kuelekea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sagungu 1914

    JamiiForums Tanzania Maoni ya mahakama kabla ya hukumu

    Naomba kuuliza wataalamu wa Sheria,maoni yanayo tolewa mahakamani kuelekea kutolewa hukumu yenyewe ndio yanatoa hukumu itakavyo kuwa?Asante
  2. JoJiPoJi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Treni iliyokuwa iondoke Dsm kuelekea Zambia imeshindwa kuanza safari sababu ya kutokuwa na diesel.

    Treni iliyotarajiwa kuondoka kutoka Dar es Salaam kwenda Kapiri Mposhi, Zambia, kwa saa 9:50 jioni, bado haijaanza safari hadi saa 2 usiku, huku sababu ya kuchelewa kwao ikiwa bado haijatolewa rasmi. Kwa mujibu wa tetesi, kuchelewa huko kunaweza kuhusishwa na ukosefu wa mafuta (diesel) kwa ajili...
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tunategemea kuona hoja na mipango ya kimaendeleo kwa wagombea kuelekea uchaguzi lakini badala yake tunaona vituko na maigizo yasiyo na maana

    Nchi imeingia kwenye siasa mbaya naweza kuziita za ki "mbumbumbu" sana tangu kupata uhuru yani siasa za maigizo na vituko badala ya siasa za hoja na maono na mipango mbalimbali ya kimaendeleo kutoka kwa wagombea badala yake tunaona mara sijui waziri anagala gala chini mbele ya mgombea mara...
  4. Madwari Madwari

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Nchi za Niordicc wakifanya mkutano nyumbani kwa kiongozi wa Udanish jana 26.01.25

  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Kuelekea Mission 300 Africa Energy Summit: Tutumie Vyanzo Vipi Vya Nishati, Mbinu na Mikakati ipi ili Tuzalishe Umeme Mwingi na wa Uhakika ka

    Mjadala: Kuelekea Mission 300 Africa Energy Summit inayo fanyika 27 - 28 January 2025 Tutumie Vyanzo Vipi Vya Nishati, Mbinu na Mikakati ipi ili Tuzalishe Umeme Mwingi na wa Uhakika katika Bara la Afrika. Hapo kuna mambo kadhaa yanahitaji kujadiliwa kwa kina: Tutumie vyanzo vipi vya nishati...
  6. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuelekea uchaguzi mkuu, wenye mamlaka wanatukana wananchi. Case study Chalamila

    Haya mambo ya kiwaki hawapaswi kuchukuliwa poa wazee. Mtu Gani anatukana wananchi ambao wanalipa Kodi na ndiyo nguzo ya taifa lolote. Hivi huyu chalamila anavuta bangi? Au ana matatizo Gani ya kiakili huyu mtu? Unamtukana mama mjamzito bila sababu ya msingi? Kweli? Huu ni utopolo mkubwa mazee...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Katakata ya umeme imeanza upya kuelekea uchaguzi mkuu, hapa kirumba Mwanza umekatwa.

    Hili suala la kukatika umeme limeanza upya mbali na kuaminishwa na Naibu Waziri Mkuu kuwa limekwisha baada ya Mitambo kuanza kufanya kazi Rufiji. je kulikoni leo huku Kabuhoro wamekata muda mrefu tu bila taarifa.TANESCO iko shida kubwa, Watamharibia mama.
  8. Alvin_255

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Afrika Kusini pamoja na FARDC limefanikiwa kuwadhibiti M23 kuelekea GOMA

    🇨🇩#RDC: Jeshi la Afrika Kusini linatangaza kwamba limefaulu, pamoja na FARDC na washirika, kusimamisha maendeleo ya muungano wa M23/RDF kuelekea Goma: "Vikosi vya maadui vya M23 vilikuwa vimezindua shambulio kubwa kwa askari wetu ili kumtia Goma, lakini hawakuweza kuendeleza shukrani kwa...
  9. milele amina

    JamiiForums Tanzania Mshangao na Huzuni: Kasim Majaliwa kuelekea October 2025

    Utangulizi; Katika uwanja wa siasa za Tanzania, Kasim Majaliwa amekuwa na nafasi muhimu, lakini utendaji wake unatia huruma sana. Amepewa jukumu kubwa la kuwa Waziri Mkuu, lakini miongoni mwa wafuasi wake na wapinzani, kuna hisia tofauti kuhusu uwezo wake wa kuongoza. Kila siku, ninajiuliza...
  10. milele amina

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma someni hapa Kuna Ujumbe wenu muhimu kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025.

