kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    PreGE2025 Reforms: Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2025-2030 imeahidi kuleta katiba mpya. Mnaotaka mabadiliko fursa hiyo. Pigieni kura CCM ifikapo Oktoba 2025

    Hivi mnadhani CCM hawataki mabadiliko? Aaahhh wapi! Waliotengeneza ilani ya CCM waliona mbali, wameenda mbali si tu kurekebisha sheria za uchaguzi, CCM imeahidi kutupilia mbali katiba ya sasa na watakuja na katiba mpya! Acha kuhangaika na ka sheria kamoja ka uchaguzi, CCM wanatupa injini yote...
  2. mshale21

    PreGE2025 Familia yathibitisha kutekwa kwa Sheikh Nkokoo, suala la kupaza sauti juu ya utekaji sio hoja ya udini ndugu Waislamu

    Yoyote yule kwa dini yake, iwe mkristo au muislamu atakumbwa na matatizo ya utekaji, na ndiyo maana hili suala ni la kitaifa , sio la wakristo pekee. Inashangaza sana, kuona watu wanatekwa, arafu wale wanaopaza sauti wanaambiwa wanahubiri udini kwa kuwa Rais wetu ni muislamu na hakwepi lawama...
  3. MamaSamia2025

    PreGE2025 Kampeni ya upinzani inayoendelea mtandaoni itakufa kifo cha kawaida ndani ya muda mfupi

    Wananchi wazalendo na wanaCCM wenzangu msiwe na hofu kuhusu hii kampeni ya kijinga iliyoanzishwa na mwanamke katili asiye na utu kwa jina la Mange. Ni kampeni ya kijinga sana kuwahi kutokea. Mbaya zaidi imeanzishwa na mtu asiye na utu.... Mange ashaharibu maisha ya watu wengi sana hivyo kwa sasa...
  4. Waufukweni

    Alex Msama: Wanaomsema Rais Samia wanamsema Mungu, wanaoshutumu wanamshutumu Mungu

    Wakuu! Alex Msama ameshangaa Viongozi wa Dini kufanya Siasa Makanisani akidai kuwa si rahisi kutumikia mabwana wawili na ukimtukana Rais Samia, unamtukana Mungu maana ndiye kampa Mamlaka.
  5. G Sam

    PreGE2025 Gerson Msigwa azomewa UDOM. Aambiwa No Reforms No election. Atoa vitisho

    Usiku wa kuamkia leo kupitia kwa kinachoitwa tamasha la mama, Gerson Msigwa akiwa UDOM amekumbana na zomea zomea hadi kutoa vitisho. Zomea zomea hiyo ilikuwa akianikizwa na maneno "No reforms No election" Amepewa za uso, kila alilosema likawa linajibiwa kwa shubiri.
  6. K

    PreGE2025 Kama CHADEMA hawakuandaa "back - up" ya Tundu Lisu, huenda Mbowe akafaa huko mbeleni

    Kwa kiasi kikubwa agenda ya No reforms No election imefanikiwa kupenya na kuwavuruga watawala. Kukataa kwamba haiwasumbui itakuwa ni kujidanganya Watu wanaweza kudharau yanayoendelea mitandaoni lakini huo ndio uhalisia wa yanayoendelea kwenye jamii kwasababu walioko mitandaoni ndio walioko...
  7. USSR

    PreGE2025 Chiwelesa apigana kuhakikisha Biharamulo inapata mji kila kijiji na mtitaa miradi kila kona

    WAJUMBE HII MIRADI MNAIONA KAMA SISI WANANCHI TUNAVYOIONA. Tunakwenda kwenye uchaguzi mkuu na maji kila kona ,kila kata kila kijiji kila bomba haikuwa hivyo kabla ya uwakilishi wa Eng Ezra John Chiwelesa hapa biharamulo. Tunakwenda kwenye uchaguzi huku tukiwa na mradi mkubwa wa maji wa ziwa...
  8. USSR

    PreGE2025 Comrade Samira Amour ni msaada mkubwa wa watu wa mkoa wa Kagera, awafuta machozi wanafunzi

    Mwasisi na mmiliki wa taasisi ya Alsamood ambaye pia ni mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Comrade Samira Khalfan Amour alifika katika ajali ya kuungua mabweni shule ya sekondari ya wasichana Mubaba na kuchangia mashuka 128 ili kuwafuta machozi wanafunzi hao. Taasisi ya Alsamood inayomilikiwa na...
  9. BabaMorgan

    Huu si wakati wa kuzima data kabisa ikiwezekana JamiiForums mruhusu access ya JF bila bundle mwaka huu wa uchaguzi

    Japo usawa unakaba ila tutahakikisha data inakuwa on wakati wote mtandaoni kunaanza kuchangamka freebasics wakati huu ingekuwa na maana sana
  10. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Kada wa CCM: Mnadhani kuna chama cha kushindana na CCM? Achaneni na no reforms no election

    Moja wa kada wa CCM amehoji na kujinadi kuwa Mnadhani kuna chama cha kushindana na CCM? Achaneni na no reforms no election
  11. Robert Heriel Mtibeli

