kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    PreGE2025 Esther Matiko sasa ni mwanachama wa CCM

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Tarime kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na baadaye Mbunge wa Viti Maalum Esther Nichoulas Matiko amethibitisha kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na anatarajiwa kuchukua fomu ya kukiomba chama chake hicho kipya kumpa ridhaa kuwania Ubunge wa...
  2. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Gwiji wa uchumi Dkt. Bravious Kahyoza atia nia ubunge jimbo la Muleba Kusini

    Mtaalamu mahiri wa masuala ya uchumi nchini, Dkt. Bravious Kahyoza, amechukua rasmi fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Muleba Kusini mkoani Kagera kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Hatua hiyo inadhihirisha dhamira yake...
  3. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Haran Sanga, achukua fomu kugombea Ubunge jimbo la Kigamboni

    Haran Nyakisa Sanga, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam, amechukua fomu yq kuwania Ubunge wa Jimbo la Kigamboni. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Leo Juni 28, 2025 amejiunga rasmi na wengine waliochukua fomu za kugombea nafasi hiyo...
  4. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Wanaoanza kampeni kabla ya muda Handeni wapewa onyo kali

    Ikiwa ni siku ya kwanza ya zoezi la uchukuaji wa fomu kwa ajili ya kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Handeni, Mkoa wa Tanga, baadhi ya wagombea waliyojitokeza wameeleza kuridhishwa na maandalizi yaliyofanywa na chama katika wilaya hiyo. Zoezi hilo...
  5. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mfanyabiashara, Shamdi Nzogela ajitosa ubunge jimbo la Kilolo

    Mfanyabiashara, Shamdi Nzogela, amefika Ofisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo Kwa lengo la kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Kilolo Mkoani Iringa Juni 28, 2025. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 "Maamuzi haya...
  6. Orketeemi

    Kwa nini wateule wengi wa rais katika mikoa ya nyanda za juu kusini wameachia nafasi zao na kwenda kwenye ubunge?

    Hili suala linatafakarisha. Katika Kanda zote nchini ni Kanda ya nyanda za juu kusini ndio wateule wengi wa Rais wameamua kukimbilia majimboni kugombea ubunge. Nawapa kwa ufupi 1. Mbeya. Mkuu wa Mkoa Juma Homera kaeda Namtumbo Mkurugenzi Jiji Ndg John John Nchimbi kaenda Nyasa na Mkurugenzi...
  7. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Juby Msuya ajitosa ubunge viti maalum UWT Dar es Salaam

    Bi. Juby Msuya mbaye ni Muandaaji wa Tuzo za Business Awards na Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), UWT, UVCCM na Umoja wa wazazi amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kupitishwa na Chama Cha Mapinduzi kuwa Mgombea wa Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam kupitia UWT. Soma Pia: Uzi...
  8. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Afisa Manunuzi Lindi Zaitun Maketa achukua fomu kuwania nafasi ya ubunge Viti maalumu kundi la wafanyakazi

    Afisa Manunuzi kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bi. Zaitun Maketa (Kulia) amechukua fomu leo Juni 28, 2025 Ofisi ya Chama CCM Mkoa wa Lindi ya kuomba ridhaa ya kuwania nafasi ya ubunge Viti maalumu kundi la wafanyakazi. Bi. Zaituni Maketa amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumamosi Juni 28, 2025...
  9. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Aliyekuwa Katibu Tawala Mkoa Songwe, Happiness Seneda achukua fomu kugombea Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Geita

    Aliyekuwa Katibu Tawala Mkoa Songwe Happiness Seneda Leo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Geita kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
  10. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Adamson Mwakasaka: Tabora imeitwa Toronto kwa sababu yangu

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Tabora Mjini Emmnauel Adamson Mwakasaka amejitokeza mapema leo asubuhi kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ndani ya Chama cha Mapinduzi ili apate nafasi ya kuwania Ubunge kwa mara ya Tatu mfululizo baada ya kutumikia Jimbo hilo la Tabora mjini katika vipindi viwili...
  11. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mchimbaji madini, Jumanne Misungwi ajitosa kuwania udiwani Kata ya Ludete

