kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    GE2025 Aliyekuwa mbunge wa Moshi Mjini, Kilimanjaro, Priscus Tarimo achukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea tena

    Aliyekuwa mbunge wa Moshi Mjini mkoani Kilimanjaro, Priscus Tarimo amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge katika jimbo hilo. Tarimo amechukua fomu hiyo leo Jumapili Juni 29,2025 katika ofisi za CCM Moshi Mjini na kukakabidhiwa na kaimu Katibu wa CCM wilayani humo, Hilary Kipingi.
  2. kasanga70

    Usomi, Mapenzi kwa Chama, Uadilifu na Michango yako haitakupa ubunge, CCM ina wenyewe

    Niwashauri vijana wenzangu. Kama hela yako ni ungaungamwana tafadhali sana nenda kaongeze mtaji kwenye biashara yako, kawape maskini au kampe mamaako atakuombea na kukukumbuka daima. Mimi nimeshiriki uchaguzi ngazi za mkoa, jimbo na wilaya nimwanachama hai wa ccm na sina mpango wa kuhama,maana...
  3. Dominik Dominik

    nafasi za kusimamia uchaguzi mkuu oktoba 2025 zimetangazwa 28/6/2025 na inec huko

    vijana mnaojitafuta na msio na ajira ndo mkabahatishe hukoo pa kupunguzia maumivu walau,Posho si habaaa. Maisha yapo kasi sana isee,enzi zetu barua moja tu ya kujieleza unakwenda kusimamia.Hii naona wamedai wadhamini tena wawe na NIDA😅😅 na unaeomba uandike wasifu(CV) na mavyet yenu ya shule na...
  4. DuaZaMama

    Muumini Kanisa la Gwajima: Tunanyimwa uhuru wetu wa kuabudu katika taifa huru. Polisi wamepiga mtu rungu hadi amezimia!

    “Hatari sana kuna mwenzetu amepigwa rungu amezimia kisa ameabudu hatujafanya fujo yoyote sio mwizi anataka haki yake ya kuabudu tunanyimwa uhuru wa kubudu katika taifa huru” Ni maneno ya muumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (hakuwa tayari kutaja jina lake) ambaye alikua miongoni mwa waliokuwa...
  5. DuaZaMama

    GE2025 ZAECA kupiga Doria mchakato wa wagombea CCM Zanzibar

    Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) imesema imetandaza maafisa wake kila sehemu kuhakikisha wanafatilia kwa karibu mchakato wa watia nia ya kugombea nafasi za uongozi kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 Akizungumza na wasafi media Mkurugenzi Mkuu wa ZAECA Ali Abdalla...
  6. W

    PreGE2025 Mtanange wa jimbo la Arusha Mjini utakuwa wa aina yake, Mrisho Gambo naye achukua fomu

    Mbunge anayemaliza muda wake wa jimbo la Arusha mjini na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa huo Mrisho Gambo @mrisho_gambo amechukua tena fomu ya kuwania nafasi ya kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi @ccmtanzania kuwa Mgombea wa Ubunge wa Jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu wa Tanzania utakaofanyika baadae...
  7. K

    Chanzo cha CHADEMA kukimbiwa na wanachama wake kwa wingi kwa siku za karibuni

    Kumekuwa na wimbi kubwa la wanachama wa CHADEMA kukihama Chama hicho. Chanzo ni ni?. (1) Njaa. Wengi wa wanachama walifikiria kuwa Chama hicho kitashiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu. CHADEMA walipokuja na Kaulimbiu ya NO REFORM NO ELECTION wachache wenye njaa wakaona kukaa muda wa miaka...
  8. McLaren

    Video: Polisi wampiga na kumuumiza maeneo ya kichwani muumini wa Kanisa la Gwajima

    Wakuu, Kwenye heka heka na Polisi leo, muumini wa Kanisa la Gwajima ameonekana akiwa ameumizwa maeneo ya kichwani baada ya kupokea kichapo kutoka kwa Polisi. Yaani damu zinatirirka kama maji waku Kama mnamsikia hapo kuna muumini anasema "Samia utalipa damu hii. Mama Samia popote ulipo, damu...
  9. W

    GE2025 Aliyekuwa DC Kilolo, Asia Abdallah achukua fomu ya kuwania nafasi ya Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma kupitia CCM

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, Asia Abdallah (@asiyahabdallah), Juni 28, 2025, amejitokeza kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu hiyo, Asia Abdallah amesema...
  10. McLaren

    PreGE2025 Hivi jimbo la Mbeya Mjini kuna siri gani? So far kuna makada 5 wamejitokeza kuchukua fomu

    Wakuu, Kwa sasa jimbo hilo halina Mbunge baada ya aliyekuwapo Dk Tulia Ackson kutangaza kugombea Jimbo jipya la Uyole katika uchaguzi mkuu ujao. Mpaka sasa makada watano wa CCM, wametia nia kulitaka jimbo hilo wakiwa ni Nsomba, Mwandishi wa Habari, Charles Mwakipesile, aliyewahi kuwa...
  11. McLaren

