kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Manjale: Vyama vingine vilikuwa vinasema bodaboda ni kazi ya laana

    Katika ziara ya Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM Mkoa wa Geita, imeeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inathamini kazi za Vijana wa Bodaboda kama chanzo cha kipato na maendeleo ya uchumi wa nchi. Soma: UVCCM Geita: Hakuna atakayezuia Uchaguzi Mkuu Oktoba...
  2. milele amina

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viti Maalum CCM: Sera na Utaratibu wa vipindi viwili miaka 10 ni danganya toto kwa Watanganyika na wanachama wa CCM!

    Utangulizi Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, masuala ya viti maalum vya ubunge na udiwani yanazungumziwa kwa nguvu, lakini kuna maswali mengi yanayoibuka kuhusu uhalisia wa sera hii. Mimi nikiwa kiongozi na mwanachama wa CCM, Ninatoa mawazo yangu kwa sababu zifuatazo: 1. Muda wa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mama Samia amegundua kosa kubwa chaguzi za 2024

    Uchaguzi wa 2024 wa serikali za mitaa ungekuwa wa huru na haki leo hii swahiba wa Mama Samia Mbowe angekuwa Mwenyekiti wa Chadema na kusingekuwepo leo No reform no election ambayo ni agenda kubwa ya nchi kwa sasa. Kitendo cha Mama Samia kuanza kumkasirikia mkwe wake Mchengerwa tena baada ya...
  4. UHURUWANGU

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 No reform No election: sasa ni wakati wa kusimama imara

    Kwa miaka mingi, Watanzania tumeendelea kushuhudia mfumo wa uchaguzi usio wa haki, usio na usawa, na usioakisi matakwa halisi ya wananchi. Tumeshuhudia jinsi mchakato wa uchaguzi unavyotawaliwa na sheria kandamizi, tume zisizo huru, na matumizi mabaya ya vyombo vya dola. Matokeo yake ni kupungua...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbeya yaanza mchakato wa kuligawa jimbo la Mbeya Mjini alipo Tulia Ackson na kupata jimbo lingine la Uyole

    Wakuu, Wameona wamtengee kabisa Tulia jimbo asipate tabu ya kusumbuana na Sugu, maana wanajua ataibika! ==== Halmashauri ya Jiji la Mbeya imependekeza kuanza mchakato wa kuchunguza na kuligawa Jimbo la Mbeya Mjini kupata jimbo jipya la Uyole, katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, 2025. Jimbo...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbeya: Kikundi cha 'Wanawake shujaa' wilaya ya Rungwe, wamemchangia shilingi milioni moja Rais Samia fomu ya kugombea Urais

    Kikundi cha 'Wanawake shujaa' wilaya ya Rungwe, mkoani Mbeya wamechangia fedha zaidi ya shilingi milioni moja za Kitanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi wa mwaka huu (2025) kupitia Chama cha...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ataka Wakurugenzi (DED) na Wakuu wa Wilaya wanaotaka kugombea kutoa taarifa mapema

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri, Wakuu wa Wilaya na viongozi wengine katika serikali za mitaa kutoa taarifa mapema kama wana mpango wa kugombea ubunge. Msingi wa kauli ya Rais Samia ni kutaka nafasi zao zijazwe mapema na watu...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mavunde Akabidhi Kompyuta na Printres kwa Shule 50 za Sekondari Jijini Dodoma

    Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini na Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amesema kuwa katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumekuwa na mabadiliko makubwa katika sekta ya elimu nchini, ikiwemo ujenzi wa vyuo vya VETA, shule za msingi na sekondari, hatua...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wenyeviti wa Mitaa Jimbo la Temeke waungana kumuombea dua Rais Samia kwa lengo la kumtakia afya njema

    Wakuu, Wenyeviti wa mitaa wa Jimbo la Temeke, Dar es Salaam, wameungana kwa pamoja kumuombea dua Rais Samia Suluhu Hassan kwa lengo la kumtakia afya njema, hekima na uongozi mwema ili aendelee kuiongoza nchi kwa amani na kuleta maendeleo. Soma pia: Picha: Viongozi wa Dini wakiwa viwanja vya...
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanga: Madiwani wapitisha pendekezo la kugawa Jimbo la Kilindi kuwa majimbo mawili tofauti

