kueleka 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    PreGE2025 Chama kile kitaiba kura ya nani ikiwa CHADEMA itasusia na kuandamana siku ya uchaguzi?

    Hellow! Kanuni ya wizi Iko hivi, Ili uibe, lazima wa kuibiwa awepo, na kitu Cha kuibwa kiwepo pia(subject matter). Ni kweli, mwizi akikosa Cha kuiba, anaweza kuvua shati lake, akaliacha pale, akarudi kinyume nyume akajificha, akarudi akinyatia na kuliiba shati lake mwenyewe Ili tu ajifariji...
  2. Ojuolegbha

    PreGE2025 Balozi Nchimbi afunga kazi Ruvuma

    BALOZI NCHIMBI AFUNGA KAZI RUVUMA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amehitimisha ziara yake ya siku tano mkoani Ruvuma, akisisitiza kuwa CCM itaendelea kuwa chama cha wanachama, kwa ajili ya kuwatumikia wananchi wote na kuwa mtetezi wa wanyonge...
  3. Waufukweni

    PreGE2025 Lema kuanika hadharani majina ya vigogo waliopo nyuma ya pazia sakata la G-55

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema anapanga kuweka hadharani majina ya vigogo wanaodaiwa kuwa nyuma ya pazia la sakata la G-55, akibainisha kuwa baadhi yao wamekuwa wakinufaika kifedha kupitia mradi huo huku wengine wakitumika kama...
  4. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Doyo Hassan: Rais Samia amefanya kazi nzuri sana, lakini mimi nitagombea Urais dhidi yake kwani ni haki ya kikatiba

    Kupitia kipindi cha One on One with Doyo Hassan Doyo, Mgombea Urais wa Tanzania 2025 kupitia chama cha NLD amesema ingawa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya kazi nzuri sana katika uongozi wake lakini yeye atagombea Urais dhidi yake kwani ni haki yake kikatiba. Soma Pia: Hassan Doyo achukua Fomu...
  5. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Katibu wa CHADEMA kanda ya kati: Tukikosa viongozi ambao si chaguo halali la Watanzania, hatuwezi kupata mabadiliko ya kweli

    Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kati, Ashura Masoud, amewataka wanachama wa CHADEMA wenye maumivu ya uchaguzi kujenga mshikamano badala ya kujitenga au kupinga msimamo wa chama, akibainisha kuwa hatua ya kujitenga ni sawa na kuunga mkono Chama cha Mapinduzi (CCM)...
  6. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Katibu wa jumuiya ya wazazi CCM: Madiwani rudini kwa wananchi muwaeleze mlichofanya

    Katibu wa jumuiya ya wazazi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Hilary Kipingi amewataka madiwani wote katika wilaya hiyo kuhakikisha wanaandaa mikutano kuwaeleza wananchi mambo waliyoyatimiza katika kipindi chao cha uongozi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  7. Allen Kilewella

    PreGE2025 Waliosema hakuna kuhama chama wanataka kuharibu chama CHADEMA

    Wakati wa kampeni ndani ya CHADEMA, kuna baadhi ya watu walikuwa wanawaambia wafuasi wa Lissu kuwa "hakuna kuhama chama" kama wakishindwa uchaguzi ule. Leo hii lile kundi lililokuwa linawaambia wenzao kuwa hakuna kuhama chama, lenyewe ndiyo limo kwenye harakati za kutaka kuharibu chama. Mengi...
  8. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Katibu wa Hamasa UVCCM: Vijana tangulizeni utu mbele, na kutodharauliana bali tulijenga Taifa bila kuogopa

    Katibu wa Hamasa na chipukizi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana UVCCM, amewataka Vijana wa Kitanzania kutanguliza utu mbele, kutodharauliana na kuhakikisha kuwa wanapambana katika kulijenga Taifa bila kuogopa chochote wala kujionea huruma wanapotaka kufanya maamuzi katika jambo lolote. Mshama...
  9. R

    PreGE2025 Je, Hoja ya No Reforms no Election ikipuuzwa, inaweza kuibua upya madai ya Tanganyika?

    Hellow! Kuna mfumo usioonekana unazidi kuleta mtikisiko mkubwa unaoibua hisia za mabadiliko ya kimfumo mwaka huu, Narudia kusema, CCM imekosea sana kutaka kufanya uchaguzi wa mwaka huu kuwa ni uchaguzi wa ngwe ya pili ilhali huu ni uchaguzi mpya, ilani ni mpya. Uchaguzi ni mpya, na mambo hayo...
  10. Tlaatlaah

    PreGE2025 Uchaguzi mkuu wa Tanzania hauwezi kuahirishwa wala kuzuiwa na na kelele au mayowe ya vibaka na matapeli wa kisiasa nchini

    Uchaguzi wa Tanzania, ni uchaguzi unaofanyika kikatiba kila baada ya miaka mitano. Ni uchaguzi ambao haufanyiki kutokana na maoni au mapendekezo ya serikali, chama cha siasa, asasi ya kiraia, taasisi ya dini, kabila wala shinikizo la kundi lolote la watu kutoka ndani au nje ya nchi, bali ni...
  11. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mbunge aja na kitabu kinachoeleza kazi za rais Samia jimboni kwake

