kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbio za Magari kumpokea Rais Samia Arusha, Sherehe za Siku ya Wanawake

    Maonesho ya aina yake ya mbio za magari yanatarajiwa kurindima wakati Rais Samia akiwasili jijini Arusha na hiyo itakuwa ni sehemu ya staili ya kipekee ambayo inapangwa kama sehemu ya mapokezi hayo. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UWT Masasi waahidi ushindi kwa kishindo kwa rais Samia 2025

    Umoja wa Wanawake UWT Wilayani Masasi Mkoani Mtwara wamefanya kongamano la kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh Dr. Samia Suluhu Hassani kwa kuteuliwa na mkutano mkuu maalumu uliofanyika jijini Dodoma kuwa mgombea wa urais mwaka 2025 ambapo wameahidi kumchagua ili ishinde kwa...
  3. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mkuu, Majaliwa agawa mitungi ya gesi kwa wanawake 3000 kuhamasisha nishati safi

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa March 06, 2025 amegawa mitungi ya gesi kwa zaidi ya wanawake 3000 ili kuunga mkono jitihada za Mheshimiwa Rais za matumizi ya nishati safi na utunzaji wa Mazingira. Mitungi hiyo imeuzwa kwa bei ya ruzuku ya Shilingi...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa Milioni 4 kwa wanafunzi wa Nachingwea Girls

    Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mh.Kassim Majali ametoa shilingi 4,000,000 kwa wanafunzi wa shule ya Msingi Nachingwea Girls iliyopo wilayani Nachingwea. Majaliwa ametoa fedha hizo machi 6 alipotembelea shuleni hapo na kuongea na wanafunzi wa shule hiyo. Aidha amesema kuwa shule...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hakuna mabadiliko yoyote yaliyofanyika kwenye haki ya wafungwa kupiga kura, Makalla amepotosha!

    Wakuu, Mwaka 2022 Mahakama ilibatilisha kifungu cha 11 (1) (c) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi kinachoweka zuio kwa wafungwa wanaotumikia adhabu ya kunyongwa na wanaotumikia adhabu ya kifungo cha zaidi ya miezi 6 kujiandikisha ili kupiga kura. Hivyo kwa kufuta kifungu hiki ilifanya wafungwa...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yanga Princess Mabingwa wa Samia Women’s Super Cup 2025

    Yanga Princess wameibuka mabingwa wa Samia Women’s Super Cup 2025 baada ya kuichapa JKT Queens 3-0 kwenye mchezo wa fainali uliopigwa katika Uwanja wa Aga Khan. Timu hiyo ilionesha ubora wake tangu hatua za awali, ikitinga fainali kwa ushindi mnono wa 7-0 dhidi ya Fountain Gate Princess katika...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: Lissu na wenzako (CHADEMA) nendeni mkafanye reforms zenu, CCM imeshafanya reforms za kutosha

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CРА Amos Makalla amesema kuelekea katika uchaguzi mkuu, CCM inaamini imeshafanya reforms za kutosha, hivyo amemshauri Tundu Lissu na wenzake pia wakafanye reforms zao. Amesema wapinzani wanasema CCM ndiyo...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bashungwa ashiriki dua ya kumuombea Rais Samia

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametembelea na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Msikiti wa BAKWATA Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera (Masjid Zahra), leo tarehe 6 Machi 2025. Awali, Bashungwa aliungana na Sheikh wa Wilaya ya Karagwe, Alhaj Nassibu...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Wafungwa chini ya miezi sita (6) watapiga kura Uchaguzi Mkuu

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amezungumzia mabadiliko mapya ya sheria kuhusu haki za Wafungwa kupiga kura ambapo amefafanua kuwa kwa sasa Wafungwa wenye vifungo vya chini ya miezi sita wataweza kushiriki katika uchaguzi...
  10. Parabolic

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kabla ya kuuliza Chadema watazuiaje uchaguzi, jiulize uchaguzi utafanyikaje kwa hali hii?

