kuchunguza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tume imeelemewa na shuhuda za kweli. Sasa hawataki tena ziende hewani moja kwa moja

    Kwanza iliundwa kimkakati sana Hakukuwa mjumbe hata mmoja nje ya cycle yao.. Wajumbe wote ni makada watiifu wenye maisha mazuri kupitiliza Pili jina lililopewa lilimaanisha kuinasua serikali na tuhuma za mauaji na kuwasakizia wananchi kuwa ndio walifanya vurugu Uongo hupanda lift bali ukweli...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Wamemuuwa wakili Joseph Masanja na wamekataa kuchunguza

    Akizungumza na Jambo TV leo Januari 09.2025, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza namna mawakili wananyanyaswa na vyombo vya dola wakati wanajitoa bure kutetea wananchi. Mwabukusi amerejelea sakata la wakili kupigwa ndani ya mahakama na kifo cha...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya kuchunguza matukio ya Oktoba 29 yakutana Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Jacob Mkunda

    TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu, leo Desemba 30, 2025, imekutana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Jacob Mkunda. - Kikao hicho ni muendelezo wa majadiliano kati ya tume, waathirika wa matukio ya ghasia wakati na baada ya...
  4. Msanii

    JamiiForums Tanzania Aliyetoa amri ya majeshi kuua raia ndiye ameunda tume kuchunguza mauaji hayo

    Rais aliyeapishwa na jeshi lililomsaidia kuiba kura, ndiye aliyetoa amri kutangazwa kwa hali ya hatari iliyopelekea mauaji ya raia zaidi ya 10,000. Ameunda tume anayoìtuma kuchunguza mauaji hayo. Aliyekuwa Waziri wa Afya ambaye alikuwa mbunge wa Peramiho amekufa katika mazingira tatanishi...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Iundwe Tume kuchunguza zile Pikipiki na Baiskeli zenye nembo ya SSH zilitoka wapi, kwa mabeberu, waarabu au pesa za ndani.

    Kama ni watu wa nje tume ituambie walikuwa ni akina nani na walikuwa na nia gani na nchi yetu na walitegemea kupata nini in return, na kama zilinunuliwa kwa pesa za ndani tume ituambie nani alitoa pesa na kama ni serikali tume ituambie zilitoka kwenye fungu gani la bajeti. Serious, sio kwa...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Marekani kuchunguza suala la raia wake kudaiwa kukamatwa na mabomu Tanzania

    Marekani kuchunguza suala la raia wake kuadaiwa kukamatwa na mabomu Tanzania. je, walimbambikizia kesi ? ili wamkamate mwanajeshi wa marekani wakategemea hawato chunguzwa tunajua mamlaka ya Tanzania imezoea uongo uongo na kubambikizia watu kesi za uongo ================= Marekani imesema...
  7. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Mdau ameongezea ufafanuzi kuhusu tume ya kuchunguza vurugu za uchaguzi

    Mdau ameweka ufafanuzi kwenye majina ya tume ya kuchunguza vurugu za uchaguzi. Angalia kushoto mwa kila jina… Angalizo: ni tume ya kuchunguza vurugu, siyo vifo.
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 BAKWATA mkoa wa Morogoro yaunga mkono kufanyika kwa uchunguzi vifo vya Oktoba 29

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Morogoro limeunga mkono agizo la Serikali ya Awamu ya Sita kutaka vyombo vya ulinzi na usalama kuchunguza vifo vilivyotokea baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29. . Sheikh wa Mkoa huo, Twaha Kilango, amesema uchunguzi wa haraka unahitajika ili...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Nitaunda Tume ya Maridhiano na Upatanishi ‘baada ya kujua kiini cha vurugu’

    Rais Samia amesema ataunda tume ya maridhiano na upatanishi na kuanza mchakato wa mabadiliko ya Katiba baada ya kujua kiini cha vurugu kwenye uchaguzi mkuu.
  10. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Azaki zaishauri CCM kuunda tume ya kuchunguza utekaji

    Si dhani kama wanashaurika hawa watu? Ila mimi najuwa wanafahamu kila kitu kinachoendelea na wanauwezo wa kukomesha kabisa hata bila kuundwa hiyo tume ambayo itachukua kodi za wananchi. =================== Asasi Za Kiraia (AZAKI) zaidi ya 300 nchini zimewasilisha mapendekezo kwa Chama Cha...
  11. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Semu: Tutaunda tume ya kuchunguza matukio ya utekekaji

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu amesema kuwa chama hicho kikipata ridhaa ya kuongoza nchi kitahakikisha ndani ya siku 100 kinaunda tume ya kijaji ili itoe majibu ya matukio ya nani wanaohusika kupoteza na kuteka watu nchini . Ametoa kauli hiyo Oktoba 12, 2025 akiwa Kata ya...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi wa Tuhuma

