Mjadala mkubwa kwa sasa ni habari zinazowahusu Boniface Mwangi kutoka Kenya na Agather Atuhaire kutoka Uganda walipokuwa Tanzania.
Wakati serikali ilikanusha madai ya ukiukwaji wa haki zao, baadhi ya raia na mashirika ya kiraia walitilia shaka mazingira ya tukio hilo.
Lakini hata kama...
Askofu Dickson Kabigumila, akihubiri kuhusu hali ya kisiasa na kijamii nchini, amesema kuwa ameonyeshwa na Mungu kuwa kundi linalojulikana kama 'wasiojulikana' litafikia mwisho wake ifikapo mwezi wa nane mwaka 2025.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, akiwa mkoani Morogoro katika ziara ya oparesheni, amesema: "Bila mabadiliko hakuna Uchaguzi, ndiyo oparesheni ya Chama chetu."
Ameeleza kuwa: "Nchi hii imejaa propaganda, nchi imejaa uongo, vyombo vya habari...
Tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi serikali kupitia mapato ya ndani pamoja na fedha za wahisani Imewekeza mabilioni ya dola na na matrilioni ya shilingi kwenye tasnia ya siasa ili kuikuza, kuiimarisha kwa maslahi ya Taifa.
Uwekezaji huo upo katika maeneo mengi sana mathalani
1. Tuzuku kwa...
Aloooooo hii ni nomaaa, yaani huyu ndio akapata na nguvu za kutuita sisi kenge? Kweli?
Wizara ya Elimu embu njooni mtuambie hapa, hivi mtu anaweza kusoma form four miaka 16? Wachaaa banaaa! Hapo akapata cheti na akaenda shule nyingine akapata cheti pia, haya ni maajabu! Hajaishia hapo akapiga...
Taarifa ya Chadema hii hapa
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mara, Mwalimu Chacha Heche, amesema chama hicho hakina ofisi (iliyotajwa kwamba ilikuwa yao na kisha kuchukuliwa na CHAUMMA) bali kwa sasa wanamiliki majengo yao na wapo kwenye ofisi zao, na kwamba wanaosema kwamba jengo hilo lilikuwa la...
UJENZI WA KUONDOA VIKWAZO KUUNGANISHA BARABARA YA RUNAZI -CHEBITOKE HADI KABINDI .
Kipande cha kilomita 2 kati ya 4 ya barabara inayounganisha eneo la kabindi na runazi lilikuwa na changamoto ya kutopitika kipindi cha mvua .
Maono ya mbunge wa biharamulo Mh Eng Ezra John Chiwelesa sasa...
Ni wazi kuwa watu wamebaki kuwazawaza kuhusu maneno ya Rais Samia alipowapongeza KKKT kwa kazi nzuri huku akisema "sio kama yule na dini za kishetani". Watu wanaweza kufikiri alikuwa anamzungumzia Gwajima na Kanisa lake.
Sasa ni vyema askofu Gwajima akajibu hili na kuondoa dhana hii kuhusu...
Kimsingi kwa maoni yangu TUNDU LISU alikuwa anatufaa katika nyakati hizi sababu kubwa ni kwamba waliopo madarakani sasa hivi ukikosoa unaitwa mhalifu na kutekwa.
Watu wengi ambao wameikosoa serikali ya wawamu ya sita kwa ujasiri kwa sasa wengi wamepotea!
Nachojiuliza askofu Gwajima kukemea...
Tuliapa Tangu Mapema sana kwamba, hakuna kijiji kitakachoachwa, na hoja yetu ni ile ile ya kuepusha mauaji kwa sababu za Uchaguzi, na kwamba bila Mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi.
Ni heri wafanye watakavyo lakini uhai wa wananchi uwe salama.
Kampeni ya Chadema imekuwa Rahisi sana kwa sababu...
Kuna maneno yanazunguka mitandaoni yakimnukuu Rais Samia akitoa ya moyoni juu ya Gwajima kuwa anatumia kanisa kutakatisha fedha, je maneno haya ni kweli kayasema ? Na kayasemea wapi?
Waumini wamejua kuonesha umoja ambao watanzania wengi tunakosa, inabidi tuchukue mfano huu kutoka kwao. Maelfu kwa maelfu tukikemea uonovu wataweza kukamata nchi nzima?
====
Wakili wa utetezi wa Kanisa la Ufufuo wa Uzima, linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, Peter Kibatala amesema waumini...
Jamani kamanda huyu Heche anakitu kikubwa sana juu ya siasa, za kizarendo za Tanzania , huyu ni Azina ya taifa, leo na hata badae.
Ana uwezo wa kujenga hoja za kuwagusa watu masikini, lakini huwa anatoa mifano hai, juu namna lasirimali za nchi zinavyoibiwa, na serikali ya ccm...
Nimewasikiliza hawa jamaa naona kama kuna kuchanganyikiwa flani hivi au wana hasira za kutoka CHADEMA kiasi cha kupoteza Dira na kutumia Mikutano yao waliyoiandaa kwa Gharama kubwa kuisakama CHADEMA badala ya CCM, siyo kwamba wanarudia kosa walilofanya ACT?
Lengo la Chama chochote cha Siasa ni...
Kina Mama washika mabango yenye ujumbe wa "No Reforms, No Election" na "Tundu Lissu Sio Mhaini" katika Kata ya Minepa Kivukoni, Wilaya ya Ulanga, wakionesha msimamo wao dhidi ya kile walichokiita hali ya ukandamizaji wa kisiasa na ukosefu wa haki katika mfumo wa uchaguzi nchini kwenye mwendelezo...
Moto wa 'No Reforms No Election' wazidi kushika kasi, tazama Mkutano wa saa 4 asubuhi leo Juni 5, Kata ya Igima, Jimbo la Mlimba (Morogoro), uliohutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa John Heche ikiwa ni siku ya Kwanza ya Uzinduzi wa operation ya No Refoms no Election Kanda ya Kati.
Ofisi iliyokuwa ikimilikiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), mkoa wa Mara, imebadilishwa na kuwa Ofisi ya Chama Cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA).
Awali ofisi hiyo kwa nje ilikuwa imeandikwa kwa maandishi makubwa CHADEMA sasa inasomeka kwa maandishi hayohayo makubwa lakini kwa jina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.