kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    PreGE2025 Gamariel Mboya achukua fomu kuwania ubunge jimbo la Kigamboni

    Wakuu Jimbo la Kigamboni liko hot sana. Huyu hapa ni Gamariel Mboya naye achukua fomu kupitia CCM, ikumbukwe jimbo hilo lilikuwa chini ya Dkt. Faustin Ndugulile (Marehemu).
  2. Abdul Said Naumanga

    Watu wanasali, mabomu yanalia. Je, kuna uhuru wa kuabudu?

    Wakuu habari zenu, Kiukweli nimekuwa nikifuatilia kwa utulivu kinachoendelea kuhusu baadhi ya viongozi wa dini nchini, hususan tukio linalomhusu Askofu mmoja ambaye kwa sasa jina lake limekuwa gumzo lakini kwa kweli kinachonigusa si jina lake, bali kile kinachowakumba waumini wake. Leo nimeona...
  3. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Teddy Mayunga maarufu kama afande wa TOBOA TOBO achukua fomu ya udiwani viti maalum Nachingwea

    Teddy Mayunga maarufu kama afande wa TOBOA TOBO achukua fomu ya udiwani viti maalum NACHINGWEA
  4. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Sara Msafiri achukua fomu ya ubunge jimbo la Mvomero

    Aliyekuwa DC wilaya3 za Kigamboni, Hanang na Kibaha na mbunge wa viti maalumu kundi la vijana 2010-2015, Bi Sarah Msafiri amechukua leo jimbo la Mvomero akijinasibu kuwa Kasi ya Rais Samia inahitaji mbunge mwenye pumzi na kwamba yeye ndio mtu sahihi kwasasa jimbo la Mvomero kuelekea 2030 Soma...
  5. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Zainabu Hassani ajitokeza kwenye kinyang’anyiro cha kuomba nafasi ya Ubunge Viti Maalumu kupitia UVCCM Shinyanga

    Zainabu Hassani, kiongozi kijana, mtaalamu wa sheria na diplomasia, amejitokeza kwenye kinyang’anyiro cha kuomba nafasi ya Ubunge Viti Maalumu kupitia UVCCM Mkoa wa Shinyanga Kiu na azma yake ni kubeba sauti za vijana wenzake ili zipate kusikilizwa na hoja za vijana zifanyiwe kazi katika ngazi...
  6. M

    GE2025 Kama kuna Suprise ya kuisimamisha dk 5 ni kwa CHADEMA kutanganza wote kujiunga na CCM na kuchukua fomu za ubunge kupitia CCM

    Nimemuuliza Grok uwezekano wa CHADEMA kuzuia Uchaguzi. Imejibu hizo ni ndoto za mchana. Nikauliza tena iwapo CHADEMA Lissu imeamua kupita ktk hoja cha Chaumma kuwa Kususia Uchaguzi haukuwa mkakati wa CHADEMA bali ilikuwa ni kauli mbiu tu ya kumtisha Kasongo (ngiri) akiwa ndani ya Shimo. Akajibu...
  7. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mjumbe Kamati Maalum ya Waziri Mkuu, Award Mpandila achukua fomu ya kugombea ubunge katika Jimbo la Makete

    Mjumbe Kamati Maalum ya Mh. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kushughulikia Kero za Wafanyabiashara Nchini Tanzania na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo JWK na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Makete, Award Mpandila amechukua fomu ya kugombea ubunge katika...
  8. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Pili Hassan Moshi atia nia ya udiwani wa Viti Maalum Wilaya ya Dodoma Mjini

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Dodoma Mjini, Ndugu Pili Hassan Moshi leo Juni 29, 2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Udiwani wa Viti Maalum Wilaya ya Dodoma Mjini. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
  9. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mhandisi Lightness Salema ajitosa kugombea ubunge jimbo la la Mwanga

    Mhandisi Lightness Ladislaus Salema amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge jimbo la Mwanga mkoani Kilimanjaro. Aidha Mhandisi Lightness Salema ni mzalendo na mpenda maendeleo kutoka Rughwini, Lembeni – Mwanga. Ni mfanyabiashara, mshauri wa maendeleo na mjasiriamali aliyebobea katika sekta...
  10. M

    GE2025 Mkurugenzi wa MAUWASA achukua fomu ya Ubunge Buchosa kupitia CCM

    Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira mjini Maswa (MAUWASA), Mhandisi Nandi Mathias James, amechukua rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania ubunge wa Jimbo la Buchosa, wilayani Sengerema, mkoa wa Mwanza. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia...
  11. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Hamis Abeid Baruani achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Ubungo

    Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Wilaya ya Ubungo Ndugu Hamis Abeid Baruani leo 29.6.2025 amechukua fomu rasmi ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi kuwania Ubunge wa Jimbo la Ubungo. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Hii ni mara ya pili kwa Hamis Abeid...
  12. Carlos The Jackal

    GE2025 CCM ni kubwa kuliko mtu, leteni mgombea Urais mpya atakayeponyesha majeraha ya watu

    Niliwahi Uliza humu, Dola Mnauhakika Rais Samia kua Mgombea, hawaingizi kwenye mtego wa matumizi ya nguvu kupitiliza??. Ishu nzima ya Bandari Kwa Waarabu, Watanzania wakapinga katakata Kwa Hoja ,Kwa Katiba, na Kwa Mifano !!.yaan Bandari alojenga Kipenzi Cha Watanzania JP Kwa matrillion ya...
  13. G

    Nilipoona barabara ya kuelekea kwenye nyumba za Halima Ndege na Ester Bulaya inaanza kujengwa kuwa ya kisasa, jibu nikawa nalo

    Barabara hiyo ilikuwa mbovu, kama zilivyo nyingi maeneo ya Mbweni Mpiji. Siku za karibuni imeanza kujengwa kwa kasi ya ajabu huku nyingine zikiendelea kubaki kama zilivyo. Sasa wenye akili za asili, sio AI, tumeshapata majibu. Tuendelee kuchukua fomu.
  14. DuaZaMama

    PreGE2025 Asma Mwinyi achukua fomu ya kuomba ubunge jimbo la Welezo

    Mwenyekiti na Muanzilishi wa Taasisi ya Asma mwinyi foundation, Asma Mwinyi achukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi CCM kuwania Ubunge Jimbo la Welezo Wilaya ya Mfenesini Unguja Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
  15. Revolution

    Ni nini sababu za viongozi na wananchi wengi kujitokeza kuchukua fomu za kugombea ubunge?

    Kipenga kimepulizwa jana tu ila wimbi la uchukuaji wa fomu za kugombea ubunge na udiwani ni wa kiwango cha kasi sana! Ni haki ya kila mtanzania kikatiba kuwania nafasi za uongozi wa kisiasa. Lakini ninachojiuliza mbona kipindi hiki watu wengi wana shauku kubwa sana ya kuwania nafasi hizo? Jibu...
  16. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Bakari Kimwanga, achukua fomu kutetea nafasi yake ya udiwani kata ya Makuruml

    Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Makurumla,Bakari Kimwanga, amechukua fomu kitetea nafasi hiyo ambayo ameiongoza kwa miaka mitano iliyopita Leo Juni 29,2025 amekabidhiwa fomu na Katibu wa Kata wa CCM Makurumla, Omari Suleiman Bakari. Akizungumza baada ya kukabidhi fomu hiyo, Kimwanga ambaye pia ni...
  17. McLaren

    PreGE2025 Mbunge wa Viti maalum Christina Mzava achukua fomu ya kugombea Ubunge wa Viti maalum

    Mbunge wa Viti maalum Christina Mzava achukua fomu ya kugombea Ubunge kwa mara nyingine katika ofisi ya UWT mkoa wa Shinyanga. Kumbuka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefungua rasmi mchakato wa kuchukua na kurudisha fomu za kugombea Udiwani, Ubunge, na Uwakilishi kwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025...
  18. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mihayo Juma N’hunga achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Mwera

    Mihayo Juma N’hunga amechukua fomu ya kugombea uwakilishi jimbo la Mwera kupitia Chama Cha Mapinduzi. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Mihayo amekabidhiwa fomu na Katibu wa CCM Wilaya Mfenesini, Veronica Ndaro.
  19. KAOROGOMA

    Tetesi: Samia kupigwa chini na Nchimbi kuchukua nafasi yake kugombea kukinusuru chama

    👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu, wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi Dr. Nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo, kukinusuru chama! Mtu mzalendo anatakiwa kushika nafasi hiyo! Ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa...
  20. Just Pray

    PreGE2025 Kafiti Kafiti, achukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge Jimbo la Ilemela kupitia CCM

    Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa anayewakilisha Wilaya ya Ilemela, mkoani Mwanza, Kafiti Kafiti, leo Jumapili Juni 29, 2025, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Ilemela kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kafiti amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya...
Back
Top Bottom