RC CHALAMILA ATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI JIMBO LA KIBAMBA UBUNGO.
-Amshukuru Rais Dkt Samia kwa kutoa pesa nyingi zinazowezesha utekelezaji wa miradi hiyo
-Ataka usimamizi mzuri wa miradi kwa kuzingatia viwango na thamani ya pesa
-Asikiliza kero za wananchi wa Kata ya Saranga na...
MNEC wa CCM Taifa, Ndugu Joseph Peneza, amechangia milioni 2.5 kusaidia ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Nanyumbu. Akiwa mgeni rasmi kwenye Baraza la Jumuiya hiyo, Peneza pia alishiriki shughuli ya kuchimba msingi wa nyumba hiyo.
Katika kuunga mkono jitihada za...
Picha kwa hisani ya: Mwananchi: https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/matukio-kumi-ya-uasi-wa-mwalimu-nyerere-3805830
Tutake tusitake, sasa ni wazi kwamba, kupitia ajenda ya "No Reform No Election" Tundu Lissu anatekeleza kwa Vitendo Falsafa ya "Uasi" iliyoasisiwa na Mwalimu Nyerere...
Kuna MTU anatengenezewa Kwa bahati mbaya anaingia Kichwa Kichwa , makosa yale yale yaliyomuondoa yeye ndo na yeye anayarudia.
LISSU anajibiwa Kwa HOJA, Madai yake ni ya Wanachi wote, tangu Enzi za Nyalali, LISSU ni Mjumbe alotumwa kuyasimamia .
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
Kwa hivi sasa nchini hakuna mwanasiasa anayekubalika, kueleweka na kupendwa kama Lissu.
Hii ni kwa sababu Lissu ni mkweli, anamaanisha mabadiliko, hana uchu wala tamaa ya vyeo na mali bali ana uchungu wa kweli wa Taifa hili.
Katika blunders kubwa ambazo rais Samia alizifanya punde tu baada ya...
Kwa nini Polisi wamefanya Operesheni ya Kumteka Lissu na Kuvuruga Mikutano ya Chadema huko Tanzania Kusini?
VIDEO: Purukushani za tukio la kukamatwa kwa Lissu na wenzake (Angalizo: Video ina ukakasi)
Picha: Lissu akiwa anadondoka baada ya kulimwa ngwara
Swali Pasua Kichwa
Watanzania...
Katika video inayosambaa mitandaoni hivi leo, Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, anasikika akitoa kauli zilizojaa jazba, dhihaka na matusi kwa serikali, huku akikosa kabisa hoja mbadala au dira ya kisiasa inayojibu changamoto za Watanzania wa leo. Kauli zake zimeacha maswali mengi kuliko...
CCM.wana strategy za kishamba sana. Wanajua leo.watu.wako.busy na simba sasa wanatumia.upenyo huo kumkamata lissu.
Soma Pia: Polisi wamkamata Tundu Lissu akiwa Mbamba Bay
Kwa kweli sisi hizo mbinu zenu za kwenda na propaganda tunazijua vizuri sana. Kauli ni.ile ile No reform No Election.
Jeshi la Polisi limepiga mabomu na kumkamata Tundu Lissu muda mfupi baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wake huko Mbamba Bay mkoani Ruvuma sasa hivi.
TAARIFA KUTOKA CHADEMA
BreakingNews Mwenyekiti wa Chama wa Taifa Mhe. Tundu A. Lissu amekamatwa na Jeshi la Polisi wilaya Mbinga. Mhe. Lissu...
Anasema Lisu nyota yake inangara sana, akiichezea hataipata tena. Anakubalika na kila mmoja. Asipoteze nafasi , asipoteze kete hii.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
*JOKATE NI NGUVU MPYA YA USHINDI WA CCM 2025
*
Kalamu ya: Mrisho H. Kamba – Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Wazazi CCM Taifa
Ndugu Jokate Urban Mwegelo,
Salamu nyingi za pongezi na heshima nyingi kwako. Natumaini ujumbe huu unakufikia ukiwa na afya njema na ari ileile ya kuwatumikia Watanzania...
Mwenyekiti wa BAWACHA Kanda ya Nyasa, amesema kuwa kampeni ya No Reform No Election ni kauli iliyokuwepo tangu siku nyingi hata kabla ya Mwenyekiti Lissu kuingia madarakani, na amelitaka kundi la G55 kujitafakari kwani kwenda kinyume na Chama ni kukosa nidhamu
Katibu wa BAWACHA Mkoa wa Songwe Pendo Willium ameungana na Mkoa juu ya kauli mbiu ya "No Reforms No Election" katika kuhakikisha uchaguzi mkuu Octoba 2025 haufanyiki, kwani chaguzi mbalimbali zilizopita zimewaumiza hasa kwa vyama vya upinzani, ambapo vimeshindwa kupata haki yao ya msingi...
Wanawake tytaandamana kudai haki, na tunaiomba serikali isipuuze hii kampeni ya No Reform No Election, kwani wanachi wamechoka kunyimwa haki haki yao na wataipata kupitia Chadema"-
Mwenyekiti wa BAWACHA Kanda ya Nyasa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
Agnesta Lambert ambaye ni Mbunge wa Viti Maalumu (CHADEMA) amesema kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria itasimama kidete na kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia liyozinduliwa leo Aprili 8, 2025 mkoani Tanga.
Akiwasilisha salamu za kamati hiyo Agnesta amesema kuwa...
Sababu nyingine kwanini no reforms, no election
Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 mimi nilikuwa mratibu kampeni (campaign manager) kampeni za mgombea ubunge (CHADEMA) Bunda Mjini, Esther Amos Bulaya.
Mambo ya hovyo sana yalitokea katika uchaguzi ule na yanakera. Mfumo wa wetu wa uchaguzi bado ni...
Wakuu,
"Tulipoimba ule wimbo pale hatuna tena Deni, na Rais Samia Suluhu Hassan, Mimi ningekuwa mwandishi wa habari, habari yote leo ingekuwa kwenye Taarifa ya Habari, tukicheza kama tulivyokuwa tukicheza, na ikipita ile miradi ambayo imeonyeshwa hapa, mwisho tukawa tumemaliza habari yote...
Wakuu,
CCM B mfitufanye wajinga bana, mnakataa wenyewe makubaliano yenu utafikiri sio nyinyi mlioshiriki kuyaweka halafu mnasema hakuna aliye nyuma yenu, na hao wauza majimbo pembeni hapo? :BearLaugh: :BearLaugh:
=====
"G55 ni kundi la wagombea ubunge wa mwaka 2020 na watia nia wa mwaka 2025...
Wakuu,
"Serikali na Bunge wamepaka rangi sheria ya uchaguzi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa tume huru ya Taifa ya uchaguzi na ndio maana sisi tunaunga mkono No reforms ili kuwe na chaguzi huru, za haki na za amani ili kila mmoja akigombea aone anaweza kushinda.
Sisi hatupingani na chama...
Kwa uongozi huu wa Sasa wa Lissu,Lema na Heche na genge lake wamefeli kwa mengi sana.Hawa watu wanaenda kuuwa chama.
Washauriwe wajiuzuru .Hadi Sasa hakuna hata moja wamewin.Nitahamasisha WANACHADEMA wenye uchungu na hiki chama kufanya maandamano ya amani kushinikiza Hawa watu wajiuzuru kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.