    GE2025 Aliyekuwa mtangazaji wa The Mboni Show, Mboni Masimba naye achukua fomu kuwania Ubunge Viti Maalum Handeni Mjini

    Wakuu, Yaani CCM ukiwa unapumua tu basi hiyo ni qualification tosha ya kuchukua fomu. Mjasiriamali na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mboni Masimba amechukua fomu ya kuomba ridhaa kuwania ubunge wa Viti Maalumu kupitia Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Mkoa wa Tanga.
  12. DuaZaMama

    GE2025 Fatuma Abdallah Kange achukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Same Magharibi

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fatuma Abdallah Kange, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya GS1 Tanzania na Mjumbe wa Baraza la UWT Mkoa wa Dar es Salaam, amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Same Magharibi, mkoani Kilimanjaro. Amesema dhamira yake kuu ni kutatua...
  13. W

    PreGE2025 Fortunatus Muhalila amechukua fomu ya kugombea ubunge Muleba Kaskazini, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    Kiongozi wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Fortunatus Muhalila amechukua fomu ya kugombea ubunge Muleba Kaskazini, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Muhalila amekabidhiwa fomu hiyo leo Juni 29, 2025 na Katibu wa chama hicho, Wilaya ya Muleba, Agness Kasela. Source: Mwananchi
  14. McLaren

    GE2025 Baba Levo afika Kigoma ili kuchukua fomu ya Ubunge kupitia CCM

    Wakuu Kumbe huyu jamaa alikuwa serious kuhusu kuchukua fomu na kugombea Ubunge wa Kigoma Mjini Naona leo amewasili mkoa wa kigoma kwaajili ya kukamilisha hatua za uchukuaji wa fomu za kutia nia ya kugombea ubunge kigoma mjini kupitia tiketi ya CCM Yaani mtu anaishi Dar lakini anaenda kugombea...
  15. figganigga

    GE2025 Aliyekuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume ya Taifa ya Uchaguzi kipindi cha Magufuli, Dr. Wilson Mahera Charles anagombea Ubunge wa CCM

    Dr. Wilson Mahera Charles, alikuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume ya Taifa ya Uchaguzi kipindi cha Magufuli, Samia alipoingia akampa cheo cha Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. Kaiacha hiyo kazi kaenda kwenye mchakato wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwania kuteuliwa...
  16. Yoda

    Ni kweli wanaochukua fomu za ubunge chama tawala wengi hawako serious kuupata ubunge wenyewe ila ni mkakati tu wa kisiasa?

    Niliwahi kusikia watu wengi wanaochukua fomu za kugombea iwe ubunge wa Tanzania, Africa Mashariki, uspika au hata vyeo vikubwa ndani ya CCM huwa hata hawaamaanishi kupata hizo nafasi kwa wakati huo. Kwamba wengi wa watia nia huwa wanajua wazi hawawezi kutoboa mbele ya vigogo wanaojulikana mapema...
  17. McLaren

    PreGE2025 Aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Kilimanjaro achukua fomu kugombea Ubunge Mbulu Vijijini

    Wakuu, Mchakato wa uchukuaji fomu unaendelea Huyu dada anaitwa Grace Saulo Mali yeye alishawahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mkoa wa Kilimanjaro na pia alishawahi kuwania ubunge wa Bunge wa Bunge la Afrika kupitia CCM Naona hata huko miandaoni pia ni maarufu sana. Huyu...
  18. Pascal Mayalla

    Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Rais Samia anastahili pongezi kwa aliyoyafanya

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo kwa humu jf, nimeweka hoja na swali "Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Kwa Aliyoyafanya, Anastahili Pongezi na Shukrani Stahiki!. Watanzania Wenye Shukrani Tumshukuru au Bado?". Juzi Ijumaa nimemsikiliza kwa makini...
  19. McLaren

    GE2025 Jumanne Sagini achukua fomu ya kugombania Ubunge Butiama

    Wakuu, Mchakato wa uchukuaji fomu unaendelea Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Butiama Jumanne Abdallah Sagini amechukua fomu ya kuwania nafasi ya ubunge kwa awamu ya pili kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambapo amekabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Butiama Mary Kananda jana Juni 28, 2025.
  20. J

    Bajeti ya Kilimo imeongezeka mara nne, Rais Samia hana deni kwa wakulima

    == TAFITI zinaonesha umasikini wa mtanzania zaidi upo Vijijini, Rais Samia ameongeza Bajeti ya Kilimo mara nne (4) kutoka TZS294bn mpaka TZS1,200bn na hivyo kuongeza upatikanaji wa mbolea kutoka tani 678,017 mpaka tani 1,200,000. Rais Samia ameongeza bajeti ya Kilimo kutoka TZS 294bn mwaka...
Back
Top Bottom