    Wakuu, Naona lile wazo la Mbunge wa Kilindi alilolitoa mwaka 2021 kwamba Jimbo la Kilindi ligawanywe mara mbili limeanza kufanyiwa kazi. Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Kilindi mkoani Tanga lilipitisha mapendekezo ya kugawa jimbo la Kilindi kutoka jimbo moja lililopo kwa sasa na...
  11. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Antony Mavunde agawa kompyuta kwa shule za serikali Dodoma

    Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Peter Mavunde amegawa vifaa vya tehama vikiwemo kompyuta, printer Kwa shule zote za Serikali za jiji La Dodoma. Sanjali na hayo, Mhe. Mavunde amegawa compyuta 41 kwa ofisi zote za kata katika jiji La Dodoma Pamoja na kuzindua...
  12. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia hawa chawa wa nini?

    Mama, Labda pengine wengine wanakuogopa. Au tuseme wanashindwa kukufikishia ujumbe. Lakini mimi, kwa unyenyekevu kabisa, nimeona kupitia safu hii niwe nakupenyezea yale ambayo yanasemwa huku mtaani lakini wasaidizi wako hawakufikishii ipasavyo. Mama, kabla sijatiririka mengi kwanza nianze na...
  13. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Ona Vikao vya CCM vinavyoendeshwa utapenda

    == Mwenyekiti wa CCM Taifa, Ndg. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati kuu pamoja na Halmashauri kuu ya CCM , Jijini Dodoma.
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Tukishindwa kuzuia Uchaguzi Mkuu, basi CHADEMA hatutashiriki

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema "Msimamo wetu upo wazi, bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi na hatutashiriki uchaguzi" Pia, Soma John Heche: Tumeamua kuhakikisha kwamba uchaguzi haufanyiki. Tutawashirikisha Viongozi wa dini, mashirika ya kimataifa, balozi na NGO's...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbeya: Wanawake wamchangia Rais pesa ya fomu ya ugombea

    Kikundi cha Wanawake SHUJAA Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya wamchangia Fedha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zaidi ya Milioni Moja kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais, ikiwa ni kumuunga mkono katika jitihada zake za uongozi. Zoezi hilo limeongozwa na Dkt. Yasinta Mafwenga ambaye alikuwa...
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CCM Ruvuma: Kuna viongozi CCM wanaondolewa ondolewa kwenye nafasi zao, hiyo haikubaliki

    Wakuu, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma Ndugu Oddo Mwisho amewataka baadhi ya viongozi kutowaondoa Madarakani Mabalozi kipindi hiki Cha uchaguzi Kwa madai ya kutokuwaunga mkono madiwani na wabunge au watia nia ambao wako karibu na viongozi wa kata Amesema hayo wakati...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Geita yamtaka Mbunge Kanyasu aombe radhi vijana kwa kauli zake

    Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imelaani vikali baadhi ya kauli ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya Viongozi akiwemo Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini Mh. Costantine Kanyasu ya kubeza vijana kutokuwa na sifa ya kuwa Viongozi. Tamko hilo la Vijana limekuja baada ya...
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aweso: Rais ametoa maelekezo ni marufuku kumkatia maji mwananchi wa Mwanga, Same kipindi cha sikukuu na wikiendi!

    Wakuu, Kwahiyo huduma ya maji tunapewa kama hisani, yaani tunabembeleza kupatiwa huduma bora na stahiki! Kwamba kupata maji siku za sikukuu na weekend ni mpaka maelekezo yatoke kwa Rais?:BearLaugh::KEKLaugh: Kwahivyo huo mradi hautakuwa unajitosheleza, maji yatakuwa yanakatika kama kawaida...
  19. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Kuna wana CHADEMA wananiita dikteta uchwara

    Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lisu wakati akihutubia wanawake wa CHADEMA Mlimani city kwenye siku ya wanawake duniani amelalamika kuwa kuna wanachadema na wengine ni wajumbe wa kamati kuu wanasema Lisu ni Mwenyekiti ambaye ni dikteta uchwara kutokana na msimamo wake wa no reform no election...
  20. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Samia: Sherehe nyingine za Kitaifa za Wanawake Zitafanyika 2030 wakati naachia ngazi, nitawaaga katika sherehe hizo!

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Mkoani Arusha, tarehe 08 Machi, 2025 amesema sherehe hizo zitakuwa zinafanyika Kimikoa lakini zitafanyika kitaifa kila baada ya Miaka mitano. Hivyo, sherehe nyingine za aina hiyo...
Back
Top Bottom