Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kutoka Wilaya ya Kinondoni, Comrade Furaha Dominick amechukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Kawe.
Tukio hili limekuja baada ya Bunge kuvunjwa rasmi na chama cha CCM kutangaza nafasi za kuchukua fomu za udiwani na ubunge.
Kupata matukio na taarifa zote kwa...
Aidha Professa ameimiza kila kata kuwe na ilani inayoendana na hali ya kata husika.
Pia amesimamia hoja kuu ya kuendelea na uchaguzi ingawa Kuna mchakato unaendelea wa kuwa na Tume huru ya uchaguzi, na mabadiliko ya katiba mpya.
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mtaalamu wa Teknolojia ya Habari, Elias Mdao, leo Jumamosi tarehe 28 Juni 2025, amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Kongwa katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Mdao amechukua fomu hiyo majira ya saa tano asubuhi...
Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said leo Jumamosi, Juni 28, 2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Kigamboni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Hersi amechukua fomu hiyo katika Ofisi ya CCM Kigamboni na amekabidhiwa na Katibu wa CCM wa Kigamboni...
Jerry Silaa, amejiunga rasmi katika mchakato wa kuwania ubunge kwa kuchukua fomu ya kugombea Jimbo la Ukonga, jijini Dar es Salaam.
Hatua yake ya kuchukua fomu inakuja wakati ambapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeanza zoezi la uchukuaji na urejeshaji fomu kwa ajili ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa...
Wana JF
Haya ni maneno ya Raisi akiwaapisha viongozi leo : "Wakuu wa MIKOA, shirikianeni na chama kipindi hiki cha uchaguzi"
Hii inaleta picha gani kipindi hiki cha uchaguzi .?
Kuna maisha baada ya uchaguzi
Wakuu!
Zoezi la Uchukuaji Fomu za kugombea nafasi ya Ubunge katika Majimbo Mkoani Geita limeanza, ambapo leo June 28, 2025 Mwambata kutokea katika Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda anayeshughulikia Masuala ya Fedha, Kulwa Biteko amewasili katika Ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya...
Aliyekuwa Naibu Meya wa Ilala Ojambi Didas Masaburi, amechukua fomu leo kuwani Jimbo Jipya la Kivule, Jijini Dar es Salaam. Ojambi kabla alikuwa Diwani wa Kata ya Chanika, Wilayani Ilala.
Soma, zaidi: Mchuano mkali katika jimbo jipya la Kivule. Naibu Meya Jiji la Ilala anatajwa huenda akajitosa...
Kada wa CCM, Mfanyabiashara na mdau wa maendeleo ya jamii, Comrade Linus Silayo sasa rasmi anaenda kutia nia ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Rombo.
Linus Silayo ni jina linalotajwa sana katika Jimbo hilo, amekuwa karibu sana kusaidia masuala ya kijamii ikiwemo yanayohusu vijana, anatarajiwa...
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Ester Bulaya ametangaza kuwa atachukua fomu Jimbo la Bunda Mjini kupitia CCM.
Bulaya pia alishawahi kuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA, amesema anajiandaa kuchukua fomu katika zoezi ndani ya CCM lililoanza leo.
Aliyekuwa Mbunge wa viti Maalum Esther...
Aliyekuwa Mbunge wa Iringa Mjini 2010 - 2020 Mchungaji Peter Msigwa amechukua fomu za kugombea Ubunge Jimbo la Iringa Mjini katika ofisi za CCM wilaya na kukabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Iringa mjini Hassan Makoba.
Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa fomu Mchungaji Msigwa alisema kuwa...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, ametoa onyo kali kwa baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wenye tabia ya kuwachafua wenzao kisiasa, akisisitiza kuwa viongozi wa aina hiyo hawastahili kupewa nafasi...
Mwenyekiti wa UWT Taifa Mary Pius Chatanda (MCC) tarehe 27 Juni, 2025 amewataka Wanawake wote Nchini Tanzania kuitumia fursa hii ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kujitokeza Kwa wingi kwenda kugombea nafasi mbalimbali za uongozi udiwani, Ubunge kwenye majimbo na Viti Maalum, amesema Chama Cha...
Jumuiya ya umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wilaya ya Tanga imewataka Vijana kujitokeza kwa wingi kuchukua fomu za Uchaguzi kwa lengo la kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika na za Udiwani na ubunge, ambapo fomu hizo zitaanza kutolewa kuanzia June 28 hadi July 2, 2025 katika...
Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Kilosa kimetoa onyo kwa wagombea wa nafasi ya Udiwani na Ubunge ndani ya Chama hicho kutojihusisha na Vitendo vya rushwa kwani ni kosa kufanya hivyo.
Wito huo umetolewa na Katibu wa CCM Wilaya hiyo Jonus Mfaume wakati akizungumza na wanahabari ofisini kwake.
Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Kigoma, kimesema zoezi la uchukuaji wa fomu za kugombea Ubunge na Udiwani zitaanza kutolewa Juni 28, 2025, huku wenye umri kuanzia miaka 21 na kuendelea wakitakiwa kujitokeza na kuchukua fomu za kugombea nafasi hizo muhimu, kwa kuwa ni haki yao.
Furaha Nemela Mwalimu wa shule ya msingi Chakama, iliyopo wilayani Masasi, mkoani Mtwara, ametia nia ya kugombea Ubunge Jimbo la Masasi Mjini, kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku malengo yakiwa kiwatumikia wananchi wa Jimbo hilo.
Petro Daniel Ntagira, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST), ametangaza rasmi nia ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Udiwani katika Kata ya Iyunga, Jijini Mbeya.
Ntagira amesema amechukua hatua hiyo baada ya kupata msukumo wa kutumia taaluma yake ya Uhandisi...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Ubia nchjni PPPC Bwana David Kafulila amesema ukuaji huu wa wa kasi wa Uchumi wa Tanzania 1unatokana na ukuaji wa Diplomasia Kimataifa.
Mkurugenzi Kafulila ametaja mambo manne ambayo ni muhimu kwenye kujenga Uchumi wa kisasa.
Kwanza, Mkurugenzi huyo...
ALIYEMSHINDA MZEE KIMEI KWENYE KURA ZA MAONI NDANI YA CCM UCHAGUZI WA 2020 ATANGAZA NIA TENA, SHIDA IPO PALEPALE KWA MZEE KIMEI VUNJO
Kada wa CCM , Msomi wa masuala ya Uchumi na Usimamizi wa Miradi, Mfanyabiashara na mdau wa maendeleo ya jamii, Comrade Enock Koola sasa rasmi anaenda kutia nia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.