kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PreGE2025 Dkt. Mwinyi kupewa zawadi ya Wanachama wapya kutoka ACT-Wazalendo Visiwani Pemba

    Maandalizi yanaendelea kwa ajili ya mapokezi na utambulisho wa mgombea pekee wa urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, yatakayofanyika Februari 15, 2025, visiwani Pemba. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
  2. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwenyekiti UWT Taifa: Lissu asiitishie serikali ya CCM "atulizane"

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Pius Chatanda amewataka Watanzania kuyapuuza maneno ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na wawe na imani na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi. Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  3. Carlos The Jackal

    PreGE2025 Ukipigwa Mdahalo kati ya Mwenyekiti UVCCM na Mwenyekiti BAVICHA ni wazi wa UVCCM ataonekana ni mweupe!

    Nmefatilia hotuba Kadhaa Kati ya Vijana Hawa wawili. Nimefuatilia machapisho na maandiko yako katika mitandao ya kijamii. Itoshe kusema, Mwenyekiti BAVICHA yuko hatua kumi mbele za Uelewa, kujiamini, kujenga hoja, yaani ni MTU anayeweza kukupa Suluhisho la Tatizo lako. Kupata matukio na...
  4. J

    PreGE2025 Zawadi zinazotolewa na wanasiasa wakati wa Uchaguzi ni Rushwa? Wananchi wanatofautishaje?

    Usikose kuungana nasi leo Februari 13, 2025, kuanzia Saa 12:00 Jioni hadi Saa 2:00 Usiku kupitia XSpaces ya JamiiForums, kwa mjadala wa kina kuhusu zawadi wanazotoa Wanasiasa wakati wa Uchaguzi. Je ni rushwa? Wananchi wanatofautishaje? Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu...
  5. Cute Wife

    PreGE2025 Tanga kumpokea Rais Samia kwa mbio za magari

    Wakuu, Wasanii/wanamichezo na vijana wanazidi kuaibisha wakiongozwa na huyu kijana aliyepata nafasi ya kuhakikisha sekta ya sanaa, michezo na utamaduni inasimama vizuri na wasanii wananufaika na kazi zao. Kila siku ni uchawa left and right! Msanii akiumwa kidogo tu anaanza kutembeza bakuli...
  6. Cute Wife

    PreGE2025 Makonda: Watu waliofanikiwa kwa fedha za ushoga moto wa Mungu utawashukia. Mungu amtunze Trump!

    Wakuu, Kunaanza kuchangamka sasa, Makonda asema wale wote waliofanikiwa kwa fedha za ushoga moto wa Mungu utawashukia. Makonda asema inatia uchungu unamlea mtoto kwa tabu halafu anaenda kuwa shoga, jambo ambalo anamkubali sana Trump kuwa mstari wa mbele kushughulikia suala hili. Asema...
  7. Waufukweni

    PreGE2025 Wasira: Rais Samia aliita vyama vya Siasa, CHADEMA hawakuja kwenye maridhiano

    "Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani aliita vyama kule Dodoma na nchi hii ina vyama 19 vilihudhuria vyama 18 kwenye huo mkutano. "Na Rais alikuwa akizungumzia kuhusu 4R maridhiano. Na katika vyama hivyo CHADEMA haikuwepo. "Na Rais akizungumzia kuwa na mfumo wa maridhiano ambao...
  8. R

    PreGE2025 Wasira azijibu hoja za Mzee mwenzie Jaji Warioba kabla ya kujibiwa na Tundu Lissu

    Hellow! Si vyema kupoteza muda kuomba mtanange na mjukuu wako TUNDU Lissu aliye upinzani ilhali ndani ya chama chake anaye Mzee mwenzie, hasimu wake tangu unajanani waliyewahi kugombea Jimbo la Bunda mjini Mzee Warioba. Kikao Cha TUNDU Lissu na Mzee Warioba ni BUSARA za Mwenyekiti wa CHADEMA...
  9. Waufukweni

    PreGE2025 John Heche: Wabunge wamegeuka machawa wa Rais. Wanalipwa Milioni 18 kwa mwezi, kwa siku Laki 6 ambazo ni Kodi zenu!

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Heche amesema kuwa Watanzania wanahitaji mfumo wa uchaguzi utakaoamua viongozi wao halali ambao watawajibika kwao huku akikemea vikali wabunge aliodai kuwa wamekuwa 'machawa' kwa kujipendekeza kwa Rais wa Tanzania Dkt...
  10. Cute Wife

    PreGE2025 Uongozi wa CCM chini ya Rais Samia umechokwa na kuwa kituko mpaka wanatumia mabango ya Comedy "Cheka na Samia"?

