kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PreGE2025 Sheikh Yakubu Saburia: Amani tuliyonayo mnaona haitoshi, waulizeni Yemen, Libya, Palestine, Syria na Iraq

    IMAMU wa Msikiti wa Masjid Noor uliopo chini ya BAKWATA Bariadi, Mkoani Simiyu, Sheikh Yakubu Saburia, ameeleza kuwa amani ya nchi haipaswi kuhubiriwa kwa misingi ya itikadi za kisiasa au vyama, bali kama tunu ya kitaifa inayopaswa kulindwa na kila mmoja. Akizungumza wakati wa swala ya...
  2. Waufukweni

    PreGE2025 CHAUMMA yasisitiza INEC kutenda haki katika uchaguzi wa Oktoba

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu ametoa wito kwa watumishi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), kutenda haki katika kusimamia uchaguzi Mkuu wa Oktoba baadaye mwaka huu. Ametoa wito huo leo Juni 7, 2025, baada ya kuungana na waumini wengine wa dini ya...
  3. Waufukweni

    PreGE2025 Sheikh Ponda: Rais Samia akutane na wadau kujadili Uchaguzi Huru 2025

    Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda amesema; "Mwezi Oktoba mwaka huu nchi yetu inatarajia kufanya uchaguzi mkuu, katika kulizungumzia jambo hilo nyeti tumeona ni vyema tukayarejea maneno muhimu tulioyatoa katika Baraza la Eid lililopita Machi 31, 2025 ya kwamba...
  4. Waufukweni

    PreGE2025 Boniface Jacob: Tunataka ufike wakati uchaguzi ufanyike bila hata sisimizi kuumia

    "Chadema tunachokitaka tunataka uchaguzi wa kistaarabu sisi diwani tunapata ,wenyeviti wa mitaa tunapata na mbunge tunapata lakini tunapata kwa maumivu makubwa sana" "Ndiyo maana tumesema hatutaki uchaguzi wa kumwaga damu kwa sababu ili nishinde ubunge wa mikumi kwa mfano na wananchi kama...
  5. mshale21

    Askofu Mlawi alaani vikali Matukio ya Utekaji: Asema ni dalili ya kukosekana kwa Amani

    Askofu Mkuu wa Makanisa ya SPCT na Rais wa Umoja wa Maaskofu, Wachungaji, Mitume, Manabii na Madhehebu ya Kikristo Tanzania, Askofu Musa Mlawi, ameibuka na kulaani vikali vitendo vya utekaji vinavyoendelea kushuhudiwa nchini, akivitaja kuwa dalili ya kukosekana kwa amani. Ametoa wito huo jijini...
  6. Waufukweni

    PreGE2025 Wananchi wacharuka na comment za 'No Reforms, No Election' kwenye page za Viongozi na Taasisi za Umma ikiwemo post ya Eid ya Rais Samia

    Wakuu! Bila uoga, Wananchi wengi wamejitokeza kuandika comments zenye ujumbe wa 'No Reforms, No Election' chini ya post ya salamu za kheri ya Sikukuu ya Eid al-Adha zilizotolewa na Rais Samia kupitia mitandao ya kijamii. Badala ya kusherehekea ujumbe huo wa sikukuu kwa kawaida, baadhi ya...
  7. Waufukweni

    PreGE2025 Askofu Mlawi: Kesi ya Lissu ziharakishwe kabla ya Uchaguzi

    Askofu Mkuu wa Makanisa ya SPCT na Rais wa Umoja wa Maaskofu, Wachungaji, Mitume na Manabii na Madhehebu ya Kikristo Tanzania, Askofu Mussa Mlawi, amevitaka vyombo vya utoaji haki nchini kuharakisha usikilizwaji wa kesi zinazomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, na kuhakikisha suala hilo...
  8. Waufukweni

    PreGE2025 Katibu Mkuu BAKWATA: Tuepuke mahubiri ya siasa kwenye nyumba za ibada

    "Tunaendelea kuwasihi viongozi wetu wa dini kutumia vizuri majukwaa ya nyumba za ibada kueneza mafunzo mazuri ya dini yetu yanayotokana na maandiko muhimu ya vitabu vyetu vitukufu, na kuepuka mahubiri ya siasa katika nyumba zetu za ibada, kwani tunaweza kuwagawanya waumini ambao wana itikadi zao...
  9. Waufukweni

    PreGE2025 BAKWATA yahimiza amani nchini na Siasa safi mwaka wa Uchaguzi

    Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Alhaj Nuru Mruma, amesema baraza hilo linawahimiza Waislamu na Watanzania kwa ujumla kulinda amani iliyopo nchini, kwani bila uwepo wa amani shughuli za kimaendeleo katika jamii haziwezi kufanyika, na hata ibada pia hazitafanyika...
  10. Waufukweni

    Askofu Mkuu SPCT aitaka Serikali kusikiliza CHADEMA: Asema Maridhiano ni muhimu kwa Ustawi wa Taifa

    Askofu Mkuu wa Makanisa ya SPCT na Rais wa Umoja wa Maaskofu, Wachungaji, Mitume, Manabii na Madhehebu ya Kikristo Tanzania, Askofu Mussa Mlawi, amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuangalia kwa makini mvutano unaoendelea kati ya Serikali na Chama cha...
  11. Mto wa mbu

