ambaye atakuja kutatua changamoto katika Jamii. Katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu na uchaguzi wa serikali za mitaa...
  12. Mkalukungone Mwamba

    Mwandishi wa Jambo TV afokewa vikali kisa kuliza swali tukio la kupigwa risasi Lissu

    Mwandishi wa Jambo TV amejikuta kwenye wakati mgumu alipokuwa akimuhoji Katibu Mkuu wa Chama cha DP Abdul Mluya, muda mfupi baada ya Mluya ambaye pia ni Mwenyekiti wa umoja wa vyama 13 vilivyotoa tamko la kupinga maandamano yaliyoandaliwa na CHADEMA kumaliza kuzungumza na wanahabari Septemba 17...
  13. milele amina

    PreGE2025 Ushauri kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu Hassan kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Utangulizi Ndugu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ninaandika ushauri huu kwa lengo la kuboresha mchakato wa uchaguzi wa wagombea kuanzia ngazi ya Wilaya, Mkoa, hadi Taifa. Ni wazi kwamba mfumo wa sasa una changamoto nyingi ambazo zinahitaji kutatuliwa ili kuhakikisha kuwa...
  14. Mstahiki Mea

    Kuelekea 2050

    Katika Dira ya maendeleo 2050 serikali unapaswa kufanya mapinduzi makubwa katika sehemu zifuatazo. 1. Kufanya mapinduzi kwenye sekta ya kilimo (Tanzania agriculture revolution) Hadi kufika 2050 kilimo kiwe kinachangia Pato la Taifa kwa asilimia kuanzia 40+ 2. Sekta ya utalii nayo inahitaji...
  15. Nigrastratatract nerve

    Zijue Changamoto kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini Tanzania unakumbana na changamoto kadhaa ambazo zinaweza kuathiri usimamizi na matokeo ya uchaguzi. Baadhi ya changamoto kuu ni: 1. Mchakato wa Usajili wa Wapiga Kura: - Kutokamilika kwa Usajili: Vituo vya usajili vinaweza kuwa mbali au kutokuwa na vifaa...
  16. Nehemia Kilave

    Tukumbushane kuelekea chaguzi 2024/ 2025 kuwa CCM ni ile ile na chama ni kile kile ,chaguo ni lako .

    kila mtu ajiulize imeitendea nini Nchi CCM , je tuko kwenye muelekeo sahihi kisha afanye maamuzi . nadhani historia ya Nyuma kwa CCM ndio kipimo kikubwa zaidi haihitaji kukusanyana na kupeana maneno matamu au vyama vya upinzani kutuambia uzuri au ubaya wa CCM .
  17. Msanii

    PreGE2025 Haya maandamano yanayoanza kushamiri ni dalili njema kwa afya ya nchi

    Polisi walitumia nguvu kubwa mpaka ya akiba kuzuia kongamano la vijana wa CHADEMA kule Mbeya kwa kuwatenda unyama na kuwatweza vibaya viongozi wa kitaifa wa CHADEMA. Kabla hakujapoa, Ngorongoro ikainuka, wamasai wakajaa barabarani kudai haki yao ya kutambuliwa kama raia huru wa nchi hii ambapo...
  18. Samia atosha tukutane2030

    PreGE2025 Unabii kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    1. Lissu na Mbowe watakosana. Kutakuwa na mgongano wa kimtazamo na kimwelekeo kati ya Mh. Lissu ambaye ni mtarajiwa mgombea wa Urais kupitia CHADEMA na Mwenyekiti wake Mh. Mbowe. 2. Kuna kiongozi wa dini ambaye atakuwa upande wa CCM na ataambatana na mgombea Urais wa CCM atakufa kabla ya...
  19. kavulata

    Hali ya wananchi kiuchumi ni mbaya sana kupitiliza kuelekea Uchaguzi wa 2025

    Watumishi wenye ajira na ujira ni miongoni vya vyanzo vikuu vya kusambaza fedha kwenye jamii wakati wanapofanya matumizi na manunuzi yao kwa kutumia mishahara yao wanayopata kila mwezi.. Kundi hili linalipwa mishahara isiyolingana na uhalisia wa upandaji wa Bei, hivyo kufanya ununuzi mdogo sana...
  20. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Mauaji ya wenye ulemavu wa ngozi(Albino) kipindi Cha kuelekea uchaguzi mkuu inasadifu siasa sio uzalendo bali chanzo Cha utajiri.

    Ndio ndio,mtu hawezi Ua mlemavu wa ngozi Ili awe mwalimu,Daktari,polisi,profesa au kupata profession yoyote ile Bali Kwa Imani za kishirikina anaua ili apate kazi yenye pesa nyingi kama ubunge,uwaziri na n.k. Hii inasababishwa na sisi kama taifa tumeifanya KAZI ya kisiasa kuwa chanzo Cha...
Back
Top Bottom