kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lusungo

    PreGE2025 CHADEMA imejiandaa vipi kukabiliana na engua engua?

    Salaam wanajukwaa, Kwa muda mrefu jukwaa letu la JF limekua ni sehemu adhimu ya kupashana habari nyeti... mijadala Murua ya kina yenye kuleta tija kwa nchi yetu pamoja na kuwa huru kujadili mambo mazito pasipo woga wala ajizi. Kwa muda mrefu sana CCM ikianzia kipindi cha JK hadi kufikia kwa...
  2. Cute Wife

    PreGE2025 Polisi yaanza uchunguzi kufuatia tukio la utekaji wa kijana aliyechoma picha ya Rais

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeanza uchunguzi wa kubaini watu wasiojulikana wanaodaiwa kumteka Shadrack Chaula (24), mkazi wa Kijiji cha Ntokela wilayani Rungwe. Chaula anadaiwa kutekwa na watu hao ikiwa ni takribani siku 20 zimepita tangu alipotoka Gereza la Ruanda Mkoa lililoko mkoani...
  3. L

    Rais Samia awabubujisha machozi ya furaha wana Yanga, awapigia simu Uwanja wa Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna Mwanadamu anapendwa na Kukubalika kuliko Binadamu wote Barani Afrika, basi Binadamu huyo ni Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan. Mama anapendwa mpaka watu wanatokwa na kububujikwa na machozi ya furaha. Mama...
  4. B

    PreGE2025 Mbunge Samizi atembelea Gereza la Nyamisivyi Kibondo kuwaona wafungwa, atoa msaada wa sabuni na mifuko 100 ya simenti

    🗓️ 3 AUGUST 2024 🗒️ Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Jana ametembelea GEREZA LA NYAMISIVYI {W} Kibondo, lengo ikiwa ni kuwaona wafungwa na kuwapa sabuni kwa ajili ya mahitaji yao pamoja na kukabidhi Simenti mifuko 100 alizoahidi ikiwa ni moja ya kuunga mkono juhudi za...
  5. ChawaWaMama

    PreGE2025 Rais Samia, Watanzania tunakupenda sana na tuna imani na wewe. 2025 lazima Ushinde kwa Kishindo

    GTs, Ni dhahiri Rais wetu Samia ameonesha uwezo mkubwa sana wa uongozi katika kupindi ambacho amekuwa na haya madaraka ya Urais. Na muitikio wa Watanzania wa kumuunga mkono 2025 ni mkubwa sana na hamasa ipo juu mno kuhusu kumpa kura za ndiyo 2025. Wanaosema eti siyo mkali hawana hoja kwa...
  6. J

    PreGE2025 Mwanasiasa aliyejibrand akiwa upinzani hawezi kung'aa akihamia CCM, hiki kitamtesa sana Mchungaji Msigwa

    Mwanasiasa yoyote aliyejenga jina lake Kisiasa akiwa Chama cha upinzani hawezi kung'aa akihamia CCM. Mifano ni mingi akina Julius Mtatiro, Nassari, Lijualikali. Ndio Sababu unawaona akina Dr Slaa, Zitto Kabwe,James Mbatia, Lwakatare nk wameamua kubakia Upinzani japo kwa namna moja au nyingine...
  7. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Mbunge Juliana Masaburi ‘Awashika Mkono’ UVCCM Wilaya ya Ilala Ujenzi Nyumba ya Mtumishi

    MBUNGE JULIANA MASABURI AWASHIKA MKONO UVCCM WILAYA YA ILALA UJENZI NYUMBA YA MTUMISHI Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa (Anayetokea Mkoa wa Mara) Mhe. Juliana Didas Masaburi tarehe 03 Agosti, 2024 alikuwa mgeni rasmi katika ufungaji wa Baraza la UVCCM Wilaya ya Ilala Mkoani Dar es Salaam...
  8. kagoshima

    PreGE2025 Hivi ni kwanini wengi wanaotekwa na kupotezwa ni raia wa vyama vya siasa pinzani?

    List ya wengi wanaotekwa na kupotezwa ni wale raia wanao support au wanachama wa vyama pinzani na ccm. Hii inamaanisha nini? Pia soma: Kuelekea 2025 - Rais Samia: Machifu waambieni wanasiasa ukweli vyeo havipatikani kwa kuua watu Je, nikuwatisha raia wadishabikie vyama pinzani? Je, watekaji...
  9. The Palm Beach

    PreGE2025 Wamasai wa Ngorongoro watoa tamko kunyang'anywa haki ya kupiga kura 2024 na 2025

    Baada ya kuwasikiliza wakazi na viongozi hawa wa tarafa ya Ngorongoro, nimegundua yafuatayo: 1. Kuna agenda mbaya ya siri dhidi ya Wamasai hawa wa Ngorongoro inayofanywa na serikali ya CCM chini ya Rais Samia Suluhu Hassan. Wanaiuza ardhi ya Ngorongoro kwa waarabu? 2. Kumbe wakazi wa...
  10. J

    PreGE2025 Dkt. Nchimbi aonya makundi yanayoanza kuibuka ndani ya CCM

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameagiza viongozi, Wanachama na Jumuiya zote ndani CCM kuvunja makundi yaliyoanza kuripotiwa ndani ya chama hicho. Amewataka kuacha mara moja tabia hiyo kabla ya chama hakijachukua hatua stahiki kwani vitendo hivyo...
  11. Cute Wife

