kuchangia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jumanne Mwita

    Jirani zangu walikataa kuchangia nguzo ya umeme, sasa nimeileta mwenyewe wanalazimisha kuitumia na wao

    Naomba ushauri na kueleweshwa kutoka kwenu wana-JamiiForums wenye uzoefu au uelewa wa masuala ya umeme ukinunua nguzo (TANESCO). Ninaishi Katoro eneo ambalo naishi kwa muda mrefu halikuwa na umeme. Mwaka huu mradi wa umeme umefika, nguzo zimepandishwa na nyaya za msongo wa chini zimepitishwa...
  2. Allen Kilewella

    Kuna watu eti wanataka kumchangia yule Ng'ombe

    Nasikia kuna watu wapo bize kutafuta habari za yule Ng'ombe kutaka kujua hali yake baada ya ile ajali. Kuna diaspora mmoja kasema kama huyo Ng'ombe atahitaji matibabu mazuri zaidi anaijua Hospitali moja mahiri ya UC Davis Veterinary Hospital iliyoko California huko Marekani. Na kama aliuawa...
  3. H

    Vijana wengi wanakosa taarifa sahihi juu ya mikopo inayotolewa na halmashauri kwa ajili ya kujiajiri, hali inayowarudisha nyuma kiuchumi na kuchangia

    Ukosefu wa Uhamasishaji wa Kutosha: Wengi wa vijana hawajui kuwa halmashauri hutenga asilimia 10 ya mapato yake ya ndani kwa mikopo ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu (kila kundi asilimia 4, 4, Viongozi wa halmashauri hawafanyi kampeni za kutosha kuwafikia vijana katika kata, vijiji au...
  4. Kurunzi

    Napendekeza Uundwe Mfuko Maalumu wa Kuchangia Fedha Familia zilizopoteza ndugu zao au Walijeruhiwa Kwenye Maandamano ya 29/10/2025

    Tarehe 29/10/2025 ni siku ambayo haitasahaulika Katika historia ya nchi yetu ni siku ambayo ulifanyika uchaguzi ( Uchfuuzi) sambamba na kuwepo kwa maandamano ambayo baadhi ya watu wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa. Maandamano haya, ingawa ilikuwa ni njia ya watu kutoa sauti zao kuhusu...
  5. The Father of All

    Kwanini wana JF wengi hawapendi kuchangia nyuzi za kimombo?

    Nimekuwa nikifuatilia nyuzi nyingi za kimombo. Nimegundua kuwa hazina wachangiaji, na hivyo wasomaji. Je, tatizo ni lugha au kuna namna?
  6. Hance Mtanashati

    Kama wewe ni mwanachama active wa JF na kuna mada inazungumzwa mahali unapoishi na ukashindwa kuchangia chochote wewe ni sawa na bure

    Kama wewe ni mwanachama active wa JF angalau kwa miaka miwili na kuna mada ikawa inazungumzwa ambayo haitegemei taaluma fulani na ukashindwa kuchangia chochote angalau 50% basi wewe ni sawa na bure na hauna haja tena ya kuendelea kutumia JF maana umeshindwa kabisa kuchota maarifa ya humu. Humu...
  7. SSH2025_2030

    Tetesi: Bilionea Chief Godlove kuchangia Bilioni 50 kampeni za CCM

    Bilionea tokea Pande za Kyela ameahidi kuchangia Chama Chetu kwa 50 b TZS ili kufanikisha kampeni za CCM mwaka huu
  8. V

    WACHINA waliruhusiwaje kuchangia CCM. Sheria zinasemaje ?

    Nchi nyingine wana sheria kali dhidi ya kuchangiwa pesa kutoka nje ya nch au na wasio raia. Hawataki nguvu au mawazo ya watu Urusi iamue nani anatawala Wafaransa, kwa mfano. Kwa saab ni lazima ana lake jambo, la maslahi yake yeye, vinginevyo anajali nini, mambo ya Wafaransa yanamhusi nini...
  9. Ileje

    Yanga ifungiwe na FIFA kushiriki mashindano yo yote ya kimataifa kwa kuchangia CCM!

    Mimi ni mpenzi wa Yanga lakini nimechukizwa sana kwa club hii kujihusisha na mambo ya siasa! Kwamba kwa kuwa Yanga ilishiriki katika kupigania Uhuru wa Tanganyika siyo sababu ya kujihusisha na mambo ya siasa! Eng. Herse anatumia Yanga kwa maslahi yake binafsi ya kisiasa, kwa hiyo natoa wito...
  10. Beira Boy

    Baada ya kuichangai CCM yanga yaona aibu yafunga comment

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Si tu kwamba aibu tunaona sisi wana yanga na mashabiki ya yanga Bali hata wao waliochanga wanaona aibu pia Wamefunga comment huko LONDON BOY
  11. ngara23

