kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mjumbe NEC Mbeya, Mwaselela aahidi kuchangia zaidi ya TSh. milioni 30 za ukarabati wa ofisi 32 za Kata

    Hii ni moja ya kauli za Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC) wa Mkoa wa Mbeya, Ndugu Ndele Jailos Mwaselela, alipotekeleza ahadi yake ya kuchangia ukarabati wa ofisi 32 za chama hicho katika Wilaya ya Mbeya Vijijini leo, Februari 15, 2025. Katika hatua hiyo, M-NEC...
  2. Waufukweni

    PreGE2025 Mwana FA asema Gambo ana kila sababu za kuendelea kuwa Mbunge wa Arusha

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma, ameagiza wataalamu wa wizara yake kufanya tathmini ya ujenzi wa uwanja wa mazoezi kwa ajili ya AFCON 2027 katika eneo la FFU, Morombo, Arusha. Ametoa maagizo hayo leo, Februari 15, 2025, wakati wa uzinduzi wa michuano ya...
  3. figganigga

    PreGE2025 Tundu Lissu: Tubadilishe tarehe ya Uchaguzi Mkuu kwa Miaka miwili ili tuwe na tume Huru

    Tundu Lissu: Tubadilishe tarehe ya Uchaguzi Mkuu kwa Miaka miwili ili tuwe na tume Huru. Waati akihutubia Maelfu ya Watu huko Mkoani Singida hii leo, amesema Uchaguzi uahirishwe. Amesema kuliko kufanya Uchaguzi katika mazingira haya ya sasa, Bora tarehe ya Uchaguzi isogezwe mbele kwani tarehe...
  4. Just Pray

    PreGE2025 Mjumbe UVCCM Taifa: Vijana tuna jukumu la kutafuta kura za Dkt. Samia

    Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa (Viti Vitatu bara) Ndg. Shamira Mshangama amepokelewa katika Wilaya ya Musoma mjini, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa Jumuiya ya Vijana wa CCM katika mikoa, Wilaya, kata, matawi na shina kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu 2025. Ndg...
  5. Cute Wife

    PreGE2025 Baada ya mahojiano ya kumchafua Lissu kugoma Generation Samia wafanya matembezi Singida kumshukuru Samia kwa fursa za uchumi!

    Wakuu, CCM mnapumulia mashine sasa hivi :BearLaugh: :BearLaugh: baada ya mahojiano na vikongwe kumchafua Lissu kubuma sasa mmekuja na matembezi. Yaani mnahangaika, moja haisimami mbili hailali🤣🤣, Lissu amewashika pabaya. ===== Umoja wa Makundi Mbalimbali nchini Tanzania Chini ya Mwamvuli...
  6. Just Pray

    PreGE2025 Mbunge Esther Midimu: Waziri Mkuu nakutuma kwa Rais ikimpendeza Jina la Mbunge Njalu Silanga lipite bila kupingwa

    "Nampongeza mbunge wangu Njalu Silanga anafanya kzi nzuri sana. Mh. Rais ananifahamu vizuri mimi ni mwanaye nikisema kitu hakina longolongo, Waziri Mkuu nakutuma kwa Mh. Rais mimi mwanaye namuomba kwamba ikimpendeza Njalu jina lipite bila kupingwa" Mbunge wa viti maalumu Esta Midimu Soma pia...
  7. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwenyekiti wa CCM Mara awa kituko mbele ya wananchi kwenye mkutano wa hadhara. Asema kama amnifurahishi na wateteaje

    Unaweza kusema kwambaa Kumeanza kuchangamka; Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Patrick Chandi amekataliwa na wananchi kwenye mkutano wa hadhara licha ya kuwapa hadi shikamoo. Soma Pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu...
  8. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwenyekiti CCM Iringa Vijijini atoa mitungi ya gesi 143 pamoja na viti 15 na meza Mbili katika kata ya Nyangolo, Malengamakali

    Akitoa Gesi hizo 143 katika kata ya Nyangolo, Malengamakali pamoja na viti 15 na meza Mbili kwa kila kata kwa Niaba ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Iringa vijijini Ndugu Constatino Kiwele, Katibu wa UWT Wilaya ya iringa vijijini ndugu Sophia nyalusi aliwaomba Mabalozi wa kata hizo mbili...
  9. fungi06

    PreGE2025 Bado taifa la Tanzania linaitaji kiongozi Mwalimu

    Habari wana jamvi!? Nimekua katika masuala ya kitaifa kwa mda wa miaka 20, nimeona kwa namna tofauti tofauti jinsi mambo yanavyo endeshwa kisiasa, kiuchumi, mpaka kimadaraka na kugundua hiki kitu Walimu walio wengi, katika nchi hii ndio wengi wajuzi na wenye taarifa nyingi kuhusu taifa hili...
  10. Genius Man

    PreGE2025 Tusisubiri Rais atoke madarakani ndio tuanze kumkosoa. Hata kama amevunja katiba yeye pia anakosea

