MRADI MKUBWA WA MAJI WA KATOKR NYARUBUNGO.
Tanki kubwa linaonekana liko katika hatua za mwisho kukamilika huku wataalamu wa BUWASA wa wakandarasi wakiwa busy kuhakikisha ndoto ya mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa ya kumtua mama ndoo kichwani iliasisiwa na Mhe Rais Samia suluhu Hasan...
Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimewataka wanasiasa na wadau kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 kuendesha kampeni kwa hoja badala ya matusi na maneno ya chuki, hususan dhidi ya wanawake. Wamesisitiza kuwa "siasa safi inawezekana" na hoja ndizo zinazojenga taifa lenye maendeleo...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi na mdau mkubwa wa maendeleo Musoma vijijini Ndg. Muinja Maingu metia nia ya kuwania nafasi ya ubunge Musoma vijijini.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Arusha CHADEMA ali maarufu baba bonny awaasa wale wote walio kimbilia CHAUMMA waondoke wakiache chama cha mzee Hashim Rungwe
Mwanamke jasiri na mwenye maono mapana ya maendeleo, Bi. Valeriana Pascale Itovagonze, ametangaza rasmi nia yake ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu 2025.
Akizungumza na Nurudigital leo 27 Juni 2025 , Bi. Valeriana amesem kuwa amechukua...
Je umetia nia kugombea uongozi wowote katika Uchaguzi Mkuu na unapanga kufanya kampeni ili uchaguliwe?
Elewa mbinu na mikakati ya kufanya kampeni kwa mafanikio.
1.Hatua ya kwanza ni kusoma hali ya kisiasa ilivyo. Hapa unatakiwa kuangalia umma wa watu unaotaka kuwaongoza unahitaji nini hasa...
Waganga wa tiba asili mkoa wa Tabora wamesema kuelekea uchaguzi mkuu hawatokubali kushiriki kuwagua wanasiasa katika njia ambazo sio sahihi ikiwemo kutumia viungo vya binadamu pamoja na vishawishi vyovyote vya kutaka kumzuru mtu ili kumfanikishia mtu mwingine.
Msimamo huo umetolewa na...
Joto la uchaguzi mkuu likiwa linazidi kupanda kwa baadhi ya wanasiasa katika halamshauri ya manispaa ya Geita Elia John Yohana mwenye umri wa miaka 26 ambaye ni muhitimu Shahada ya kwanza ya Elimu ya sayansi ametangaza rasmi kugombea Ubunge Jimbo la Geita mjini kupitia tiketi ya chama cha...
Pongezi nyingi kwa jeshi la polisi kwa nzuri wanayofanya, hatuna budi kutambua kwamba uhalifu unaozuiliwa na jeshi la polisi ni mkubwa kuliko unaofanyika. kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu na kuwafikisha mahakamani imeongezeka. Jambo ambalo hatujafanikiwa vya kutosha ni ajali za...
Rais Samia mpaka sasa hajaonekana Bungeni ili alivunje, kuna nini? Awali tuliambiwa ataingia Ukumbini saa Tisa lakini mpaka sasa saa Kumi na dakika 23 bado hajatoke na hakuna taarifa yoyote.
Hapa Spika Tulia akitoa ufafanuzi wa utaratibu wa Bunge wakati Rais na wageni wakiingia Bungeni, na...
Jimbo la Vunjo limeendelea kuwa miongoni mwa majimbo yenye msisimko mkubwa kila uchaguzi mkuu unapokaribia, lakini awamu hii hali inaonekana kuchukua sura tofauti, baada ya mbunge wa sasa wa jimbo hilo, Dkt Charles Stephen Kimei, kuonekana kupigiwa upatu na wananchi walio wengi kutetea tena...
Wakuu,
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Chacha Makuri, ametangaza rasmi nia ya kugombea ubunge wa Jimbo la Serengeti katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, akieleza kuwa hatua hiyo imesukumwa na dhamira ya kweli ya kulitumikia taifa kupitia jimbo hilo muhimu kwa maendeleo ya wananchi...
Mbunge wa Viti Maalumu, Sophia Mwakagenda amesema kuwa baada ya Rais Samia kulihutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atajiunga rasmi na Chama cha Mapinduzi (CCM) kama atapata ridhaa.
Soma zaidi: Mbunge Sophia Mwakagenda aitema CHADEMA, Ajiunga rasmi...
Kesho ni tarehe 27/06/2025 ndio siku rasmi ya kuvujwa kwa bunge.
Ninawakumbusha mnao covid 19 na chauma ikiwemo, msije mkachanganyikiwa kama kutakua na maelekezo kutoka juu, lazima nchi iende. Just wait the time is at the corner from now
Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani tarehe 17.03. 2021,
Mwaka huo wa 2021 Tanzania ilitimiza miaka 60 ya Uhuru baada ya uhuru wake wa 9 dec 1961.
Katika kipindi hicho Serikali iikua imefikisha huduma ya maji kwenye jumla ya vijiji 5258 hii ni kwenye awamu zote Tano...
Aliyekuwa Diwani wa kata ya Kiranyi Wilaya ya Arumeru aliyemaliza Muda wake Jun Kupitia Chadema Mhe JOHN EDWAR SENEU ( JOMBI) Leo amerudi CCM na kupokelewa na viongozi wa Tawi la ilkurei kata ya Kiranyi , Mapokezi ya Mhe JOMBI yameshudiwa na Sekretariet ya CCM Wilaya wakiongozwa na CDE CAMILA...
Kijana Mkeleketwa wa Chama Cha Mapinduzi, Mtindi Kabourou amedai Kuwa mpaka sasa Tanzania hakuna chama Pinzani kinachoweza Kuwa mbadala wa CCM Kwakuwa Vyama hivyo vimekosa sera na Msimamo wa kifalsafa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Elias Mdao, ametangaza rasmi nia ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kongwa katika Uchaguzi Mkuu ujao, akieleza dhamira yake ya kulihudumia taifa kupitia jimbo hilo.
Akizungumza na wanahabari leo jijini Dodoma, Mdao amesema atachukua fomu pindi dirisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.