kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    PreGE2025 Mkurugenzi wa Taasisi ya Twende Pamoja, Mohamed Hajii achukua fomu ya ubunge wa Jimbo la Kigamboni

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Twende Pamoja na Mama Sports Promotion na Mkurugenzi wa Makunduchi Villa Mohamed Haji, leo Juni 29, 2025 amechukua fomu ya nafasi ya ubunge wa Jimbo la Kigamboni jijini Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za CCM Wilaya ya Kigamboni, Mohamed...
  2. PAYE

    GE2025 Subira Mgalu atoa Gari jipya UWT Bagamoyo kwa ajili ya kuimarisha shughuli za Chama

    Katika kuimarisha Chama pamoja kurahisisha utendaji wa shughuli za chama, Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Pwani Mhe Subira Mgalu amewezesha Jumuiya ya Wanawake UWT wilaya ya Bagamoyo Gari mpya aina ya Noah. Gari hiyo imekabidhiwa na Mwenyekiti wa UWT na Mjumbe wa Kamati kuu Taifa Mary Chatanda...
  3. Mkweliii

    GE2025 Sasa ni rasmi Mbelwa Petro amechukua fomu ya kuwania kiti cha Udiwani Kata ya Ruziba wilayani Biharamulo kupitia CCM

    Juni 29, 2025 majira ya saa 4 asubuhi Mwl. Mbelwa Petro amewasili ofisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM} kata ya Ruziba na kuchukua fomu ya kuwania kiti cha udiwani katika kata hiyo. Kada huyo wa chama cha mapinduzi mara baada ya kukabidhiwa fomu na Katibu wa CCM kata ya Ruziba, Cde. Erasto J...
  4. Prof_Adventure_guide

    PreGE2025 Uimla wa Vyama vya Kifisadi Dhidi ya Demokrasia Shirikishi: Je, 2025 Ni Mwisho wa Utawala wa Uimla au Mwanzo wa Mageuzi ya Kweli?

    Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 (GE2025), taifa letu linakabiliwa na maswali magumu kuhusu hatima ya demokrasia, uwajibikaji na uadilifu wa kisiasa. Kwa zaidi ya miongo sita, mfumo wetu wa vyama vingi umeendelea kuwa kivuli cha demokrasia, huku vyama tawala vikigeuza dola kuwa chombo cha...
  5. Prof_Adventure_guide

    PreGE2025 Je, Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020–2025 Unathibitisha Uwajibikaji wa Kisera au Ni Taswira ya Uongo wa Kimuundo kwa Umma wa Watanzania?

    0-0Wapambe wa demokrasia, kwenye Ilani ya CCM ya 2020–2025 kulikuwapo kipengele kilidhamiria kuunda ajira milioni 7 kwa vijana kupitia empowerment, training na access to low‑interest loans  lakini hadi sasa, yawapo jobless wengi; young people wengi bado hawajafikiwa. 209-1Zaidi, kulikuwapo...
  6. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Jamal Mangu, ajitosa ubunge Jimbo la Nyang’hwale

    Kada machachari wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Komredi Jamal Mangu, leo Juni 29, 2025, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Nyang’hwale, lililopo wilayani Nyang’hwale, mkoa wa Geita. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025...
  7. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mwandishi mkongwe wa habari nchini, Abdallah Majura achukua fomu kuwani ubunge jimbo Dimani Zanzibar

    Mwandishi mkongwe wa habari nchini, Abdallah Idrissa Majura, leo amechukua fomu kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwania ubunge kwa tiketi ya chama hicho kwenye Jimbo la Dimani Zanzibar.
  8. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Paul Mzindakaya alitaka jimbo la Sumbawanga Mjini

    Paul Christian Mzindakaya alitaka Jimbo la Sumbawanga Mjini alilowahi kuongoza Baba yake Christian Majiyatanga Mzindakaya kabla ya kupumzika Siasa.
  9. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Rose Fidelis Temu achukua fomu yakuomba ridhaa yakugombea Ubunge Viti maalumu Kundi la Vijana

    Rose Fidelis Temu Kiongozi wa UVCCM kwa nafasi ya Katibu Hamasa na Chipukizi Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro amechukua fomu yakuomba ridhaa yakugombea Ubunge Viti maalumu Kundi la Vijana. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Aliyemkabidhi fomu hiyo ni Ahmed...
  10. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Emily Sanga kupimana nguvu na Dk Tulia jimbo la Uyole

    Emily Sanga ni miongoni mwa wagombea waliojitokeza katika Jimbo la Uyole na kuchukua fomu ya kugombea Ubunge.
  11. Genius Man

    Baba Levo achakua fomu ya ubunge, je unafikiri wagombea hawa wanauwezo wa kusimamia sheria na serikalii ipasavyo ?