    Nafikiri itakuwa reference Kwa hawa wachunguzi Kuonyesha wanafuatilia kero Za wananchi. 1. Huyu aliyepiga simu kutishia kumpoteza Makurungenzi wa Jamii forum. Mimi Naona evidence zipo ni polisi tu Kuwa na nia ya dhati maana namba zote zimesajiliwa Kwa biometric. 2. Tuhuma wanazotaka Polepole...
  13. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi: Polepole afike Ofisi ya Mpelelezi wa Makosa ya Jinai ili kuthibitisha Tuhuma anazozitoa

    Jeshi la Polisi limemwelekeza aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole afike katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) atoe maelezo na ushahidi kuhusiana na tuhuma ambazo amekuwa akizitoa kupitia mitandao ya kijamii. Jeshi hilo limesema mbali na...
  14. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuchunguza kifo cha Mkapa, Magufuli, Membe, Sitta na Ndugai

    Uchunguzi huru ufanyike na kwa watu huru ambao watatoa taarifa kwa uhuru kabisa bila woga au shinikizo. Hii itasaidia kuondoa hali ya sintofahamu ambayo imejitokeza kwa sasa na kukosekana kwa imani kwa serikali. Hali ni mbaya sana.
  15. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ninaiomba halmashauri kuu ya taifa kuchunguza ushindi wa mgombea aliyeongoza kura za maoni jimbo la Rorya

    Ratiba ya uteuzi wa watia nia kwa nafasi ya Ubunge inaanza tarehe 22 Agosti, 2025. Tayari kura za maoni zilikwishapigwa katika Majimbo yote. Kuna habari kuwa Katika Jimbo la Rorya wapiga kura wengi walinunuliwa kwa Rushwa na hivyo mshindi aliyeshika namba moja hakushinda kwa halali. Ninaiomba...
  16. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 LUWASA yaagizwa kuchunguza changamoto ya miundombinu ya maji Lindi

    Mkuu wa wilaya Lindi, Victoria Mwanziva ameiagiza Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira (LUWASA) kuchunguza uharibifu wa miundombinu ya mradi wa Ng’apa. Hatua hiyo inafuatia malalamiko ya wananchi wa mtaa wa Mtange kukosa maji kwa zaidi ya wiki moja.
  17. Samson Ernest

    JamiiForums Tanzania Taa ya Mungu inayotumika kuchunguza yale yaliyomo kwenye moyo wa mtu

    Mit 20:27 SUV [27] Pumzi ya mwanadamu ni taa ya BWANA; Hupeleleza yote yaliyomo ndani yake. Ukisikia unachunguzwa au unafuatiliwa nyendo zako zote, inaweza kukushtua na kukuongeza umakini katika kutembea kwako na kutenda kwako, wengine tunajua tunachunguzwa kila wakati kutokana na kazi zetu au...
  18. N

    JamiiForums Tanzania MAREKANI YADAI kuchunguza ripoti za mateso za mwanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi na Agather Atuhaire wa Uganda nchini Tanzania; inataka uchunguzi

    https://nation.africa/kenya/news/africa/us-demands-answers-from-tanzania-on-boniface-mwangi-agather-atuhaire-torture-claims--5055008?fbclid=IwY2xjawKedsVleHRuA2FlbQIxMQABHukqJTQqQdD9M6_P7IAPsxMA2SmVPDulEpTFYPt8dKYcN4gL5jg93slqRle4_aem_Z13cOlvjRQOfJnicy5KMJg
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakifanikiwa kuwashawishi ICC kuja kuchunguza kutekwa na Kupotezwa kwa Wanachama wake na Watanzania, Rais, DGIS na IGP jiandaeni kwenda ICC

    Hivi juzi aliyekuwa Rais wa Ufilipino, Bwana Rogrigo Duterte amekamatwa akiwa uwanja wa ndege wa nchi yake kutokana na operesheni zilizofanyika akiwa Rais za kuwaua Watuhumiwa wa Dawa za Kulevya. Bwana Duterte amekamatwa kutokana na Hati ya Kukamatwa iliyotolewa dhidi yake kwa makosa dhidi ya...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Tunamtaka Rais Mwinyi, kuunda Tume huru kuchunguza matukio ya Mauaji ya Raia

    Tunamtaka Rais Mwinyi, kuunda Tume huru kuchunguza matukio ya Mauwaji ya Raia) ACT Wazalendo tunalaani vikali tukio la mauaji ya kinyama dhidi ya Ndugu Juma Ame Ngwali, mwenye umri wa miaka 58, mkazi wa Kijiji cha Ndooni, Shehia ya Uweleni, Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba. Marehemu...
Back
Top Bottom