    Kuna huu mfumo wa kusubiri mtu atoke madarakani ndio tuanze kumkosoa lakini akiwepo madarakani ni kama watu wengi wanakuwa wamepoteza macho na kujifunga akili mfano mzuri ni kipindi cha utawala wa magufuli. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
  11. technically

    PreGE2025 Tuseme bila unafiki: Kikwete ni tatizo kwa sasa nchini kuliko wakati wowote

    The man is everywhere but natoa aren't na tahathari hakuna marefu yasiyo na ncha. Minyororo yako uliyoifunga inaelekea mwisho tubu na omba msamaa kwa Watanzania Umewakosea Sana Watanzania haiwezekani kabisa kila kitu unahusishwa wewe!! Why unatumia nguvu nyingi kuhujumu umma kwa maslahi yako...
  12. Cute Wife

    PreGE2025 Global TV, Jambo TV, TBC, EATV na wengine wamepitishiwa vibunda kumchafua Lissu? Wapost habari kusambaza chuki dhidi yake

    Wakuu, Unapambana na mtu kama Lissu, si basi utumie akili hata kidogo isionekane ni muvi ya kutengeza? Yaani wote mnachukua habari ile ile, mtu yule yule na vichwa vinafanana:BearLaugh::BearLaugh: CCM ndio mmeishiwa kiasi hiki? Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
  13. Waufukweni

    Tundu Lissu kuhutubia wananchi Morogoro leo, akielekea Ikungi

    Maandalizi yamekamilika kwa ajili ya kumpokea Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Tundu Lissu, leo Ijumaa Februari 14, 2025, katika Manispaa ya Morogoro. Lissu, ambaye yuko njiani kuelekea Ikungi, Singida, atasimama katika eneo la Msamvu kuwasalimia wananchi kabla...
  14. F

    PreGE2025 Rais Magufuli angekuwepo angestaafu Oktoba mwaka huu. Je, angekubali kustaafu?

    Najiuliza hili swali mara nyingi. Angekuwepo je wananchi wangemkubalia astaafu baada ya kumaliza mihula yake miwili? Je, yeye mwenyewe angekuwa tayari kustaafu na kurudi Chato huku akimtazama Rais mwenzie kwenye TV? Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
  15. Cute Wife

    PreGE2025 EFM wanalipwa kueneza chuki dhidi ya wapinzani? Wananchi Ikungi wapewa script waseme wanamchukia Lissu

    Wakuu, Juhudi za makusudi zinafanyika kwenye baadhi ya vyombo vya habari kuripoti mambo ambayo moja kwa moja yanatoa picha ya kufanya viongozi wa upinzani waonekane kuchukiwa na wananchi. Mtu anaongea unajua kabisa hii script. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
  16. Cute Wife

    PreGE2025 Baada ya kumuweka kwenye bango la comedy Rais Samia awekwa kwenye bango la Valentine's. Chawa wanampoza baada ya kuumudhi

    Wakuu, Huu uchawa nyie🤣🤣😂 hivi Samia ashtuki kufanywa kituko kama hivi jamani? Chawa wanazidi kumharibia maskini, soon atakimbia akiwa anabubujikwa machozi ya huzuni. Imagine jinsi Marais wenzake watakuwa wanakufa mbavu kwa haya yanayotokea huku:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:. Kupata...
  17. Waufukweni

    PreGE2025 Wananchi wangekuwa wanamkubali kwa dhati Rais Samia kungekuwa na haja ya kuanzisha Samia Cup, Samia Legal Aid, Cheka na Samia na kadhalika?

    Wakuu Ni wazi kuwa kuna jitihada kubwa zinafanyika kumpaisha Rais Samia kila kona ya nchi kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu. Kwenye michezo yupo! Mama Ntilie na gesi, machinga yupo! Sekta za afya na sheria yupo! Pesa kuendesha nchi ndio kabisa, kwa 200% yupo! Tujiulize je, hii ni ishara...
  18. upupu255

    PreGE2025 Meya wa Mpanda atimiza ahadi, awakabidhi Baiskeli 20 Makatibu wa Matawi

    Msatahiki Meya wa Manispaa ya Mpanda, Hidary Summry, ametimiza ahadi yake kwa kuwapatia baiskeli 20 Makatibu wa Jumuiya na Makatibu wa Matawi katika manispaa hiyo. Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania...
  19. upupu255

    PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA, Singida: Maandalizi ya kumpokea Lissu yameiva, Ng'ombe zaidi ya 15 waandaliwa kusherehekea ushindi wake

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Singida, Omar Athumani Toto, akielezea maandalizi ya mapokezi ya Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Mhe. Tundu Lissu wilayani Ikungi tarehe 15 Februari hii. Soma, Pia: Ester Bulaya: Lissu ana uwezo wa kutufikisha kwenye...
  20. Cute Wife

    PreGE2025 Pambalu: Tuachane na Wasira tupambane na Samia

    Wakuu, Kunazidi kuchangamka! === Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA (BAVICHA) taifa, John Pambalu amewashauri wanachama wa chama hicho kuacha kupambana kisiasa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira kwa kudai...
Back
Top Bottom