kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Musoma Mjini wataka Julius Mwita aombe radhi ndani ya siku 14 baada ya kuipinga "No Reforms No Election"

    Wakuu, Wanachama wa CHADEMA Jimbo la Musoma mjini kimemtaka Julius Mwita aombe radhi ndani ya siku 14 kwa kupinga kampeni ya ‘No Reforms, No Election’ na kuidhalilisha kampeni ya tonetone, la sivyo atafutiwa uanachama na kuzuiwa kushiriki jukwaa lolote la chama hicho. Makada hao wamelaani...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mkuu, Majaliwa: Serikali imetoa ruzuku ya TSh 13.17 bilioni kwa Vyama vya Siasa

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameeleza kuwa Serikali imetoa ruzuku ya Shilingi Bilioni 13.17 kwa vyama vya siasa vyenye sifa ya kupata ruzuku hadi kufikia Machi 2025. Hatua hii imeendelea kusaidia kuimarisha na kuendeleza uendeshaji wa shughuli za vyama vya siasa nchini. Aidha, Ofisi ya Msajili...
  3. JamiiForums Tanzania Baadhi ya maneno ya kufuru ya baadhi ya wana CCM!

    1)"Tuta Tawala Milele" Kumbuka Umilele ni wa Mungu pekee 2)"Tuta Tawala mpaka Yesu arudi" , Masihi wa BWANA anashirikishwa kwenye Siasa za ghiriba 3) "CCM kushinda sio lazima Mungu apende," Wanachagizana kuhujumu uchaguzi,wanaamini hata asiporidhia Mungu wanashinda. 4) "Unaiba kura Kwa njia za...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu ataja mambo wanayoyataka ili CHADEMA ishiriki uchaguzi

    Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema, amesema chama chake hakitashiriki Uchaguzi Mkuu ujao bila kufanyika mabadiliko sita muhimu ya mfumo wa uchaguzi, akisisitiza kauli yao ya “No Reforms, No Election” akiwa katika Operesheni ya Kanda ya Kusini wilayani Namtumbo, Ruvuma. Mambo hayo sita ni...
  5. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mahinyila: Wametunyima uwanja sasa tutaandamana

    Maneno mazito ya Mwenyekiti wa Baraza la Vijana CHADEMA Taifa, Deogratius Mahinyila, wilayani Tunduru kulaani tukio la kunyimwa uwanja wa kufanya mkutano Makamu Mwenyekiti wa John Heche. Amesema hawatutakubali tena polisi watuchagulie eneo la kufanyia mikutano kisha akawataka wananchi...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kiongozi wa CHASO na BAVICHA Ukonga ahamia CCM, atubu na kuwaasa vijana

    Aliyekuwa Katibu wa Vijana wa Vyuo vikuu Mtandao wa Wanafunzi (CHASO) wa Mkoa wa Dar es Salaam na Mwenezi wa Baraza la Vijana wa CHADEMA Jimbo la Ukonga Ndugu Eliah Mlewa Rasmi amehamia Chama Cha Mapinduzi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Simbachawene: Serikali kudhibiti Rushwa Uchaguzi 2025. Wagombea, Vyama na Wapambe kuchunguzwa vyanzo vya mapato yao

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema Serikali imejipanga kikamilifu kupambana na kudhibiti rushwa katika kipindi hiki cha Uchaguzi ikiwa ni pamoja na kufanya uchunguzi kuhusu vyanzo vya Mapato ya Wagombea, Wapambe wao na Vyama...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Yawezekana tabia ya udalali wa kisiasa ndio ilipelekea CHADEMA wasitangazwe washindi kwenye Chaguzi

    Akili zangu za usiku wa kuamkia leo zimenituma kuwaza hivyo. Yawezekana katabia ka kufanya udalali ndiko kalikokuwa kanazuia CHADEMA wasitangazwe washindi ngazi ya Rais hata kama ni kweli walikuwa wanashinda Mabadiliko ya uongozi ndani ya CHADEMA yamenifanya nione tofauti na kuwaza hiki...
  9. JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi mpya 2025 CHADEMA itakuwa imegawanyika na ajabu mchakato upo kwa msajili wa vyama!!

    Wakuu hali si.......hali!! Kutokana vuta nikuvute iliyopo katika CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kwa sasa ni zao la uchaguzi mkuu uliofanyika hikaribuni ndani ya CHADEMA na Antipas Tundu Lisu kuibuka mshindi kwa kishindo na mbwaga mpinzani wake Ndugu Aikaeli Freeman Mboe kwa kishindo kikubwa...
  10. JamiiForums Tanzania Mwisho wa CCM utakuwa ni mbaya sana

    Tujifunze kupitia nyakati tofauti zilizopita, walikuwepo watu wenye nguvu sana hapo zamani lakini mwisho wao ulikuwa ni mbaya sana Wapo waliojifanya Wana nguvu na wengine madikteta uchwara lakini vifo vyao vilikuwa vya kinyonge sana....ccm ichakachue inavyoweza, iwanunue chadema inavyoweza...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Unadhani ni kwanini kampeni ya tone tone kuichangia pesa CHADEMA kidigitali imekwama kwenye hatua za mwanzo kabisa?