    PreGE2025 Uhasama wa kisiasa Milllard Ayo apoteza wafuasi laki tatu ndani ya masaa 12

    Hii hali siyo ya kawaida for the national stability. Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania. Watanzania wanaanza kuwashambulia Kwa maneno na kuwa unfollow wanaokipigia debe chama tawala. Millard Ayo amepoteza...
  12. gstar

    PreGE2025 Makonda sio mwenyeji wa Arusha, ubunge anatafuta 'ulaji' na sio service

    Ubunge kwa maana halisi ya uwakilishi wa wananchi ni kwa yule mzawa ama mkazi wa muda mrefu wa eneo husika na sio aliyekwenda kwa ajili ya kutafuta fursa ya "ulaji". Je Makonda ana asili ya Arusha? iweje kung'ang'ania Jimbo la Arusha alikopelekwa kwa kazi ya kiserikali ya ukuu wa mkoa? mpaka...
  13. D

    2025 wabunge wanaenda kuwa wengi inaweza karibiana na marekani . Kwa nchi ndogo Kama yetu

    I will be short Majimbo yanazidi kuwa mengi , gharama zinakuwa kubwa . Hizi pesa serikali Itatoa wapi ?? Majimbo mengi Inchi mdogo . What’s going on ?? Hapo Dc na RC . A Naongea na wabunge 3-4 kila Wilaya ?? Hivi sisi watu weusi tumechanganyikiwa au ?! Hatuna hela , tuna increase...
  14. M

    PreGE2025 Wale wabunge 19 watakaoomba kurudi CHADEMA wapokeeni, watakuwa na nia safi kwa sasa

    Mimi siyo mwanachama wa chama chchote lakini kwa hali ilivyo ya Chadema ni vyema kuwarudisha wabunge 19 wenye nia ya kufanya siasa ndani ya chadema. Nadhani Lisu aliwahi kutoa hata utaratibu wa kuwarejesha fanyeni hivyo, Mtu kama Halima, Bulaya, ni asset mbali na mambo yaliyotokea tumeona Komu...
  15. Genius Man

    Kwa haya mafuriko ya wananchi kwenye mikutano ya CHADEMA ni wazi uchaguzi ukiwa wa haki CHADEMA itanyakua bunge zima na ikulu

    Kwa haya mafuriko ya wananchi kwenye mikutano ya chadema ni wazi uchaguzi ukiwa wa haki chadema itanyakua bunge zima na ikulu yote sema amina. chadema sio tu chama cha siasa ni imani ya kidini.
  16. Erythrocyte

    PreGE2025 Morogoro: Mkutano wa No Reforms No Election watawaliwa na Mabango ya "Free Lissu" Tone Tone yavunja rekodi

    Hii ndio Taarifa mpya ya Jioni sana iliyotufikia. Mada ni ile ile wala hatuna haja ya kuirudia, Wananchi wote wamekubaliana na Hoja za Chadema kasoro Abood tu Hali ndio kama unavyoona kwenye eneo la Kiwanja cha Ndege, Morogoro Mjini Tone Tone nayo Yatikisa
  17. Abraham Lincolnn

    Kwanini nguvu kubwa inatumika kulazimisha Samia kurejea ikulu? Hatoshi na wapo ambao ni bora zaidi katika hiyo nafasi

    Kubinafsisha bandari zetu Usimamizi mbovu wa matumizi ya umma Ukosefu wa ubunifu na kuendesha serikali kwa mazoea Utekaji Uhalalishaji na wizi wa mali za umma(kila mtu ale kwa urefu wa kamba) Hakuna ajira wala nia ya dhati kusaidia vijana kujiajiri Huduma mbovu za afya Huduma mbovu za...
  18. Ngongo

    PreGE2025 Makalla amtangaza Makonda mgombe Ubunge Arusha mbele ya Gambo

    KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla, amewatakia kila la kheri Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda na Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo, katika Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  19. Madwari Madwari

    PreGE2025 Rais wa china huenda akajiiuzulu kutokana na hali ya uchumi wa nchi, Mama ana cha kujifunza hapa

    Msururu wa dalili zisizo na shaka kutoka ndani ya mfumo wa kisiasa wa China katika miezi ya hivi karibuni zinaonyesha kuwa nguvu ya Xi Jinping madarakani inadhoofika na kwamba kuondolewa kwake kunaweza kukaribia. Takriban watu watatu mashuhuri wa nje ya china - kila mmoja akiwa na rekodi ya...
  20. M

    PreGE2025 Mwaliko mkuu wa kuiponya Nchi hii

    Tulipo si pazuri sana, tunahitaji ukombozi wa kweli wa Nchi hii. Ili kufanikisha ukombozi huo, naomba kumwalika kila kila Mtanzania kwa nafasi yake afanye kila linalowezekana kufanikisha ukombozi huu. Wewe kama ni Askari, mwanasheria, Daktari, Mwalimu, mkulima, Kiongozi wa Dini, Kiongozi wa...
Back
Top Bottom