    Aliyehukumiwa kwenda jela miaka 2 kwa kuchoma picha ya Rais amechukuliwa na watu wasiyojulika, mpaka sasa hajulikani alipo

    Taarifa kutoka Mbeya ni kuwa kijana Chaula aliyefungwa miaka miwili jela kwa kosa la kuchoma picha ya Rais Samia, na baadaye kuachiwa baada ya kuhangiwa na wananchi amechukuliwa na watu wasiyojulikana toka jana Agosti 1, 2024. Pia soma: Shadrack Chaula, aliyechoma picha ya Rais Samia aachiwa...
  12. Black Butterfly

    PreGE2025 Rais Samia: Tunaelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, nileteeni Watu wazuri ili nikishusha Mahela yatumike vizuri

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezungumza na wananchi wa Dumila mkoani Morogoro na kuwaunga kwa kununua nyanya, bamia, tangawizi, mahindi yeboyebo na vitu vingine vilivyokuwa vikiuzwa na wajasiliamali wadogo wadogo pamoja na kuwapatia shilingi milioni 20 kwa ajili ya genge lao. Aidha...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Kuwa Mbunge kwenye eneo moja isizidi miaka 10 na Mawaziri wasitokane na Wabunge isipokuwa Waziri Mkuu

    Kwema Wakuu! Nafikiri kuna umuhimu wa kubadili sheria na kuweka sheria mpya kuwa Mbunge wa eneo Fulani asiongoze eneo hilo Kwa zaidi ya Miaka Kumi. Awamu Mbili zinatosha Kabisa kuwakilisha wananchi wa Jimbo Husika. Sioni tija ya Mbunge kukaa Miaka nenda rudi. Kama nia ni kuwakilisha Wananchi...
  14. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Rais Samia amewaomba Wakazi wa Ukonga kumshika Mbunge wa Jimbo hilo Jerry Silaa

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewaomba Wakazi wa Ukonga kumshika Mbunge wa Jimbo hilo ambaye pia ni Waziri wa Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Jerry Silaa kwakuwa ni Waziri anayefanya kazi vizuri. Rais Samia amesema hayo leo August 01,2024 akiwa Pugu njiani kuelekea Dodoma...
  15. K

    PreGE2025 CCM inahitaji Mzee wa mafaili mwingine kama Mzee Mangula baada ya kujiuzulu kwa Komredi Kinana kuelekea 2025

    Huu ni mtazamo wangu binafsi wa mtu anayefaa kupokea kijiti Cha Komredi Kinana kama makamu mwenyekiti mpya wa CCM Taifa. Kwanza, CCM inahitaji Mzee wa mafaili kama alivyokuwa Mzee Mangula. Kwa kuwa tunaelekea uchaguzi mkuu mtu mwenye sifa hiyo atakisaidia chama kuwafunga breki wanachama...
  16. benzemah

    PreGE2025 Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

    Abdulrahman Kinana Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye amemwandikia barua ya kuomba kupumzika. Katika majibu yake Mwenyekiti...
  17. ChoiceVariable

    PreGE2025 Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati

    Kwa tabia ya yule Jamaa kufokea Kila mtu na kuona wote hawana akili isipokuwa yeye basi Mawakili wajiandae Kuburuzwa na kupelekeshwa na Mwabukusi kama gari bovu,mtu ana mihemko ,hana utulivu wa akili Wala approach nzuri ya kutatua Changamoto eti ndio awe Rais wa watu Wanaojiita wasomi 😂😂👇👇...
  18. K

    PreGE2025 Kigwangallah ashiriki maombolezo ya aliyekuwa Kamanda wa Sungusungu, Mzee Chalya. Aahidi kujitolea pikipiki moja kwa kila kata

    Picha ya Kigwangalla akifanya mambo ya mila === Kupitia ukurasa wake wa Instagram Kigwangalla aeleza ukaribu wake na Sungusungu kutoka kijijini Bujuku ambako alienda kwaajili ya maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Mwenyekitu wa Sungusungu eneo hilo. Ambapo mbali na kutoa salamu za rambirambi...
  19. mwananyaso

    January Makamba akabidhi ofisi kwa Waziri Kombo

    Nimeiangalia clip yako ukikabidhi ofisi ya wizara ya mambo ya nje kwa Thabiti Kombo, uso wako umenyon'gonyea sana japo unajaribu kutabasamu kuficha hisia zako lakini uso wako unakataana na tabasamu lako, hii ndio dunia. Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa...
  20. Wafuasi wa Rais

    PreGE2025 Tufanye Midahalo kuhusu itikadi za kisiasa nchini au mafanikio ya Rais Samia Awamu ya 6

    Mdahalo uwe live hapa hapa JF. Jukwaa la kisiasa la JF sasa liwe la midahalo ya kisiasa hapa nchini Tanzania. Mada mojawapo kati ya hizi mbili, au zingine vile mtakavyoona: 1 - Itikadi za kisiasa ubaya na uzuri wake. Sisi kama Mtandao wa Wafuasi Binafsi wa Rais yaani President Supporters...
Back
Top Bottom