    PreGE2025 Tunahitaji Reforms ili uchaguzi wa Haki Ufanyike

    Nipo Salama! Hofu Kwenu! Tunahitaji reforms sio kwaajili ya Chama Fulani bali kwaajili ya vyama vyote. Reforms kwaajili ya CCM, Reforms kwaajili ya CHADEMA, Reforms kwaajili ya vyama vyote vya siasa nchini. Reforms kwa Sisi tusio na vyama lakini ni wapiga Kura. Reforms ambazo zitafanya...
  12. Mkalukungone Mwamba

    Sheikh Kwezi: Tusiwakosoe viongozi wakuu hadhari kwa kisingizio cha Demokrasia

    Wito umetolewa kwa Watanzania kuendeleza desturi ya muda mrefu ya kuwaheshimu viongozi na kwamba hata pale inapoonekana kuna ulazima wa kuwakosoa, basi ukosoaji huo utanguliwe na staha ya kuwaheshimu viongozi wahusika Wito huo umetolewa leo, Jumamosi Juni 07.2025 na Sheikh wa mkoa wa Simiyu...
  13. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Baadhi ya viongozi wamezuia comments kwenye account zao za mitandao ya kijamii kupooza No Reforms No Election'

    Leo Juni 7,2025 baadhi ya viongozi wamezuia eneo la comments kwenye account zao za mitandao ya kijamii kufuatia wimbi la wafuatiliaji kuandika kauli ya 'No Reforms No Election' kwenye kila post iliyorushwa. Hali hiyo imekwenda kwenye akaunti za vyombo vya habari kwa kila maudhui kumiminika watu...
  14. W

    PreGE2025 Waandishi nao wamejitosa kwenye kampeni ya ku push hashtag, ya Kutiki Oktoba

    Waandishi wa habari nao wamejitosa kwenye Kampeni ya kumtetea Rais Samia, Ina maana utekaji, mauaji ya watanzania na unyanyasaji unaoendelea nchini hawauoni? hawausikii? Ama wameamua kushupaza shingo?. Simpangii mtu cha kusema lakini kwanini basi watu kama hawa ambao wananchi wanawategemea...
  15. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwenyekiti wa CCM Mbeya: Mnaotaka kugombea CCM acheni vitendo vya ukatili na roho mbaya

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mbeya Ndg.Patrick Mwalunenge ameweka wazi msimamo wake kuelekea Uchaguzi Mkuu kila mtu anayetaka kugombea ndani chama hicho kuacha vitendo vya ukatili na roho mbaya kitu ambacho si kizuri kabisa. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  16. The Burning Spear

    Mtanzania Aliyeshuhudia Bunge la 2010 Mpaka 2015 Lazima Akubaliane na No reforms No Election

    GT. Katika Bunge lililovutia kuliko wakati wowote ule ni hilo la 2010/2015 Bunge lilikuwa la moto hatari hoja nzito znito zilikuwa zinatolewa. CCM wakaona hayo yalikuwa ni makosa kuweka Wapinzani wengi bungeni Lakini kiukweli ndio bunge liliokonga nyoyo za watz wote na kuwaamusha hadi leo...
  17. W

    PreGE2025 Hatimaye wasanii wameingia mzigoni kumpigia kampeni Rais Samia akubalike mtandaoni, tuukatae uchawa

    Wakuu, Baada ya wananchi kuvamia page za serikali mpaka za rais samia na no reforms no election chawa na kupe wa mama wamekuja na kampeni yao ili kuonesha mama anakubalika. Kwenye masuala ya utekaji hutakaa kuwaona wasanii wakisema lolote, ni wale wale wachache tu wa kila siku ndio huongelea...
  18. Just Pray

    PreGE2025 Butiama: Mbunge Sagini achinja ng'ombe 500 kutoka uturuki na kugawia wananchi sikukuu ya ‘Eid al-Adha’

    Wakuu Wananchi wa Wilaya ya Butiama mkoani Mara wamejikuta wakinusuru fedha zao kwaajili ya bajeti ya kitoweo cha sherehe ya sikukuu ya kuchinja ‘Eid al-Adha’ baada ya Mbunge wa Jimbo la Butiama Jumanne Sagini kuchinja Ng’ombe zaidi 500 na kuwagawia. Tukio hilo limetokea mapema leo Juni 7...
  19. Waufukweni

    PreGE2025 Mtoto wa Shetta, Qailah: Wote Wanaomtukana Rais Samia tutapita nao mazima

    Mtoto wa Msanii wa Bongo Fleva Shetta, Qailah Nurdin Bilal ambaye ni Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa katika Chama cha Mapinduzi (CCM) amewataka Vijana kwenda kuyasema mazuri yanafanywa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia kwa data kama Wasomi. Akiwa kwenye Mahafali ya Seneti, Qailah ameongeza...
  20. Genius Man

    PreGE2025 Kuna kampeni za ku-unfollow page za wanaopinga mabadiliko, naenda kwa Rais Samia na wote serikalini wanaopinga mabadiliko

    kumbe kuna kampeni za unfollow mtandaoni ngoja na mimi nika unfollow samia na watu wote serikalini kuunga mkono damu zilizo mwagika na mabadiliko. Nasimama mstari wa mbele kuunga mkono wote waliotekwa na kuuwawa walio dhurumiwa mali zao ikiwemo wakina gwajima kwaajili ya kuwatetea watanzania na...
Back
Top Bottom