kueleka 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Baadhi ya Wananchi wa Masasi washikilia msimamo thabiti wa kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025

    Shaha Nurdin Mussa, mkazi wa Kitongoji cha Mkuti B, Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, ameeleza kwa msisitizo kuwa wananchi wa Masasi wameshikilia msimamo thabiti wa kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Kwa mujibu wa Shaha, hata ndani ya chama cha CHADEMA, kuna wanachama ambao...
  2. M

    Yanayoendelea CHADEMA ni marudio tu ya historia

    Kumewahi kuwa na mapambano ya kambi 2 tofauti ndani ya vyama vya upinzani toka mwaka 1995 CUF ya Maalim Seif Vs CUF ya Prof Lipumba KNCCR ya Agustine Mrema Vs NCCR ya Masumbuko Lamwai NCCR ya James MBATIA Vs NCCR ya Joseph Selasini Sasa ni CHADEMA ya Tundu Lissu Vs CHADEMA ya Freeman Mbowe...
  3. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mbunge Jesca Kisho abubujikwa na machozi changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi wa Singida

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mheshimiwa Jesca Kishoa, ameonesha kuguswa na changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi wa Kata ya Mwanga, Wilaya ya Mkalama, mkoani Singida, kufuatia ziara yake ya kuwatembelea na kusikiliza matatizo yao. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  4. Gilbert A Massawe

    PreGE2025 Tetesi: Vyama 7 Kuungana Kushiriki uchaguzi Mkuu

    Kumekua na Mkakati wa Vyama 7 kuungana na kumsimamisha Mgombea Urais uchaguzi mkuu wa October Duru za Ndani zinasema Vyama Hivyo Tayari wapo kwenye hatua za mwisho kutangaza kumuunga mkono Mgombea atakayependekezwa. Za ndani zaidi zinadai Vyama Hivyo Vinamvizia Luhaga Mpina kuwa mgombea wao...
  5. L

    PreGE2025 Tuongee uhalisia: CHADEMA wanaweza zuia uchaguzi kweli? Mrema yupo sahihi. Lissu ashauriwe

    No election no reform ni idea haitekelezeki. Je Lissu halijui hili, Je ameshindwa kutumia kutumia busara kuondoa huu mtanziko. Hivi lissu kiakili za uongozi anazo kweli, akisusia uchaguzi atapata nini? Ukimsikiliza Mrema ana hoja utazuiaje uchaguzi wakati Huna hiya mass. Watanzania wenyewe...
  6. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Viongozi wa CCM Musoma Mjini wagomea maadhimisho ya Wazazi kwa sababu ya mvutano wa Kisiasa

    Baadhi ya Viongozi wa CCM wa Kata Matawi, pamoja na Wilaya wanadaiwa kugomea kushiriki maadhimisho ya Wiki ya Jumuia ya Wazazi ya Chama hicho, Jimbo la Musoma Mjini, kutokana na joto la kisiasa linalofukuta ndani ya chama hicho baina ya watia nia wa Ubunge pamoja na Mbunge aliyepo Madarakani...
  7. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 CCM Geita: Katibu Mwenezi awatetea vijana wanaotaka kugombea 2025, awataka viongozi kuacha kuwabeza

    Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Geita, Gabriel Nyasiru amewacharukia baadhi ya Viongozi na Wanachama wa Chama hicho kuacha tabia ya kulibeza kundi la Vijana kwa madai ya kutaka kuchukua Fomu za kugombea nafasi za Uongozi katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 huku wakidai baadhi yao...
  8. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Wasira kuna Mtu mmoja adaiwa kutoa laki moja kwa Wajumbe kila Mwezi kujitengenezea mazingira ya kugombea 2025

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amefichua kuwepo kwa tuhuma za mtu mmoja anayehusishwa na kugawa fedha kwa wajumbe wote wa CCM Wilaya ya Ilala kiasi cha shilingi laki moja kwa kila mwezi, kwa lengo la kujitengenezea mazingira ya jina lake kupitishwa katika...
  9. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 LGE2024 ACT Wazalendo: Uchaguzi wa serikali za Mitaa uliofanyika Mwezi Novemba 2024, ufutwe na ufanyike upya 2025

    Chama Cha ACT Wazalendo leo Jumapili Aprili 06, 2025 kimetoa msimamo wake kikitaja uchaguzi wa serikali za Mitaa uliofanyika Mwezi Novemba 2024, ufutwe na ufanyike upya sanjari na uchaguzi wa kuwachagua madiwani, Wabunge na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hapo Oktoba mwaka 2025. Katika...
  10. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 CHADEMA Tabora: Sisi tutaendelea kuwatambua hawa G55 kama ni wasaliti kwa mujibu wa Katiba ya Chama

    Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Tabora na Kanda ya Magharibi, wakiwemo watia nia wa ubunge katika majimbo mbalimbali, wamejitokeza hadharani kulaani vikali kundi la G-55 lililoibuka ndani ya chama hicho, wakilituhumu kukiuka misimamo halali na maazimio...
  11. Erythrocyte

    PreGE2025 Mbunge wa Ruangwa akalia kuti kavu, ni baada ya kusombwa na Mafuriko ya No Reform No Election

    Mbunge huyo ambaye hakufahamika Jina lake, Anatajwa kuwa ni miongoni mwa Wabunge wa CCM waliopita bila kupingwa kwenye ulioitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020. Mbunge huyo anayetajwa kama Kigogo wa Serikali, leo Amepewa za Uso nyumbani kwake kutokana na namna Wagombea wa Upinzani walivyoteswa kwenye...
  12. B

    PreGE2025 Kishoa: Hakuna mtu wa kuweza kuzuia uchaguzi, uchaguzi utakuwepo

    Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Singida ,Mhe Jesca David Kishoa amepinga vikali kampeni ya No Reform No Election inayofanywa na Chama Cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kikishinikiza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokufanyika mpaka pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi...
  13. Knock life

    PreGE2025 Rais Samia ndo Rais ambaye anakutana na upinzani wa kweli tangu mfumo wa vingi uanzishwe Tanzania

    Kiufupi namuonea Sana huruma simuoni akitoboa na kuendelea kuwa Rais . Hoja za Lissu ya kuwa "huruma sio malezi" inaenda kumuharibia nafasi ya yeye kuchaguliwa Kama Rais wa Tanzania.
  14. ChoiceVariable

    PreGE2025 Lissu: Kuna haja ya kufanya maamuzi magumu ili kulazimisha mabadiliko

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu amesema kuwa viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa muda mrefu wamekataa kufanya mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi hivyo kwa sasa wanalazimika kufanya maamuzi magumu ili kulazimisha mabadiliko. Kupata matukio na...
  15. Dalton elijah

    PreGE2025 James Kabepele Mwenyekiti wa CHADEMA Tabora, Amekanusha Kusaini Waraka Wa G55

    Mtia saini namba 55 katika waraka wa watia nia wa ubunge 55 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) 2025, maarufu kama G55 James Kabepele, amekana kuhusika katika waraka huo akiwataja wahusika kuwa ni wasaliti wa Chama. Kabepele ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Tabora...
  16. M

    PreGE2025 CCM Simiyu yaanza zoezi la ugawaji wa kadi za Kielektronik kwa wanachama wake

    Katibu wa CCM mkoa wa Simiyu, Eva Michael Degeleki amezindua zoezi la ugawaji wa kadi za kielektroniki mkoani humo. Uzinduzi huo umefanyika leo April 6,2025 katika,Tawi la Old Maswa lililopo katika Kata ya Nyakabindi,Wilaya ya Bariadi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  17. figganigga

    PreGE2025 Tundu Lissu apokelewa kwa furaha na Vifijo Nachingwea. Je, ni ngome ya CHADEMA?

    Tundu Lissu apokelewa kwa furaha Nachingwea. Je, ni ngome ya CHADEMA? Hakika CHADEMA ndo chama kikuu cha Upinzani. CHADEMA wanaendelea kutoa elimu ya No reforms no Election kanda ya kusini.
  18. Yoda

    PreGE2025 Huu mwaka mgumu sana kwa CHADEMA, kitatoboa kweli?

    CHADEMA inapitia tanuru la moto mwaka huu, 1. No reforms, no election bado haijaeleweka. 2. G55 wanataka kukipasua chama 3. COVID-19 wanataka kurudi 4. Uchaguzi mkuu uko njiani, tume wanaendelea kuandikisha wapiga kura! 5. Mfumo nao bado unawawinda
  19. funaku

    PreGE2025 Tofauti na CCM katiba ya Chadema haijataja dhumuni kuu la kisiasa ambalo kushinda uchaguzi na kuunda Serikali

    Hii ndio maana halisi ya tunachokiona sasa na tafsiri kwa nini chama hiki kazi yake ni kuzua taharuki badala ya kufanya siasa safi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
  20. Nipe Maji

    PreGE2025 Mkuchika akabidhi pikipiki 7 zenye thamani ya shilingi milioni 22 kwa vijana wa Kakonko

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum), Mhe.George Mkuchika amekabihi pikipiki Saba zenye Thamani ya Shilingi Mil.22 kwa kikundi cha waendesha pikipiki (bodaboda) Itumbiko kilichopo Wilayani Kakonko ikiwa ni Fedha za mkopo Asilimia Kumi unaotolewa na Halmashauri kwa Wanawake, Vijana...
Back
Top Bottom