kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    PreGE2025 2025 tunahitaji mdahalo wa wagombea Urais kama ilivyofanyika kwa TLS. Unawaweka wagombea kwa uhalisia wao, hakuna longolongo

    Wakuu, Mwakani wagombea Urais wanatakiwa kufanyiwa mdahalo kama huu ulioendesha leo na Star Tv. Pia soma: Mdahalo wa Wagombea Urais Chama cha Mawakili Tanzania Bara (TLS) mwaka 2024 Kupitia mdahalo huo unaona kabisa huyu anafaa huyu amejaa pumba, na wengine wapo kwaajili ya kujaza nafasi tu...
  2. J

    PreGE2025 Hakuna mahali Msigwa amesema CHADEMA ni Chama Kibaya bali Mbowe Ndiye Mbaya. CCM muwe makini atarejea CHADEMA huyo!

    Wakati wote na mahali pote Mchungaji Msigwa anaelezea ubaya wa Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe tu na huwezi kumsikia akielezea ubaya wa Chadema kama chama Ogopa sana Mtu wa namna kwani ni Janjajanja fulani Mlale Unono 😀
  3. Stuxnet

    PreGE2025 Peter Madeleka amekamatwa na Polisi, aachiliwa bila Masharti baada ya kuomba msaada kwa Mawakili

    Ame tweet mwenyewe kwenye mtandao wa X zamani Twitter ==== Kupitia ukurasa wake wa X Peter Madeleka ameweka ujumbe akisema amekamatwa na polisi na anashikiliwa katika kituo che Central Dar, ambapo ameomba msaada wa Mawakili. Pia soma: Peter Madeleka: Nina uwezo wa kwenda Mahakamani kufungua...
  4. Cute Wife

    Mpango: Kiongozi usifikiri nafasi yako haiwezi kuzibwa

    Akiongea mbele ya Rais Samia Ikulu leo July 26, 2024 wakati wa uapisho wa viongozi walioteuliwa Makamu wa Rais Philip Mpango amesema; Pia soma: Rais Samia: Cheo ni sawa na nguo ya kuazima ambayo siku yoyote mmiliki wa nguo anaweza kuichukua! “Niwapongeze wote walioteuliwa mmepewa dhamana kubwa...
  5. mwanamwana

    PreGE2025 Tundu Lissu arejea nchini, asema atagombea urais 2025 kuitikia wito wa Watanzania

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amesema nia yake ya kugombea nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 iko palepale. Tundu Lissu ameyasema hayo leo, Julai 26, 2024 katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam alipowasili...
  6. mwanamwana

    PreGE2025 Rais Samia: Hakuna Uhuru wa Habari usio mipaka yake

    Rais Samia ameyasema hayo akiwaapisha Mawaziri, amesema kuwa Wizara ya Habari ni muhimu sana katika utekelezaji wa ile falsafa yetu ya R4, uhuru wa habari lazima uendelee kusimamiwa kikamilifu. Hakuna uhuru wa habari usio mipaka yake "Uhuru wa Habari with mipaka ya uhuru huo". Amemtaka Waziri...
  7. Z

    PreGE2025 Rais Samia: Cheo ni sawa na nguo ya kuazima ambayo siku yoyote mmiliki wa nguo anaweza kuichukua!

    Rais Samia amewaonywa Viongozi wote walio pewa dhamana kukumbuka kuwa cheo ni sawa na nguo ya kuazima hivyo wanapaswa kutenda kazi kwa uadilifu na kwa masilahi ya nchi, ameyasema hayo wakati akiwaapisha viongozi walio teuliwa hivi karibuni baada ya utenguzi. Pia soma: Mpango: Kiongozi usifikiri...
  8. Kaka yake shetani

    Kwa hiki kipindi kifupi kuelekea 2025 uchaguzi naona tengua tengua ni kama msemo kukumbuka shuka asubuhui

    Sioni kama kuna mabadiliko yanaweza fanyika mda mfupi baada ya kupigiwa kelele mda mrefu. Hakuta kuwa na nguvu ya watu kujituma sana kwa mda huu uliobaki ambao 2025 ni uchaguzi. Hakuna mwenye uwakika kwa mda huu lazima utendaji upungue mfano unaweza kuwa kitengo fulani kesho ukawa benchi...
  9. Cute Wife

    PreGE2025 Uzi Maalum wa Matukio ya Kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Wakuu Salam, Naanzisha uzi huu maalum kwaajili ya kupata matukio yote ya kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Tunajua mambo mengi hutokea na kashkash huwa nyingi, hivyo uzi huu utatumika kama record ya matukio hayo yote, na kuja kusaidia Gen Alpha kuwa na sehemu itakayowaweza kupata matukio...
  10. mdukuzi

    PreGE2025 Mpaka sasa mdomo wa Nape umeshafukuzisha kazi vigogo saba serikalini, wengine wanafuata