    Msije mkasema hamkujulishwa au hamkuambiwa mapema! Niwatakie siku njema!! Makonda, RC Dodoma,Mkurugenzi Moshi Manispaa na wengine wengi. ====== Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewataka watumishi wa umma wanaohudumu chini ya ofisi yake...
  11. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Mkutano Mkuu maalum wa CCM, Dodoma yageuka kuwa kijani tupu

    Hali ya Dodoma ni kama inavyoonekana kwenye picha.
  12. milele amina

    JamiiForums Tanzania Ninashauri Barabara ya Lami iwekwe kuelekea eneo lililojengwa shule hii! Ni aibu kubwa sana

    Picha nimeweka hapa!
  13. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Utabiri kuelekea Uchaguzi Mkuu: Ukimya wa Mungu haumanishi mmekubalika, jambo kubwa litatokea

    Mungu huweka serikali na viongozi kwa wakati na muda anautaka yeye. Warumi 13. Najuwa kuna watu hamuwezi kupenda ila leo natamani mjiulize ktk serikali ya hayati Magufuli idadi ya viongozi ndani ya serikali yake walitutoka wakati tukiwa tunategemea uwepo wao. Nani angeamini tungempoteza Magufuli...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Mtengu (kupitia Kilongoni Sheli ya TSN kuelekea Njia Nne kabla ya Daraja la Mtikatika) haijarekebishwa

    Hii changamoto tulisha itolea taarifa kwa Viongozi wetu wa Serikali za Mtaa lakini hakuna mabadiliko yoyote, barabara hiyo iliyoharibiwa na mvua kubwa ya mwaka Jana (2024) na vipindi vingine tena vya mvua vinaanza sijui hali itakuwaje! Tunaomba Serikali itusaidie kutatua changamoto hiyo...
  15. milele amina

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Athari za TAL kwa siasa za Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu 2025.

    Lissu akimaliza mchakato wa uchaguzi wa ndani wa Chadema, kuna uwezekano mkubwa kwamba atahamishia mapambano yake kwenye serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan. Hii ni kutokana na historia yake ya kisiasa na mbinu zake za kukabiliana na changamoto zinazohusiana na utawala. Hivyo, ni muhimu kwa...
  16. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya China yatoa muongozo muhimu na kuwa kichocheo katika juhudi za Afrika kuelekea usasa

    Katika mwaka 2024, Afrika ilichukua nafasi kubwa kwenye ajenda ya maendeleo ya kimataifa, ikionesha uthabiti wa bara hilo na uhusiano wake wa kina na China na nchi za Dunia ya Kusini kwa ujumla katika medani ya kimataifa. Kuanzia Mkutano wa 19 wa Wakuu wa Nchi Zisizofungamana na Upande wowote...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Maswala ya usaili walimu : angali sample ya mtihani kwenye ujumbe huhu kujipima uwezo binafsi kuelekea aptitude test

    MASWALI YA KISWAHILI Tumia maswali haya kama njia ya kugundua nguvu zako (strength) na udhaifu wako (weakness) kuhusu uelewa wa somo na matumizi ya mbinu za ufundishaji, na si kama kipimo cha "possible." Maswali Haya ni ya Jumla Hata hivyo, ili kupata majibu na msaada mwingine wa mentorship...
  18. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Karibu tufanye countdown kuelekea Tarehe 1, January 2025.

    Tukiwa tunasubiri kuufikia mwaka mpya (2025), karibu hapa tupige story!
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mambo niliyojifunza ndani ya Chadema kuelekea uchaguzi wao wa ndani

    1. Nimejifunza kuwa Chama cha Mapinduzi bado kinastahili kuendelea kuaminiwa na watanzania 2.Chadema ni chama cha siasa ambacho hakina tofauti na wacheza karata tatu 3.Wasomi wote waliokuwa wanashabikia na kuweka imani zao kwa chama hiki waliiba vyeti shule na vyuo walivyohitimu 4.Wengi wako...
  20. Joanah

    JamiiForums Tanzania Lengo la uzi ni kuendelea kukumbushana kutenda wema hata kama mtu humjui

    Hey people, Leo katika pita pita za hapa JF nimekutana na moja ya nyuzi nyingi za marehemu,mwanaJF mwenzetu Mpauko ambazo kwa namna moja ama nyingine alizianzisha kwa lengo la kupata msaada Binafsi huyu member nilizoeana nae kidogo humu jukwaani na ni moja ya kifo kilichoniumiza japo sikuwahi...
Back
Top Bottom