kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwaka 2025 mageuzi ni lazima: Dorothy Semu awataka Wanawake kusimama imara

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amesisitiza kuwa mwaka 2025 ni mwaka wa mageuzi na wanawake hawatarudi nyuma katika mapambano ya kudai haki zao. Akizungumza katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani jijini Dar es Salaam, Semu ameeleza kuwa hali ya kisiasa nchini...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa BAZECHA Susan Lyimo: CHADEMA Mwenyekiti na Makamu Wenyeviti wote ni wanaume. Hii haileti picha nzuri!

    Wakuu, Mambo yameanza kuchangamka huko CHADEMA. Akiwa anazungumza leo kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, Mwenyekiti wa BZECHA ametangaza kwamba kwenye Uchaguzi ujao wa CHADEMA anategemea kuona kwenye zile nafasi sita za juu za kwenye chama basi mwanamke pia anakuwepo "Tunategemea...
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wilbroad Slaa: Hata CCM wanasema kuhusu No Reforms No Election kazaneni hapo hapo. Mliona kilichofanyika Dodoma, wamevunja sheria!

    Wakuu, Kumbe kuna watu uko CCM na wenyewe wanapendezwa na hii agenda ya CHADEMA ya No Reforms No Elections? Akiwa anazungumza leo kwenye ukumbi wa Mlimani City wakati yuko kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake Dkt Slaa amesema kuwa kuna baadhi ya watu CCM wanaunga agenda ya CHADEMA ya No...
  4. McLaren

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Slaa: Namwambia Samia anipeleke tena gerezani maana nina mengi ya kujifunza

    Wakuu, Dkt Slaa akiwa anazungumza kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake yaliyoandaliwa na BAWACHA amesema kuwa Rais Samia kama atataka anaweza kumrudisha tena gerezani maana amejifunza mambo mengi sana akiwa huko. "Na namwambia Samia anipeleke tena gerezani maana nina mengi ya kujifunza...
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa kiume kushona sare ya kitaifa ya siku ya wanawake ni sababu ya uchawa?

    Wakuu, Kama mnavyojua leo ni siku ya wanawake duniani na huko mitandaoni nimeona baadhi ya viongozi wa CCM wamevaa mavitenge yenye picha za Rais Samia. Vitenge kama mnavyojua ni fabrics za wanawake. Nyie wana CCM wanaume ambao mmmeshonesha mashati ya vitenge mnataka mtutumie ujumbe gani? Ni...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2025 Arusha

    Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2025 Arusha https://www.youtube.com/live/1noAQDGD9e8?si=MT9ZfW_E_QbmTDZl Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda akitoa salamu za mkoa "Mhe. Rais, sherehe zetu zilihitimishwa jana na ulaji wa nyama... Nyama ya Mkoa wa Arusha...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Miaka 4 ya uongozi wa Rais Samia madarakani, Kiwango cha uwekezaji Kupitia Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) umeongezeka

    Miaka 4 ya uongozi wa Rais Samia madarakani, Kiwango cha uwekezaji Kupitia Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) umeongezeka. Kwa mwaka 2021 kulisajiliwa Miradi 256 ya uwekezaji yenye mtaji wa Dola bilioni 3.79. Kwa mwaka 2022 kulisajiliwa Miradi 293 ya uwekezaji yenye thamani ya Mtaji wa Dola...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Siku ya Wanawake Duniani: Wanawake acheni kubwetekea kubebwa. Viti Maalumu ni kubebwa

    Wanabodi, Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, hivyo hizi ni salaam zangu za Siku ya Wanawake Duniani kwa wanawake wote wa Tanzania. Kwa Tanzania, Maadhimisho rasmi ya kitaifa yanafanyikia Uwanja wa Sheikh Amri Abedi, jijini Arusha, mgeni Rasmi akiwa ni Rais Samia. Hili ni bandiko la swali, kwa...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kimeumana! Makatibu CCM Meatu wapigana na kutukanana hadharani

    Kikao cha Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Meatu, Mkoani Simiyu kilichofanyika Machi 5, 2025, kiliibua hali ya sintofahamu baada ya kutokea mzozo mkali kati ya Katibu wa CCM wilayani humo, Ndg. Naborth Manyonyi, na Katibu wa Itikadi, Siasa, na Uenezi wa wilaya hiyo, Ndg...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wachoma nyama Arusha kupewa majiko yanayotumia nishati safi