    Mchimbaji wa madini mkoa wa Geita Jumanne Misungwi amechukua fomu ya kuomba kugombea Udiwani katika Kata ya Ludete iliyoko Halmashauri ya Mji mdogo wa Katoro Wilaya ya Geita. Amechukua fomu hiyo leo Juni 28, 2025 katika ofisi za Kata hiyo ambayo amekabidhiwa na Katibu wa CCM wa Kata hiyo...
  12. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Wanachama CCM Masasi wajitokeza kuchukua fomu za ubunge na udiwani

    Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Wilaya ya Masasi wamejitokeza kwa wingi kuchukua fomu za kugombea nafasi za Ubunge na Udiwani wa Viti Maalum kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Zoezi hilo limeanza rasmi leo, tarehe 28 Juni 2025, ambapo fomu za ubunge kwa majimbo ya Masasi...
  13. W

    GE2025 Rais wa shirikisho la sanaa za maonyesho Tanzania Dkt Cynthia Henjewele achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la kigamboni

    Rais wa shirikisho la sanaa za maonyesho Tanzania Dkt Cynthia Henjewele amechukua fomu ya kugombea nafasi ya ubunge jimbo la kigamboni jijini Dar es Salaam kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi oktoba mwaka huu. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu...
  14. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mwanasheria Godfrey Maduhu ajitosa kuwani ubunge Jimbo la Kigamboni

    Katika kile kinachoonekana ‘mbio za kugombea lango lililo huru’, mwanasheria Godfrey Maduhu amejitokeza na kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi kwa ajili ya kumteua kugombea Ubunge wa Jimbo la Kigamboni. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025...
  15. W

    GE2025 Mwinshehe Adam Yange Mwenyekiti UVCCM Morogoro achukua fomu ya jimbo la Morogoro Mjini

    Ikiwa ni siku ya kwanza ya zoezi la uchukuaji fomu kwa watia nia, Mwinshehe Adam Yange Mwenyekiti Wa Umoja wa Vijana (UVCCM) Mkoa Wa Morogoro amechukua fomu ya jimbo la Morogoro Mjini kupitia CCM. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Yange anaenda kuchuana...
  16. Waufukweni

    GE2025 John Jilili achukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Solwa, Shinyanga kupitia CCM

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Shinyanga, Jeremiah John Jilili amechukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Solwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Jilili sasa ni rasmi atamvaa mbunge wa jimbo hilo aliyehudumu kwa miaka 20 sasa Ahmed Salum Ally, na hii itakua ni...
  17. B

    PreGE2025 UVCCM Faris Buruhani aliyesema wakiwapoteza watu polisi wasiingilie kuwania ubunge Bukoba Vijijini

    Mwenyekiti wa UVCCM Faris Buruhani aliyesema wakiwapoteza watu polisi wasiingilie kuwania ubunge Bukoba Vijijini. Kama ni 'mtu asiyejulikana' akiwa UVCCM unafikiri hali itakuwaje atakapokuwa mbunge? Si ndio atawapoteza wa kutosha aweke rekodi na viroba viokotwe vya kutosha huko kagera? Soma...
  18. Prof_Adventure_guide

    GE2025 Je, Hawa Wanaochukua Fomu za Ubunge Kupitia CCM Wanaelewa Hata Maana ya Uwakilishi au Ni Wapiga Kambi tu wa Madaraka Bila Dira?

    Ni jambo la kusikitisha kuona wimbi la watu wanaokimbilia kuchukua fomu za ubunge kupitia CCM—wengi wao ni wasio na uelewa, hawajui hata msingi wa majukumu ya mbunge katika representative democracy. Wamejazana kwa imani kwamba chama kitawapitisha hata bila ushindani, kwa sababu mfumo...
  19. W

    PreGE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Morris Makoi, amechukua Fomu ya Ubunge wa Jimbo la MoshI Vijijini

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Bw. Morris Makoi, amechukua Fomu ya Ubunge wa Jimbo la Mosh Vijijini. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Source: Banana FM
  20. M

    PreGE2025 Zoezi la uchukuaji fomu limedhihirisha pasipo shaka kuwa CCM ni chama kinachopendwa, chenye mvuto na itikadi ya kweli

    Leo mitandao yote imezima, CCM imezima takataka zote za uhaini, za no reform no election, hakuna cha Heche wala mamake Heche leo, leo ni mwanzo mwisho CCM. Hivi kwa mziki huu wa watu wenye majina makubwa na mvuto kuchukua fomu kuomba ridhaa ya chama unawezaje kuzuia uchaguzi wewe? CCM ni chama...
Back
Top Bottom