kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Wananchi wa Siha "wadaiwa kuridhia" Dkt. Godwin Mollel kuendelea kuwa mbunge kwa kipindi kingine

    Wananchi wa Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro wamemuidhinisha Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo hilo, Dkt. Godwin Mollel, kuendelea kugombea nafasi hiyo kwa awamu nyingine. Tukio hilo limetokea wakati wa hafla ya kimila iliyowakutanisha wanajamii wa Kimaasai wilayani Siha, ambapo Dkt...
  2. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mkulima Tinson Nzunda atangaza kugombea Ubunge jimbo la Vwawa

    Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Nyimbili, Tinson Nzunda, ametangaza rasmi nia ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Vwawa, akiahidi kuleta mabadiliko ya maendeleo endelevu kwa wananchi. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Vwawa, Nzunda amesema ameamua kujitosa kwenye kinyang’anyiro hicho baada ya...
  3. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Kijana msomi Japhari Saidi atangaza kugombea ubunge la Singida Mjini

    Kijana msomi na mtaalamu wa masuala ya udhibiti wa bidhaa za tiba, Japhari Saidi, ametangaza rasmi nia yake ya kuchukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Singida Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka 2025. Akizungumza baada ya...
  4. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 CCM Tanga yatishia kuchukua hatua kali dhidi ya wagombea watakaojihusisha na rushwa Uchaguzi Mkuu

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga kimetangaza kuwa hakitasita kuchukua hatua kali dhidi ya wagombea watakaojihusisha na vitendo vya rushwa katika harakati za kuwania nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Akizungumza wakati akikagua ukarabati wa...
  5. Waufukweni

    PreGE2025 Mbunge Mwanyika: Wananchi wa Njombe hawahitaji mtu mwingine wa kushindana na mimi, msafara wa Mamba, Kenge wamo

    Mbunge wa Njombe Deodatus Philip Mwanyika Kwa msisitizo na kujiamini, Mbunge wa Njombe Deo Mwanyika ameweka wazi bungeni kuwa wananchi wa Njombe hawahitaji kiongozi mwingine — akisema kuwa yeye anatosha kuwavusha kwenda kwenye nchi ya ahadi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  6. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwanasheria David Komba atangaza kugombea ubunge jimbo la Isimani

    DAVID Evance Komba ambaye ni Mwanasheria kitaaluma na mzaliwa wa Kijiji cha Lwang’a kata ya Kihorogota tarafa ya Isimani katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, amevunja ukimya na kutangaza nia ya kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Isimani kwa tiketi ya Chama...
  7. R

    Mwenge wa uhuru kuzindua Miradi 52 ya Billioni 84 Kilimanjaro

    Jumla ya miradi 52 yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 84 inatarajiwa kukaguliwa, kuzinduliwa au kuwekewa mawe ya msingi wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru zitakazofanyika katika halmashauri saba za mkoa wa Kilimanjaro kuanzia Juni 28, 2025 Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa...
  8. Z

    PreGE2025 JUWAUZA kuwainua wanawake kuwania nafasi za uongozi kupitia uhamasishaji wa jamii

    Mratibu wa Mradi wa Kumuimarisha Mwanamke katika Masuala ya Ungozi SWIL kutoka Jumuiya ya Wanawake Wenye ulemavu Zanzibar JUWAUZA Zakia Shabani Daudi amesema wataendelea kuwahamasisha wanawake katika kuwania nafasi mbali mbali za uongozi ili kupata viongozi wenye sifa na weledi. Ameyasema hayo...
  9. PendoLyimo

    PreGE2025 Watumishi wa Magereza Manyara wapatiwa majiko ya gesi

    WATUMISHI WA MAGEREZA MANYARA WAPATIWA MAJIKO YA GESI 📌Mifumo ya uzalishaji wa bayogesi 126 mbioni kuanza 📌REA, Jeshi la Magereza kununua mashine 61 za mkaa mbadala 📌REA kuwajengea uwezo magereza uendelezaji miradi ya nishati safi 📌Mha. Saidy amewataka magereza kuwa mabalozi wa nishati safi...
  10. DuaZaMama

    PreGE2025 Mgamba ajitosa Ubunge Jimbo la Bariadi Vijijini

    Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Bariadi Vijijini, Mesela Giligisi Mgamba, leo tarehe 26 Juni 2026 ametangaza rasmi nia yake mbele ya wanahabari na wafuasi wake. Akizungumza mara baada ya kutangaza nia hiyo, Mgamba amesema kuwa moja ya sababu kubwa iliyomsukuma kuingia kwenye...
  11. R

    GE2025 CCM: Marufuku wagombea kwenda na wapambe na msafara wa magari kuchukua fomu za Ubunge na Udiwani