    Mbunge wa jimbo la Same Mashariki Anne Kilango Malecela ameandika na kusambaza kwa wananchi kitabu chenye kurasa 139 Kinachoeleza miradi ambayo imetekelezwa na Rais Samia Suluhu Hassan katika jimbo hilo. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  12. figganigga

    PreGE2025 Kanda ya kusini: John Heche apokelewa Newala. No reforms no Election

    Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche Newala #NoReformsNoElection
  13. JanguKamaJangu

    PreGE2025 Tundu Lissu awasema Askari kwenye mkutano wake, awaambia wana maslahi duni

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu akieleza namna ambavyo askari wanakatwa mishahara yao. Video: Mwendokasi TV
  14. MamaSamia2025

    PreGE2025 Kama sio nguvu ya soda Lissu yuko sahihi ila itabidi awachukulie hatua wote walio kinyume na msimamo wa chama

    Nimeona nitoe maoni yangu kuhusu hii fukuza fukuza iliyoanza huko CHADEMA chini ya Tundu Lissu. Ni jambo limeshangaza wengi kwa chama cha demokrasia kukataa maoni tofauti na kutotaka kabisa mjadala kuhusu maamuzi yaliyofanyika. Kwa upande wangu naona Lissu na genge lake la kamati kuu wako...
  15. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwenyekiti UVCMM Dodoma: Uchaguzi Mkuu usipofanyika serikali iliyopo madarakani haitotambulika

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba, amesema endapo Uchaguzi Mkuu hautafanyika kama ilivyopangwa, serikali iliyopo madarakani inaweza kukosa kutambuliwa kitaifa na kimataifa. Mwanyemba ametoa kauli hiyo wakati wa Mkutano Maalum wa...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    PreGE2025 Tume Huru na ya Haki ya uchaguzi inahusu Watanzania wote. Hata WanaCCM wanaihitaji. Sio kuziabudu baadhi ya Familia za viongozi Kutafuta huruma

    Bila Shaka hamjambo! Hata Wana CCM wengi wamechoka kuabudu na kuogopa baadhi ya familia za viongozi. Hakuna mwana CCM anayependa kuwa Chawa, au mzazi anayefurahia kuona mtoto Wake aliyemzaa anakuwa Chawa WA watu wengine. Yaani umzae mtoto wako, umsomeshe na kumlea kwa jasho na Damu ili mwisho...
  17. The Palm Beach

    PreGE2025 Frank Nyalusi: G55 ni kikundi cha wasakatonge. Wamefeli hata kabla hawajaanza

    https://youtu.be/Fb3MoEVaBF0?si=wM-FkXAimnUm9d2R ➡️Huyu ni katibu wa CHADEMA mkoa wa Iringa, Kanda ya Nyasa.... ➡️Awaonya kutumia jina la G55 la wazee wa zamani, wazee wa heshima waliokuwa wanaipigania Tanganyika... ➡️Awapa jina sahihi linalowastahili kuwa wanapaswa kuitwa "Kikundi cha Wasaka...
  18. Lord Diplock MR

    PreGE2025 Kwa Tundu Lissu ameepuka mpasuko mkubwa zaidi ndani ya CHADEMA

    Wataalamu wa mambo wanasema unapokutana na shetani wawili mbele yako chagua shetani mwenye nafuu, kwa kizungu "choose the lesser evil". Kama CHADEMA ingekubali kushiriki uchaguzi ingeenda kukumbana na mpasuko mkubwa zaidi. Watu hawajui hili baada ya Lissu kushinda uenyekiti wa CHADEMA...
  19. Knock life

    Hoja za G55 naomba wasomi na darasa la saba karibuni tujadili hizi hoja za hawa G55 bila kutumia mihemko ya kisiasa bali mantiki

    Wakuu . G55 wamejinasibu Kama wapo tayari kuongia katika uchaguzi October -2025. Hoja zao ni hizi hapa Endapo Chadema isiposhiriki uchaguzi Mkuu watakosa haki ya wao kuendelea kuwa chama kikuu cha upinzani. Na Endapo wasiposhiriki uchguzi chama kitakosa ruzuku hivyo kitashindwa kujiendesha ...
  20. figganigga

    PreGE2025 ‘Bon Yai’ Meneja Kampeni wa Freeman Mbowe, ajiunga na Kambi ya Tundu Lissu.. No reforms, no Election

    BONI YAI ABADILISHA GIA ANGANI? Boniface Jacob aka Boni Yai, ambaye alikuwa Meneja Kampeni wa Freeman Mbowe na ni mtu wake wa karibu, amefanya maamuzi kuonyesha kuwa anasimama na uongozi wa Tundu Lissu kwenye No Reforms, No Election. Wafuasi wa Mbowe wamekuwa wanatumiwa na mfumo kuihujumu...
Back
Top Bottom