    Chunga sana ulimi wako. Mdomo huumba Maneno yakishatamkwa hayarudi tena mdomoni. Ulimi hauna mfupa Mdomo uliponza kichwa. Mdomo kiwanda cha maneno Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
  11. Tlaatlaah

    PreGE2025 Wito kwa wanachama wa CCM wote humu jukwaani kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Comrades, ladies and gentlemen.. CCM hoyeee ✊ Ndugu zangu wanachama, mabalozi, viongozi wa mashina na matawi popote mlipo. tunaelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji baadae mwaka huu. Uchaguzi huu ni muhimu sana kwetu kama chama tawala, lakini pia lengo la chama ni kupata...
  12. S

    PreGE2025 Kumbe Nape na Makamba ni trailer tu, lengo hasa ni waleee!

    Ili umpe kipigo cha mbwa koko mtoto wa kambo pasipo lawama, basi anza kwa kumfinya mwanao wa kumzaa. Anapoanza kulia mtoto pendwa ndipo unanza kushusha kipondo cha kuvunja mikono kwa mtoto wa kambo. Majirani wanaotazama kinachoendelea watajua unagawa adhabu kwa wote bila upendeleo, lkn kumbe...
  13. Bams

    PreGE2025 CCM imejaa watu wa ajabu

    Tofauti ya binadamu na wanyama, ipo kwenye ustaarabu, lakini kwenye mambo mengine mengi, tunashabihiana. Wanyama wanakula kama tunavyokula wanadamu. Wanyama wanajamihiana, kama ilivyo kwa binadamu. Wanyama wanazaa na kufa kama ilivyo kwa wanadamu. Mwanadamu ambaye ubinadamu wake umekamilika...
  14. P

    Alipanda mpaka mnara lakini wapi! Unafikiri anaandaliwa kwa cheo kingine au ndiyo imetoka hiyo?

    Nyuki wa mama tulieni na mapovu yenu kidogo, nimekuja kuwakumbusha tu katika one and wtp za viongozi kipindi hiki ambacho tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu 2025. Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Wanasema eti kapanda na kushuka :KEKLaugh...
  15. ChoiceVariable

    PreGE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

    My Take Cheo ni dhamana, maisha yaendelee 🙏🙏👇👇 === Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt, Moses Kasiluka, viongozi hao ni kama...
  16. Cute Wife

    PreGE2025 Baada ya kutenguliwa Nape kaamua mazima na kufuta account yake X (Twitter)?

    Wakuu, Mambo ni moto, Nape kaondoa kaunti yake X kama TCRA :KEKLaugh: :KEKLaugh: :KEKLaugh:. Jamaa kavurugwa mpaka ameamua kuzira? Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Kweli madaraka matamu...
  17. S

    PreGE2025 Waliomshauri Rais Samia kuwatengua Nape na Makamba, wamempotosha. 2025 Rais Samia atakwama!

    Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya CCM. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi. Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya Rais Samia. Rais Samia hatoboi 2025. Pia Soma - Breaking News: -...
  18. TUKANA UONE

    PreGE2025 Nahitaji Peter Msigwa auambie umma wa Watanzania ataufanyia nini baada ya kuhama CHADEMA, siyo CHADEMA imefanya nini!

    Mchungaji Msigwa Ukihitaji salamu subiri kwanza Utopolo wamkung'ute, Kolo 5 - 1 hiyo tarehe 8, tofauti na hapo utaula wa chuya! Bado nashangazwa sana na Siasa anayoifanya mtu mzima Peter Msigwa, sababu ya yeye kuhama CHADEMA alisema ni uminywaji wa Demokrasia huku lawama kibao akimtupia...
  19. Cute Wife

    PreGE2025 Lusinde: CCM na Vyama vya Upinzani ni kama mjukuu na babu, hakuna ugomvi kati yao ila ukifika uchaguzi wakae pembeni

    Katika Mkutano wa Msigwa unaofanyika leo Julai 20, 2024 Iringa Mjini Lusinde amesema; "CCM na vyama vya upinzani ni kama babu na mjuu, hakuna ugomvi kati yao. "Mjukuu anaweza kucheka anavyotaka na mjukuu wake, kama babu ana mapengo mjukuu anaweza kuingiza mpaka vidole kwenye mapengo yake, babu...
  20. Cute Wife

    PreGE2025 Wahandisi na Wakandarasi wamnunulia Rais Samia helkopta kwaajili ya Kampeni za Urais 2025 pamoja na mafuta ya Tsh. 100,000,000/-

    Heka heka na vimbwanga vinazidi kupamba moto, mpaka uchaguzi ufike tutaona mengi! Eti wanarudisha fadhila kwa yale Rais Samia amefanyia nchi! Kwa hali ngumu ya maisha na wizi unaoendelea serikalini kweli? Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Ndio...
Back
Top Bottom