    Chama Cha Mapinduzi kimeeleza sababu za kuzuia shamrashamra za matarumbeta,ngoma,wapambe na pilipiki katika kuchukua na kurudisha fomu za ubunge na udiwani Taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu wa NEC Organaizesheni, Issa Haji Ussi kuhusu mwongozo wa na maelekezo kuhusu utaratibu wa uchukuaji...
  12. R

    PreGE2025 Chama cha ADC kufanya mkutano mkuu maalum wa kuwateua watakaogombea kwenye Uchaguzi

    Akizungumza na waandishi wa habari, Katibu Mkuu wa ADC, Mwalimu Hamad Azizi, amesema mkutano huo utafanyika tarehe 29 Juni 2025, ukiwa ni sehemu muhimu ya maandalizi ya chama hicho kujipanga kuelekea uchaguzi mkuu, katika kuhakikisha kuwa kinapitisha wagombea imara na wenye uwezo wa kushindana...
  13. R

    PreGE2025 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Tuilinde amani ya nchi yetu kabla, wakati na baada ya Uchaguzi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wananchi kushiriki uchaguzi mkuu kwa amani huku akiwahakikishia kuwa serikali itatekeleza wajibu wake ipasavyo "nitoe rai kwa kila mmoja wetu kuhakikisha kila mmoja analinda na kuitunza tunu ya amani na utulivu wa nchi kabla wakati na baada ya...
  14. DuaZaMama

    PreGE2025 Kitwana apiga marufuku matangazo na picha za makaratasi za wagombea

    Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharib Unguja Mheshimiwa Idrissa Kitwana Mustafa amepiga marufuku matumizi ya picha za makaratasi kwa wagombea katika maeneo yota ya mkoa huo huku akitaka watumie picha za kidigitali ili kuleta haiba nzuri ya mji. RC Kitwana ametoa maagizo hayo wakati akizungumza na...
  15. chiembe

    PreGE2025 CHADEMA kuwakilishwa na mawakili wa Amsterdam and partners kutoka Marekani katika kesi zinazowakabili nchini Tanzania

    Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimetangaza kuwa kampuni ya kisheria Amsterdam and partners, LLP ya Marekani kwa sasa itakuwa na wajibu wa ushauri wa kisheria na uwakilishi katika kesi zinazokikabili chama hicho nchini Tanzania. Kulingana na Chadfema, uamuzi huo unatokana na...
  16. McLaren

    Spika Tulia: Rais Samia atahutubia Bunge kesho Tarehe 27 June 2025

    Wakuu, Akiwa bungeni leo, Spika Tulia ametangaza kwamba siku ya kesho Rais Samia ataenda kuhutubia na kulifunga rasmi Bunge la 12
  17. DuaZaMama

    PreGE2025 Ramadhani Njala atangaza nia kugombea Ubunge Jimbo la Geita Vijijini kwa tiketi ya ACT Wazalendo

    Kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu, Ramadhan Njala Jumanne ameweka wazi nia ya kugombea ubunge katika Jimbo la Geita vijijini kupitia chama cha ACT Wazalendo. Bw. Ramadhan ameweka wazi baadhi yaa vipaumbele vyake ambapo amesema lengo lake kubwa ni kuhakikisha...
  18. Waufukweni

    PreGE2025 Waziri Mkuu, Majaliwa atangaza kugombea tena Ubunge wa Ruangwa akiaga Bunge

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ametangaza kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa mkoani Lindi, amesema hayo akilihutubia Bunge kwa mara ya mwisho leo Juni 26, 2025 jijini Dodoma. "Ninawashukuru sana wana Ruangwa kwa kuniunga mkono na kunipatia ushirikiano katika kipindi chote nilipokuwa...
  19. DuaZaMama

    GE2025 Aliyekuwa RC Mbeya, Dkt. Juma Homera achukua fomu ya Ubunge Namtumbo

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Dkt. Juma Zubeir Homera anatarajia kuchukua Fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Namtumbo Jumamosi June 28. Dkt. Homera amesema tayari yuko Namtumbo akisubiri zoezi hilo Jumamosi. "Nitachukua fomu Jumamosi hapa Namtumbo, mengine tutasema wakati ukifika" amesema Dkt...
  20. R

    PreGE2025 Dakika za jioooni, Eric Shigongo aweka umeme kwenye zahanati ya Kisiwa cha Soswa, Buchosa

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ameweka umeme kwenye zahanati ya Kisiwa cha Soswa iliyopo katika jimbo hilo na kumaliza kero ya muda mrefu ya wanawake kujifungua kwa msaada wa mwanga wa tochi, iliyokuwa ikiwakabili wananchi hao Hatua hiyo imepongezwa na wananchi wa Kisiwa cha Soswa ambapo...
Back
Top Bottom