    Wakuu, Aisee hii ni kali :BearLaugh: :KEKLaugh:, chawa ndio mmechoka mama kiasi hiki mpaka mmemuweka kwenye bango la comedy? Kwahiyo mmekubali kuwa uongozi wake ni kituko mpaka mmefanyia hivi? Aisee nimelia sana:PeepoRunCry::PeepoRunCry::PeepoRunCry:. Nimebubujikwa kwa machozi ya uchungu...
  11. Cute Wife

    PreGE2025 Picha ya Samia kwenye mitungi ya gesi ni ya nini? Haya ndio mambo CHADEMA wanapinga. Msimamizi wa vyama vya siasa yupo kama kipofu na kiziwi

    Wakuu, Kama lengo ni kuwatoa wananchi kutoka kutumia kuni na wahamie kwenye nishati safi, picha ya Samia inafanya nini kwenye mitungi hiyo? Picha ya Samia ipo kwenye mitungi sababu yeye ndio mtengenezaji wa mitungi hiyo? Au kampuni yake ndio inafanya usambazaji? Yeye ndio kanunua mitungi...
  12. Cute Wife

    PreGE2025 Wasira: Mabadiliko yalishafanywa na sheria za uchaguzi zilipatikana, kulazimisha viwepo wanavyotaka wao ni Udikteta wa Kidemokrasia

    Wakuu, Mambo yanazidi kuchanganya, ni vuta n' kuvute. Wasira anasema sheria za uchaguzi ni matokeo ya maridhiano, ambapo wananchi wote wakiwemo CHADEMA walishirikishwa kutoa maoni kabla ya miswada kupelekwa bungeni na baadaye kupitishwa baada ya kupitiwa kuwa sheria. Wasira anaongeza...
  13. T

    PreGE2025 Mungu akimshukia Rais Samia na kumuonesha hali itakavyokuwa muhula mwingine huenda ataghairi kugombea

    Mungu akimshukia Mama akamuonyesha 5 tena vile itakuwa ataomba kushuka. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Kama Mungu anaweza...
  14. L

    PreGE2025 Wakulaumiwa kukosekana Stendi Arusha ni Mrisho Gambo ambaye amekuwa DC, RC na Mbunge wa Arusha. Ashirikiane na Makonda kuipata

    Ndugu Zangu Watanzania, Nimemsikia Mbunge wa Arusha Mjini Mheshimiwa Mrisho Gambo akisema na kulalamika kuwa ni aibu Kwa Arusha kukosekana kwa Stendi kubwa na ya kisasa Mkoani Arusha. Lakini ikumbukwe na kuwakumbusheni na kumkumbusha Mheshimiwa Mrisho Gambo kuwa Kabla ya kuwa Mbunge Amekuwa DC...
  15. Waufukweni

    PreGE2025 Heche: Wasira ana haki ya kusinzia, tusimlaumu. Asema CCM inarejesha Viongozi waliochoka

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira ana haki ya kusinziaa kutokana na umri wake mkubwa na kuwataka wananchi wasipoteze muda kumjadili. Akizungumza katika...
  16. B

    PreGE2025 Tundu Lissu: Wasira ana miaka zaidi ya 50 akiwa kiongozi, ana kipi kipya cha kufanya naye mdahalo?

    Tundu Lissu akijibu swali aliloulizwa na Mwandishi wa Habari aitwaye Elizabeti amesema kuwa yeye hana hadhi ya kuzungumza na Makamu Mwenyekitinwa CCM Mh. Steven Wasira. Amedai kwamba Mh. Steven Wasira amekuwa kwenye uongozi kwa miaka mingi kwa hiyo hana jipya la kufanyia Mdahalo. Kupata...
  17. M

    PreGE2025 Tundu Lissu afafanua No Reform No Election, hatuzungumzii kususia uchaguzi na hatutasusia bali Uchaguzi hautofanyika!

    Leo mheshimiwa Lissu amelihutubia Taifa na kulieleza hatua kwa hatua juu ya uamuzi wa chama cha CHADEMA kuwa KAMA HAKUNA MABADILIKO YA MSINGI KWENYE KATIBA NA SHERIA zinahosu uchaguzi nchini basi CHAMA hicho HAKITAKUBALI Uchaguzi feki ufanyike nchini mwezi october 2025. Akiongea kwa nukta...
  18. Waufukweni

    PreGE2025 John Heche: Tupo tayari kufa kulinda msimamo wa CHADEMA na maslahi ya Wananchi, Rais wa Tanzania amegeuka kuwa Mungu

    John Heche akitoa salamu za Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu, akiwa Tarime amesema yeye pamoja na Lissu wapo tayari kufa kwa ajili ya kulinda msimamo wa Chama chao ilikutetea maslai ya Wananchi wa hali ya chini. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
  19. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Lissu: Haki ya kupiga kura siyo haki ya Kikatiba, hata mahakama haiwezi kukusaidia ukienda kudai haki hiyo

    "Katiba yetu ilivyoandikwa zile zinazoitwa haki za kikatiba zinaanzia Ibara ya 12 mpaka Ibara ya 29: Haki ya Kuishi, Haki ya kuwa huru, haki ya maoni, haki ya kushiriki shughuli za umma nakadhalika, hizo zinazoitwa haki za binadamu ndizo haki za kikatiba, kama kuna kitu hakijaandikwa kuanzia...
  20. Waufukweni

    John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA anatema cheche muda huu mjini Tarime

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, John Heche leo Jumatano Februari 12, 2025, anazungumza na wananchi wa Tarime Fuatilia hapa kinachoendelea kutoka mjini Tarime https://www.youtube.com/live/3vCV_A7LVeI John Heche anasema "Hapa ndio Tarime, leo nimesimama...
Back
Top Bottom