    Baba Levo achakua fomu ya ubunge, je unafikiri kuna haja ya kurekebisha utaratibu na sifa za mtu kuwa mbunge asiwe mtu yoyote tu awanie ubunge ? Uwepo wa wabunge wasio na uwezo unaweza kupelekea bunge kuwa dhaifu. na nchi kuwa na mwelekeo mbovu ikiwemo kisheria, kiuchumi, kielimu, kutokuwepo...
  12. tamsana

    PreGE2025 Maoni ya Dr. Chris Mauki kuhusu watia nia nafasi za ubunge na madiwani

    Salam wana wataalam wa masuala ya siasa. Dr. Mauki ametoa maoni yake kuhusu watia nia nafasi mbalimbali kupitia ukurasa wake wa Instagram. Unafikiri hoja yake ina mashiko? Jisomee mwenyewe kwenye picha. Ukitaka kujua kuwa hatuko siriaz na umuhimu na sensitiveness ya maamuzi yahusuyo maendeleo...
  13. W

    GE2025 Nicolaus Chichake amechukua kuomba ridhaa kwa Jimbo la Tarime Vijijini Mkoani Mara

    Wakati zoezi la uchukuaji wa fomu za kuomba ridhaa ya kugombea ubunge kwa makada wa Chama cha Mapinduzi likifika siku ya pili Kada wa Chama cha Mapinduzi Nicolaus Chichake amechukua kuomba ridhaa kwa Jimbo la Tarime Vijijini Mkoani Mara. Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu katika Ofsi za...
  14. W

    PreGE2025 Rehema Mandingo ametia nia kuwania Udiwani kwenye kata ya Mikocheni kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM

    Cde. Rehema Mandingo ametia nia kuwania Udiwani kwenye kata ya Mikocheni kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM. Source: Clouds TV
  15. W

    PreGE2025 Sophia Mwakagenda ajitosa kuomba ridhaa jimbo la Rungwe kupitia CCM

    Siku chache baada ya kutangaza kuhamia Chama Cha Mapinduzi, aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Sophia Mwakagenda leo Juni 29, 2025 amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea ubunge katika Jimbo la Rungwe kupitia CCM. Pia soma Pre GE2025 - Mbunge Sophia Mwakagenda atangaza...
  16. R

    PreGE2025 ACT Wazalendo imezindua rasmi Operesheni Majimaji kuelekea Uchaguzi mkuu October 2025

    Chama cha ACT Wazalendo kimezindua rasmi Operesheni MajiMaji, kampeni maalum inayolenga kuwaamsha Watanzania kulinda thamani ya kura zao kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Operesheni hiyo itafanyika nchi nzima kuanzia Julai 1 hadi Julai 15, 2025, ikiongozwa na viongozi wakuu wa chama hicho...
  17. W

    PreGE2025 Salha Mwinjuma Achukua Fomu ya Uwakilishi Viti Maalum Kundi la Vijana, Unguja

    Salha Mwinjuma Achukua Fomu ya Uwakilishi Viti Maalum Kundi la Vijana. Amechukua fomu 28.06.2025 katika ofisi za UVCCM Mkoa wa Kusini Unguja. Source: Bongo 5
  18. K

    GE2025 Dhana ya viti maalum na nafasi ya kweli ya mwanamke kwenye siasa

    DHANA YA VITI MAALUM NA NAFASI YA KWELI YA MWANAMKE KWENYE SIASA Wakati huu ambapo TANZANIA inajivunia kuwa na viongozi wa ngazi ya juu kabisa ambao ni wanawake – Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan na Mheshimiwa Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson – tunapaswa kujiuliza kwa dhati: je, bado kuna...
  19. W

    PreGE2025 Dkt. Walter Rishaeli Nnko achukua fomu kuwania ubunge jimbo la Kibamba kupitia CCM

    Aliyekuwa Mshindi wa Pili MNEC mwaka 2022 Walter Rishaeli Nnko, Leo June 29 amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika jimbo la Kibamba lililopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo jijini Dar es salaam. ‎ ‎Nnko amesema anamshukuru Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  20. W

    PreGE2025 Mhandisi Edson Ngabo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) kuteuliwa kuwania nafasi ya ubunge Jimbo la Ileje

    Mhandisi Edson Ngabo June 28,2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) kuteuliwa kuwania nafasi ya ubunge Jimbo la Ileje katika uchaguzi mkuu mwezi Oktoba 2025. Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu hiyo Mhandisi Ngabo amesema ana nia ya dhati kuwatumikia Wana Ileje...
Back
Top Bottom