"Ushauri kwa vyama vya upinzani Tanzania ya kuishinda chama tawala CCM, zingatieni haya ndani ya vyama vyenu,
Muwe na viongozi wenye dira chanya,
Fanyeni tafiti juu ya shida za wananchi na mahitaji ya taifa,
Tumieni lugha tamu ya ushawishi badala ya kuwafokea wananchi,
Wazalisheni viongozi wenu...