    Katika hatua ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, wachoma nyama mkoani Arusha wameahidiwa kupewa majiko yanayotumia nishati safi kwa ajili ya kazi yao. Hayo yamesemwa leo Ijumaa Machi 7, 2025 na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda wakati akikagua maandalizi ya nyama choma kuelekea...
  11. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Mvomero: Kugombea siyo nafasi za wanaume pekee

    Kuelekea uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, kimetoa rai kwa wanawake kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi. Hayo yamebainishwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Mvomero Florance Machicho wakati wa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kigoma kuuziwa majiko banifu ya ruzuku kwa Tsh. 10,000

    KIGOMA: MAMA lishe na walengwa wa kusaidia kaya masikini Manispaa ya Kigoma Ujiji wanatarajia kunufaika na ugawaji wa majiko banifu yaliyogaiwa na Mamlaka ya Nishati Vijijini (REA) kuhamasisha matumizi ya nishati safi na utunzaji mazingira Makundi hayo yatanufaika na ruzuku ya 80% ya majiko...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Wapenzi (couple) watakaopendeza kesho Machi 8 Arusha kupata zawadi

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema wapenzi (couple) itakayopendeza kesho katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake itapewa zawadi maalumu. Makonda ameyasema hayo leo Ijumaa Machi 7, 2025 alipokuwa akikagua eneo ambalo nyama choma italiwa bure kwa wakazi wa Arusha kuelekea maadhimisho...
  14. Egnecious

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Samia kinara wa demokrasia ulimwenguni

    Taifa letu la Tanzania limepiga hatua kubwa sana katika Demokrasia toka Rais Dkt Samia alivyoingia madarakani 2021 Ameimarisha demokrasia nchini. Ameimarisha uhuru wa kujieleza, maridhiano ya kisiasa, na uwajibikaji wa viongozi. Amefungua milango kwa majadiliano ya...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda hana jambo dogo, Ng'ombe zaidi ya 400 za chinjwa Arusha ni mwendo wa kula nyama choma bure

    Kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kesho ambayo kitaifa yatafanyika mkoani Arusha, leo Ijumaa Machi 7, 2025 nyama choma italiwa bure. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Rais Samia ni mwanamke wa mfano duniani

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda amesema Maandalizi ya kumpokea Rais Dkt Samia Suluhu Hassan yamekamilika na kueleza kuwa Rais Samia ni Mwanamke wa Mfano duniani hivyo wao kama Mkoa wanajivunia Rais Samia. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina ataka Bunge lipitishe sheria ya kunyonga mafisadi na wezi wa fedha za umma

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, mkoani Simiyu, Luhaga Mpina, ameiomba Serikali kupitia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuridhia na kupitisha sheria kali, ikiwemo adhabu ya kunyongwa kwa mtu yeyote atakayebainika kufanya ubadhilifu wa mali za umma. Akizungumza katika mkutano wa hadhara...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kuzindua mradi wa maji wa bilioni 300 Kilimanjaro

    Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amesema kuwa, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwasili mkoani humo Machi 9 mwaka huu ambapo atazindua mradi wa maji Same - Mwanga - Korogwe na badae atafanya mkutano wa hadhara na kuzungumza na wananchi katika viwanja vya CD Msuya wilayani...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Morogoro: Polisi yaonya wanaotaka kuvuruga amani kipindi cha Uchaguzi

    Kamishina wa Jeshi la Polisi anayeshughulikia kamisheni ya operesheni na mafunzo CPA, Awadhi Juma amewaondoa hofu wananchi kuwa jeshi hilo litaendelea kuhakikisha usalama, amani na utulivu vinaendelea kuimarishwa sasa, wakati na baada ya uchaguzi na kamwe hawatakuwa na muhali na mtu yeyote...
  20. upupu255

    JamiiForums Tanzania RC Senyamule: Kinachoninyima usingizi ni uchumi wa Wananchi wa Dodoma

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule, amewataka Wataalam wanaoshughulika na usimamizi wa miradi ya maendeleo hususan miundombinu ya barabara, kuhakikisha inakidhi vipaumbele vya Mkoa wa Dodoma hasa katika kuinua uchumi wa wananchi wa Mkoa huu. Hayo yamebainishwa wakati wa kikao cha...
Back
Top Bottom