Wahenga walisema, ogopa sana mwanamke aliyeamua kumwacha mumewe, halafu kila siku anamsema huyo aliyekuwa mumewe. Na tena walisema, ogopa sana, na ukimbie kabisa, kama una mahusiano na mke wa mtu, halafu ukamsikia huyo mwanamke akisema kuwa anakule da sana wewe, na kwamba yupo tayari kumwua...