Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Tabora Manispaa Deusdedith Katwale amechukua fomu ya kugombea ubunge Chato Kusini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Source: Clouds TV
Kumekuwa na mambo mkubwa sana wa makada kujitokeza kuchukua fomu leo, nna wasiwasi sana wajumbe wa kamati za siasa za kata na wilaya huenda zikafanya upendeleo kwa wajumbe kwa kuwapa maksi wale wanaowapenda ili washike nafasi 3 za juu na kisha majina yao yaende Dodoma yarudi hayo, najua fomu...
MBUNGE wa Jimbo la Same magharibi mkoani Kilimanjaro, Dkt. David Mathayo amechukua fomu ya kuwania Ubunge katika jimbo hilo kwa awamu nyingine.
Mbunge huyo ambaye ameongoza kwa vipindi 4 mfulizo amedai kuwa anataka kuendeleza alipoishia katika kuwaletea wananchi maendeleo.
Mathayo alifika...
Mwanachama wa chama cha Mapinduzi (CCM) Falmeo Mahenge amejitosa kwenye kinyang'anyiro cha kuomba kuteuliwa kuwa mgombea udiwani wa kata ya Iwawa wilayani Makete mkoani Njombe
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Mahenge amechukua fomu leo Juni 28,2025 ili...
Wakati taifa likielekea katika kinyang’anyiro cha Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu, Waislam nchini wamehimizwa kuchukua fomu katika vyama vyao vya siasa na kugombea nafasi mbalimbali za uongozi.
Rai hiyo imetolewa na Imam wa Msikiti wa Manyema, Dar es Salaam, Sheikh Hameed...
Mwanaccm Mwenzake Easter Bulaya tayari kishachukua fomu Bunda Mjini, Yeye anasubiri nini?
Wengi wanadhani huenda akajitosa Siku ya Jumatatu katika Jimbo ambalo halijawekwa Wazi.
Ngoja tusubiri ili tuone itakuwaje
Kada wa chama cha Mapinduzi(CCM) Ndugu Kinjekitile Ngombale Mwiru Leo amechukua fomu za kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Kilwa Kaskazini.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Prof. Adolf Mkenda Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia amechukua fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Rombo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Rombo, Massoud MeliMeli
Mbunge wa Jimbo la Tabora Mjini, Emmanuel Mwakasaka amejitokeza leo kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya kuwania Ubunge wa jimbo hilo kwa mara nyingine tena.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Mwakasaka ni mbunge wa Jimbo la...
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Wanawake (UWT) Taifa, Halima Nassor amechukua fomu kuwania Ubunge Viti Maalumu kundi la Wafanyakazi.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Halima ambaye...
Mbunge wa Jimbo la Gairo Mkoani Morogoro Ahmed Shabiby ambaye anamaliza muda wake amechukua fomu ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Gairo.
Shabiby ambaye ndiye aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo amechukua fomu mapema leo Juni 28.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu...
Mbunge wa Jimbo la Kalenga Mhe Jackson Kiswaga amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea kwa awamu nyingine ubunge katika jimbo hilo.
Mhe Kiswaga amechukua fomu hii leo June 28, 2025 siku moja baada ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kulihutubia bunge na kutangaza kulivunja rasmi Agosti 3...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Moshi Vijijini, Yuvenal Shirima, (Kwenye Picha Kulia) amejitokeza rasmi kuchukua fomu ya kuwania ubunge katika Jimbo la Vunjo, mkoani Kilimanjaro.
Hatua hiyo inafuatia barua aliyoiandikia chama chake, CCM, siku chache...
Aliyekuwa Katibu wa Rais wa awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli Ndugu Ngussa Samike leo Jumamosi Juni 28, 2025 amechukua Fomu ya Chama Cha Mapinduzi CCM ya kuomba ridhaa ya kupeperusha bendera ya Chama hicho kwenye Kinyang'anyiro cha Ubunge, Jimbo la Sengerema Mkoani Mwanza katika...
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Borondo Zacharia Chacha, amechukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Kigamboni.
Akizungumza baada ya kuchukua fomu, Chacha amesema hatua hiyo ni dhamira yake thabiti ya kulinda maslahi ya wananchi wa Kigamboni na kuleta mabadiliko chanya katika...
Mapema leo Abdallah Said Kirungu alifika Ofisi za CCM Wilaya ya Ulanga iliyopo mkoani Morogoro kwa ajili ya kuchukua fomu ya kutia nia ya ubunge katika Jimbo la Ulanga.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Siha, Meijo Loloinyo Laizer, leo Juni 28, 2025, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge wa Jimbo la Siha kupitia chama hicho.
Meijo, ambaye pia ni mmoja wa waliowahi kuwa wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC)...
Mussa Zungu, alikuwa Mbunge wa Jimbo la Ilala na Naibu Spika amechukua fomu kuomba nafasi kwa mara nyingine kwenye jimbo hilo la Ilala.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara...
Wakati mchakato wa kuchukua fomu Kwa ajili ya kugombea nafasi mbali mbali za uongozi katika ngazi ya Uraisi, ubunge na udiwani kwenye Uchaguzi unaotarajia kufanyika octoba mwaka huu, watu mbalimbali wamejitokeza katika zoezi Hilo lililoanza Leo June 28.
Patali Shida Patali ambaye ni mjumbe wa...
Aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Tabora Agrey Mwanri amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi CCM ili kugombea ubunge jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro.
Mwanry amechukua Fomu hiyo mapema leo Asubuhi akiwa ameambatana na mkewe.
"Wanadai mimi ni mzee, Bungeni hawaendi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.