    No reform no elections ya Lisu, imefeli vibaya kama ilivyoshindwa na kukauka kabisa kampeni ya kuchangia pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone ya Lema. Unadhani , Nini sababu ya yote haya kutokea chini ya uongozi mpya wa Chadema? Ni kwasababu kampeni hiyo haikueleweka vizuri kwa wanachadema...
  12. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Deus Kibamba: Uchaguzi usogezwe mbele tujadiliane Mageuzi ya Kisheria na Katiba. Kwa Sasa Uchaguzi hauna maana.

    Mwanadiplomasia Nguli na aliyekuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Ktiiba Nchini amegongelea msumari wa No Reform no Election. Amebainisha hayo akisema kwa sasa uchaguzi umepoteza maana kabisa na kupoteza heshima kwa wagombea na wapiga kura. Mchambuzi mahiri wa siasa, maendeleo, mwanadiplomasia...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pale Wasafi anayejielewa ni ni Edo tu, CHADEMA wanateswa na denial

    Oscar Oscar una Intelligence duni na huna maturity kwenye Political Science. It is better to shut up kuficha Ujinga. Big Up Edo, huwa napenda kukusikiliza na most of the time upo kwenye Present Moment and realistic: Baadhi ya Wanachama wa CHADEMA wapo kwenye DENIAL ya kukubali kuwa Lissu ndio...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CP Mkumbo: Jeshi la Polisi lipo tayari kikamilifu kulinda amani kwenye Uchaguzi 2025

    Kamishna wa Intelijensia ya Jinai kutoka Makao Makuu ya Polisi, CP Charles Mkumbo, amesema jeshi hilo lipo tayari kwa ajili ya kutekeleza majukumu yake ya kulinda raia na mali zao na kuzuia vitendo vyote vya uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwita: 'No Reforms, No Election' Tunayoijua haikusema tususie Uchaguzi!

    "Demokrasia ndio inayowafanya mrudi mzungumze na katika kuzungumza mnapata jambo moja. CHADEMA ni taasisi ambayo inaongozwa na instrument's mbalimbali, lakini instrument namba moja inayoongoza ni Katiba ya CHADEMA ambayo imesajiliwa kwa Msajili wa vyama vya siasa, ndio mwongozo namba moja wa...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchome amuomba Msajili kutengua maamuzi ya Baraza Kuu la CHADEMA kwa kukiuka Katiba

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Mwanga, Lembrus Mchome amesema amemuomba Msajili wa vyama vya siasa kutengua maamuzi ya Baraza Kuu la chama hicho yaliyofanyika kwenye kikao cha Baraza Kuu kilichofanyika Januari 22, 2025 kwa kuwa kilikuwa na kasoro...
  17. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa kada wa CCM Godfrey Malisa atinga kortini kupinga Samia kuwa mgombea urais

    Aliyekuwa kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Godfrey Malisa, amewasilisha maombi kortini akiomba uanachama wake ulindwe, ili afungue maombi ya kupinga mchakato wa kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais. Dk Malisa amewasilisha ombi hilo akiomba mahakama itoe zuio la muda kwa...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche anyimwa Uwanja Tunduru, alazimika kufanya Mkutano kando ya Barabara

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche leo Aprili 8, 2025, amelazimika kufanya mkutano wake nyumbani kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Tunduru Kaskazini Mzee Mandunda Mandunda, kilomita 2 kutoka mjini baada ya kukosa uwanja wa...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lembrus Mchome: Tundu Lissu hana tofauti na Magufuli ni dikteta uchwara

    Kiongozi wa Chadema wa Wilaya ya Mwanga ameeleza waandishi wa habari kwamba Lissu ni dikteta sawa na JPM. Mchome ameeleza hayo wakati akiongea na waandishi wa habari. Mchome amelalamika chama chake kushindwa kuifanyia kazi barua yake ambayo inaonyesha Mnyika, Golugwa na wengine kwamba...
  20. JamiiForums Tanzania Sikumuelewa Lissu na wala sikumuunga mkono awe Mwenyekiti lakini sasa nakubaliana naye 100%

    Waliosema muda ni mwalimu mzuri wala hawakukosea, wakati wa mchakato wa kumpata mwenyekiti wa Chadema sikutaka Lisu ashinde niliunga mkono Mbowe atosha. Lakini kama unavyojuwa muda sasa unaongea kumbe siasa za maridhiano ni mradi wa watu wachache chamani huku Watanzania wengi wakiendelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…