    Tangu Chama cha Demokrasia na Maendeleo kilipotangaza kauli mbiu yake ya No reforms No Election ikimaanisha hakuna mabadililiko hakuna uchaguzi, kumekuwa na maoni tofauti ya utekekelezaji wa kauli mbiu hiyo. Baada ya uongozi mpya kuingia chini ya Tundu Lissu, msisitizo umekuwa sio tu kususia...
  11. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa wananchi Jimbo la Chumbuni CCM, Ussi Salum Pondeza amegawa sadaka ya futari kwa watu wenye ulemavu

    Mbunge wa wananchi Jimbo la Chumbuni CCM Mhe. Ussi Salum Pondeza amegawa sadaka ya futari kwa watu wenye ulemavu zaidi ya 70 wanaoishi katika jimbo lake ili kusaidia katika mahitaji ya chakula katika kipindi hichi cha mwezi mtukufu wa Ramadhan. Pondeza kupitia taasisi ya Pondeza Foundation...
  12. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Kibaha wampa tuzo Nikki wa Pili

    Kunazidi kuchangamka === Chama Cha Mapinduzi wilaya Ya Kibaha mkoani Pwani kimempa tuzo ya pongezi Mkuu wa wilaya ya Kibaha Mjini, Nickson John Simon Nikki wa pili kwa usimamizi bora wa utekelezaji wa ilani ya CCM wilayani humo. Wilaya hiyo chini ya uongozi wa DC Nickson Simon makusanyo ya...
  13. McLaren

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Temeke Dorothy Kilave ni ushahidi tosha kuwa Tundu Lissu alikuwa sahihi kuhusu sakata la Wabunge wa Viti Maalum

    Wakuu, Leo nilikuwa naangalia wasifu wa Mbunge wa Temeke, Dorothy Kilave na itoshe kusema kuwa Lissu alikuwa sahihi kabisa kuhusu hawa wabunge wa viti maalum. Huyu Dorothy Kilave yeye alikuwa ni diwani wa viti maalum kupitia CCM mwaka 2011 hadi mwaka 2015. From there akashika nafasi tofauti...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Mpanju: Wanawake mjitokeze kugombea nafasi za uongozi kwenye Uchaguzi Mkuu

    Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Makundi Maalum, Wakili Amon Mpanju amewataka wanawake kujitokeza kwa wingi kwenda kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi mkuu utakafoanyika mwaka huu. Akizungumza katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda uso kwa uso na Gambo kwenye mabanda Arusha, ona kilichotokea mbele ya Waziri Ndejembi

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda leo Jumatatu ya Machi 03, 2025 akiwa ameambatana na Waziri wa ardhi Deogratius John Ndejembi kutembelea mabanda kwenye maonyesho ya wiki ya mwanamke Jijini Arusha wamekutana uso kwa uso na Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo. Pia, Soma Kumekucha...
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Geita: Hatufurahishwi kuona vijana wetu wanaondoka duniani kwa kutekwa! Tunalaani na kukemea matendo haya!

    Wakuu, Naona suala la utekaji limekuwa ni suala gumu mno imefikia hatua hadi CCM wameanza kupiga kelele. CCM tulieni. Kila mtu atafikiwa kwa wakati wake. Haya makelele Chadema walianza mapema kulalamika kuhusu utekaji mkawaona hamnazo, jamii imekaa kimyaa kama haiwahusu vile. Naona sasa hii...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Arusha Saccos yamshukuru Rais Samia kwa kuwapa Makonda, Mkuu wa Mkoa mchapakazi na Mbunifu

    Klabu ya Arusha Saccos imemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumteua Mhe. Paul Christian Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, wakisema amekuwa chachu ya maendeleo ya Mkoa huo hasa katika masuala ya kiuchumi na ustawi wa mwananchi mmoja mmoja...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Watendaji wa Kata, Vijiji na Mitaa marufuku kumweka ndani mtuhumiwa kwa Saa 24

    Watendaji wa kata, vijiji au mitaa wametakiwa kuacha tabia ya kuwakamata watuhumiwa na kuwaweka ndani saa 24 ikielezwa kuwa hawana mamlaka kisheria. Kauli hiyo imetolewa na Mkufunzi wa Elimu ya Uraia na Utawala Bora kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani, Iddah John wakati akitoa ufafanuzi wa swali...
  19. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM imejipanga kujibu mapigo kwa hoja kuelekea uchaguzi

    Katibu wa Idara ya Uhamasishaji kutoka Umoja wa vijana UVCCM Taifa, CDE Jessica Mshana amesema umoja huo upo tayari kujibu hoja mbalimbali zitakazotowela juu ya chama hicho, kuelekea katika uchaguzi Mkuu mwaka huu. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia...
  20. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwabukusi amuomba Rais atoe ruzuku kwa taasisi zinazotoa msaada wa kisheria

    Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi akiwa katika kampeni ya samia Legal Aid inayoendelea mkoani Arusha hapo jana tarehe 05/03/2025 alisema kuwa kuna umuhimu sasa kwa Rais Samia Suluhu Hassan kutoa ruzuku kwa taasisi zinazotoa misaada ya kisheria kwa wannachi...
Back
Top Bottom