kuchunguza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Spika sikiliza ushauri wa Mpina, iundwe tume kuchunguza kwa nini January Makamba amechelewesha mradi wa JNHP. Pia mizengwe ya bei ya mbolea

    Luhaga Mpina ametoa ushauri mzuri sana. Na hapa ni dhahiri kuwa kuna kitu chini ya kapeti. January amefanya hujuma zake mwenyewe ili mradi usikamilike. Dalili na harufu za hujuma zipo wazi. Huyu Bashe ndio hafai kabisa kwa nini nchi za jirani bei za Mbolea zipo chini kuliko hapa Tanzania.? 👇...
  2. Dorothy Semu: Serikali Iunde Tume Shirikishi Kuchunguza Mapigano ya Loliondo

    OFISI YA WASEMAJI WA KISEKTA TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI: KUHUSU SERIKALI KUINGIZA ARDHI YA VIJIJI 14 LOLIONDO, WILAYANI NGORONGORO, KWENYE HIFADHI JUNE 12, 2022 Utangulizi: Ndugu Waandishi wa Habari Ijumaa ya tarehe 10 Juni, 2022 ACT Wazalendo kupitia Msemaji wa Sekta ya...
  3. Pavu Abdallah: Iundwe Tume ya Kijaji kuchunguza Ukiukwaji Mkubwa wa Haki za Binadamu Nchini

    HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA NDG. PAVU ABDALLAH - 22.04.2022 Tupo katika kipindi ambacho Bunge linaendelea kujadili bajeti za wizara mbalimbali, tarehe 21 April 2022, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ikiwasilisha hotuba ya bajeti kwa...
  4. S

    Rais Samia ili ku-deal kisawasawa na watu hao, unda Tume ya kijaji kuchunguza mauaji ya MKIRU, kina Ben Saanane, Azory, kushambuliwa kwa Lissu

    Kwa mtazamo wangu, hili kundi lina agenda moja ya kufanya viongozi wengine wote waliopita waonekane hawatoshi mbele ya Mwendazake akiwemo Mama aliyeko ofisini leo hii wakati si kweli. Ingawa siikubali CCM na viongozi wake tangu nimeanza kufuatilia siasa za nchi hii, ila siungu mkono huu...
  5. Cristiano Ronaldo avunja simu ya shabiki wa Everton, aomba radhi, Polisi waingilia kuchunguza

    Polisi wa Merseyside wamethibitisha kuwa wanafuatilia taarifa ya tukio ambalo Cristiano Ronaldo wa Manchester United anatuhumiwa kwa kuikwapua simu ya shabiki wa Everton na kuivunja. Tukio hilo inadaiwa lilitokea jana Aprili 9, 2022 baada ya Man United kufungwa bao 1-0 na Everton kwenye Uwanja...
  6. Human Rights Watch yaitaka Ukraine kuchunguza uwezekano wa uhalifu wa kivita

    Shirika la haki za binadamu la Human Rights Watch limeitolea wito serikali ya Ukraine kuanzisha uchunguzi juu ya kile kinachoweza kuwa uhalifu wa kivita, baada ya kuibuka mkanda wa vidio unaowaonyesha wanajeshi wakiwapiga risasi miguuni wafungwa wa kivita wa Urusi. Mkanda huo ulioanza kusambaa...
  7. J

    Simbachawene: Polisi inalishughulikia shambulio la kutumia silaha kwa Tundu Lissu kama uhalifu mwingine na upelelezi unaendelea

    Akijibu swali la mtangazaji wa ITV Midle kuhusu uchunguzi ulipofikia kwenye tukio la kushambuliwa Tundu Lisu mbunge by then mh Simbachawene amesema yapo matukio mengi ya kutumia silaha yanayochunguzwa na hilo la Tundu Lisu siyo special ni uhalifu kama mwingine hivyo yote yanashughulikiwa kwa...
  8. M

    Kigoma: Polisi Wadaiwa kuua raia kwa risasi na kujeruhi wawili kwenye kiwanja cha mpira Lake Tanganyika

    Kupitia Twitter pia, Abdul Nondo Kaandika; -- Askari polisi mwenye namba F.5123 D/ CPL Subira ambaye aliyekuwa na bunduki aina ya AK 47 adaiwa kumuua Juma Ramadhani kwa kumpiga risasi na kuwajeruhi watatu wakati akiwa kwenye harakati za kujihami kwenye vurugu zilizotokea katika kiwanja cha...
  9. S

    Kim Jon-Un: Ktk miaka 5 North Korea itarusha na kuweka angani setilaiti nyingi za kijeshi ili kuchunguza shughuli za kijeshi za Marekani

    Rais wa North Korea, Kim Jong-Un, ameweka wazi kuwa ndani ya miaka 5 North Korea itafunga angani setilaiti nyingi za upelelezi ili kukukasanya na kupata taarifa ndani ya muda muafaka zihusuzo vitendo vya kijeshi vya Marekani na washirika wake wawili, South Korea na Japan. North Korea imefanya...
  10. NBAA inatakiwa kuchunguza madai ya Kigwangala na kama yana ukweli kuwafutia leseni ya kufanya auditing wahusika