    GE2025 Eng Hersi Said kuchangia CCM milion 100 ada zetu za uanachama ni kutudharau sisi wanayanga

    Nimechukizwa na Kitendo cha Eng Hersi Said kutangaza kuchangia milion 100 CCM bila rushwa yetu Wanachama Yanga ni timu ya Wanachama Hiyo milion 100 ilipitishwa na mkutano Gani ikachangie kampeni za CCM Eng Hersi Said umetugawa sisi Wanachama wa Yanga ambao sio Wanachama wa CCM, Au unataka...
  12. Tanganian

    Naomba kuchangia hoja aliyoleta Mheshima Dkt. Dorothy Gwajima , kuhusu kuchangia malezi ya watoto hasa mzazi wa kiume

    Kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kwa Mwenyezi Mungu . Pili ,kwa Mheshimiwa huyu kuwa karibu sana na jamii , napenda aendelee kuwa katika nafasi hii kwa vile anajua wajibu . Naomba kutambua mchango wa wadau wote humu ndani kwa michango yao , kwa pamoja katika kuchangia hoja ...
  13. Technophilic Pool

    Kwanini Serikali haiwekezi Mbeya licha ya kuwa ni mkoa wa 3 kwa kuchangia pato kubwa la Taifa

    Tafadhari mi si wa mbeya Angalia takwimu hizi Dar es Salaam: 17% (Sh32.1 trillion) Mwanza: 7.2% (13.5 trillion) Mbeya: 5.58% (Sh10.5 trillion) Morogoro: 4.8% (Sh9 trillion) Arusha: 4.7% (Sh8.9 trillion) Tanga: 4.65% (Sh8.8 trillion) Mbeya ni mkoa ambao hauna project kubwa ukiringanisha na...
  14. C

    Ninamshangaa Dr Mollel anapolalamika watanzania kuchangia harusi kuliko kuchangia matibabu!Falsafa za kiongozi ndizo hutengeneza mwelekeo wa watu wake

    Binafsi nikiri ni mchangiaji mzuri wa arusi ingawa ni utamaduni wa hovyo sana kukubalika katika jamii wa watu maskini na wanaojitafuta. Kusema kweli wengi tunaoshirikishwa tunajikuta tunalazimika kutoa ili tusiwakwaze ndugu na marafiki kwa kuwa jambo hili hakuna viongozi wa dini hususan...
  15. I

    Hongera Mkuu wa Kituo cha Polisi Igunga kwa kuchangia tone tone!

    Mkuu wa Kituo cha Polisi Igunga ameomba samahani kwa vurugu zilizotokea katika mkutano wa Chadema mjini Igunga. https://twitter.com/Rydx_017/status/1932698774637318410?t=NO05ylCjFuDIiqyK310g0g&s=19
  16. Waufukweni

    VIDEO: Mbunge Felista Njau atuzwa Pesa Bungeni baada ya kuchangia Bajeti ya Mambo ya Ndani

    Mbunge Felista Deogratius Njau akituzwa pesa leo Jumatatu, Mei 26, 2025, bungeni jijini Dodoma baada ya kuchangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani kwa mwaka wa fedha 2025/26.
  17. BLACK MOVEMENT

    Makamanda tunachangia Tone tone? Hili ni la muhimu sana kwa sasa

    Itakuwa ni ajabu sana na mbaya sana kushinda humu kuonyesha jinsi Serikali ilivyo mbaya, jinsi kulivyo na ufisadi, utekwaji wa watu na kadhalika ila hatuchangii tonetone kwa CHADEMA. Katika haya mapambano kama hatuwezi toka front line ni vizuri tukawa tuna wasapoti walio msatari wa mbele wa...
  18. Beberu Mwitu

    Kuishitaki kampuni kwa kutokulipa mishahara na kuchangia NSSF

    Habari za muda huu wana JF, Bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Mimi ni mhanga wa kutokulipwa mshahara kwa muda wa miezi 3 sasa na kampuni moja inayojihusisha na utoaji elimu msingi kwa lugha ya Kiingereza, yaani English Medium. Shule hizo ndio kama waanzilishi wa mfumo...
  19. Naxria abdalla

    Kuipunguza damu ni kuchangia tu au kuna njia nyengine?

    Rafiki zangu nimerudi tena nimeenda hosptal nimepima vipimo wakaniambia nina damu nyingi ambayo ni 17.1 amenambia ndio chanzo naumwa na kichwa pia najiskia vibaya,naomba ushauri kuipunguza damu ni kuchangia tu au kuna njia nyengine?
  20. S U N N Y

    KUCHANGIA FIGO

    Wadau kwa ujumla wenu nyote habari zenu ?? nilitamani kujua utaratibu wa kuchangia figo upoje... (naomba mnijuze) Una madhara kwa mchangiaji ? Nahitaji kujua as nikijua au nikipata Elimu juu ya jambo hili naweza shawishika kuchangia.
Back
Top Bottom