    Auditing is a profession na trustworthy ya report is key to stakeholders. Iwapo madai ya Kigwangala yanaukweli upande wake aujachunguzwa na control measures za matumizi ambazo ahusiki nazo kuamua matumizi. Wahusika wa hiyo report wamevunja kanuni za auditing ethics and obligations, makosa...
  11. J

    Waziri Masauni: Serikali haiwezi kukaa kimya wakati wananchi wanauawa. Aunda kamati kuchunguza matukio ya mauaji nchini

    Waziri wa mambo ya ndani mh Masauni amesema amewasikia kupitia mitandaoni mzazi wa polisi aliyefia mahabusu Mtwara na wazazi wa watu waliopotea Dar es salaam wakitoa malakamiko yao, na ameahidu kulifuatilia suala hilo kwani Serikali haiwezi kukaa kimya wakati wananchi wanapoteza maisha. Masauni...
  12. Hivi tungekodi kampuni ya Uingereza kuchunguza makinikia tungejua tulichojua?

    Ndugu zangu Watanzania, kuna watu bado hawajui au hawaamini kama ukoloni na ubeberu ni matokeo ya hila kubwa ya nchi za magharibi na raia wao ikiwepo marekani. Kuna ushirika mkubwa kati ya nchi za kibeberu na makampuni mbalimbali ya nchi hizo linapokuja suala la kuendelea kumiliki uchumi wa...
  13. Kwa miaka mitano kuanzia mwaka 2015 mali nyingi za Chadema yetu zimepotea. Tuunde tume kuchunguza zilipo mali zetu zikiwemo Ford Ranger za M4C

    Ofisi nyingi mikoani zimefungwa huku mali nyingi za chama zikiwa hazijulikani zilipo. Tuunde tume ili kujua mali za chama zilipo. Nyingi ya mali za chama zilipotea kuanzia mwaka 2015 baada ya uchaguzi mkuu. Sio kwamba watu hawaoni wanaona kabisa kuwa mali nyingi zimepotea hovyo hovyo.
  14. Je, CCM ina uthubutu wa kuunda 'task force' ya kuchunguza mali za wanachama wao Viongozi serikalini?

    Kampeni za kuwania kiti cha spika wa bunge la Tanganyika zimepamba moto. Kuna nyuso kongwe chakavu zinatajwatajwa na kujitokeza sana hasa huko vijiweni na mitandaoni baada ya spika mtangulizi kujiuzulu nafasi hiyo mapema wiki iliyopita. Hata waganga wa kienyeji wameanza kufaidika na hizi...
  15. Ningekuwa mwenye dhamana, busara ingenielekeza kuunda tume huru kuchunguza tuhuma zilizotolewa Mwingira

    Moto hauzimwi kwa petroli, Moto unazimwa kwa maji, mchanga na vitu ambavu si vilipuzi. Serikali ndio mlinzi wetu kwa kutumia vyombo vyetu vya usalama. Kwa vyovyote vile, haiingii akilini mtu kutuhumiwa na kujipa kazi ya kuhoji au kuchunguza. Majibu ya uchunguzi wa namna hii unaleta maswali...
  16. IGP Sirro aagizwa kuchunguza wahitimu wa polisi wanaotaka kupangiwa utrafiki na bandarini

    Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro pamoja na wakuu waandamizi wa polisi kuchunguza sababu za wahitimu wengi wa mafunzo ya polisi kuomba kupangiwa idara ya usalama barabarani na bandarini kama maeneo yao ya kazi na si maeneo mengine...
  17. Wanyakyusa na ujuzi wa Kuchunguza na kupasua maiti

    WANYAKYUSA NA UPASUAJI WA MAITI Afrika haikuwahi kuwa na wajinga kiasi hicho ndio maana watu walifuatwa kufanywa watumwa na kwenda kujenga Ulaya, ila ni lazima kuwalisha waafrika matango pori kwa sababu ya shida zao ili waamini kweli walikuwa wajinga. Hebu leo tutazame kabila la Wanyakyusa na...
  18. Kenya: KRA yatangaza kuchunguza maisha ya wakenya kwenye mitandao ya kijamii

    Mamlaka ya Ukusanyaji Ushuru nchini Kenya (KRA) imetangaza kuwa inaanza kuchunguza mwenendo wa maisha ya raia wa nchi hiyo kwenye mitandao ya kijamii na majukwaa mengine ya kidijitali ili kubaini iwapo mapato yao yanalipiwa ushuru. Mamlaka hiyo inasema kuwa raia wengi wa Kenya wamekuwa...
  19. CCM inapaswa kuchunguza kiasi cha fedha kilichotumika katika ziara za Kinana na Nape?

    Kuna muda huwa tunakaa kimya tu. Hivi ile the so called Ziara ya kuamsha chama ya Nape na Kinana ilikiwa necessary?Kiasi gani cha fedha kilitumika? Can it be accounted for?
  20. Haya mawe ni madini aina gani? naomba mnisaidie kuchunguza

    Habari jf? naomba mnisaidie kutambua kama hii ni mawe ya madini ama la? kuna mtu kaniuliza nimeshindwa kujua
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…