My people,
Ukifuatilia kile kinachofanywa na wanaharakati hakika utashangaa huwa wanafikiria nini?
Baada ya kupanga tarehe za maandamano na Serikali kuchomoa waya kwenye betri kila uchwao,sasa wanakuja na idea nyingine
Wanataka kuandamana siku ya sikukuu ya Krismass,sababu ni kwamba siku hiyo...
Karma,Novena vimeanza kujibu,yule Mzee aliyeenda nyumbani kwa Baba wa Taifa kumsema vibaya kumbe Baba wa Taifa anamsikia dirishani,wengine wanaita press halafu hawatokei wanakatazana wenyewe kwa wenyewe,
Kwa waliosikiliza kwa makini taarifa ya Mathias Gwajima watagundua yafuatayo:
Mosi, Gwajima ni tapeli wa kawaida aliyejificha nyuma ya dini na sasa siasa ambapo anaanza kujiumbua kwa kuonyesha sura na tabia zake halisi.
Pili, Gwajima ameanza kuchanganyikiwa kiasi cha kujichanganya akilenga...
Labda bahati yangu ni mbaya maana kila napogusa jimbo limewahiwa
Ni miezi 8 sasa tangu niwe na huyu mwanaume, ilikuwa kama masikhara lakini nikajikuta nampenda kweli kwa namna anavyonionesha upendo
Pamoja na red flag niliendelea kujiaminisha labda ni uoga wangu na kujipa imani kuwa hakuna mtu...
Wenye kuelewa ndio mtaweza kuelewa hili jambo.
Mnakumbuka ndani ya chama cha CCM kulikuwa na upinzani mkali sana na kila mwenye nguvu alitaka kusimamisha mtu wake anayeweza kumfanya remote.
Jambo lilotokea CCM kuweka makamo wa raisi mwanamke baada ya kuona kuna mgombea mwanamke raisi kupitia...
Hata huko China wameamua moja kwamba jamani sisi Demokrasia hatuna hivyo hivyo huko Russia
Kakini hata Malawi, Zambia, Kenya, Botswana, SA wamechagua kwamba nchi zao ni za demokrasia
Wenzetu wa Uganda na Rwanda ni mfumo wa familia na uongozi wa mtu mmoja
Tanzania hatueleweke mara demokrasia...
Habari za wakati huu ndugu zangu poleni na mfungo wa Ramadhani ndugu zangu waislamu na wakristo poleni na mfungo wa Kwaresma.
Kama kawaida yetu hapa jukwaani ni kushea mawili matatu uliyonayo kama kuna ushauri upatiwe au kujufunza watu wajifunze.
Sasa ndugu zangu mimi kipindi nipo single...
Vita vya maneno vimeibuka katika mtandao wa X kati ya tajiri mbwatukaji Elon Musk na mwanasiasa mbwatukaji toka Afrika Kusini Julius Malema kisa kauli zilizo tafsiri kuwa za kibaguzi toka kwa mwanasiasa huyu kwenda kwa jamii ya wazungu wa Afrika Kusini.
Tajiri Elon hapa kachafukwa anataka...
Jana Tundu Lisu, kwa kutekeleza matakwa, uhuru na haki ambayo chama chake kinatoa kwa wanachama wote, alitangaza nia yake ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Chake Ngazi ya Taifa. Wakati jambo hili ni la kawaida kabisa kwa vyama vyenye demokrasia, huko CCM watu wamechanganyikiwa na kutoa...
Waswahili wanasema kuzaa sio kupata kweli nimeamini.
Kuna binti wa ndugu yangu mmoja huko Kilimanjaro mtoto wake wa kike amemaliza masters ya udaktari hivi karibuni ila kwa bahati mbaya akiwa anafutilia mambo yake ya kazi akapatwa na hali ya kuchanganyikiwa ghafla maana hakuwa anapatikana...
Nimeanza na kitabu cha waebrania sura ya Kwanza mstari wa kwanza hadi wa 14.
Kusema kweli sijaelewa Jinsi Mungu na Mwanae walivyojipambanua.
Aliyeelewa naomba Ufafanuzi wa kina.
Tumezoea matukio mengi ya mashambulio yanapofanywa na wapinzani wa nchi za magharibi huitwa ni mashambulio ya kiuoga.Mtu anaamua kujiripua sehemu fulani au kutumia silaha kushambulia adui hadharani lakini huwa inasemwa ni shambulio la woga tu.
Kwa shambulio hili lililofanywa jana na Israel kwa...
Wakuu nimechoka toka jana sijalala...
Nahisi kuchanganyikiwa...
Nahisi maluwe luwe .
Sielewi kwanini haya yanatokea kwangu...
Nimechoka sasa nimechoka.
Kama mbwai iwe mbwai tuu...
Kwa mtazamo wangu bila kwenda mbali, nikwamba Islael kashindwa vita! alichobaki nacho ni War Madness!. Amebaki kupiga huko na huku akiua watu wasiyo na hatia akidhani anawaua watesi wake, kitu ambacho siyo! Mji wa mwisho kuuteketeza utakuwa ni Rafah, lakini nako ataambulia patupu na mateka...
Kwema Wadau?
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu,Nilikutana na Ex wangu ambaye aliniacha way back akaolewa but hakudumu ndoani alikaa 5 months only then after sometime akaolewa tena lakini hakudumu pia.Sababu ya ndoa zote kutodumu ilikuwa kutopata Mimba kiasi kwamba akasema hawezi kuolewa tena...
Wanaume wawili walikutana kwenye kituo cha basi na wakawa na mazungumzo. Mmoja wao aliendelea kulalamika kuhusu matatizo ya familia yake. Hatimaye yule mtu mwingine wa pili akasema, “unafikiri unayo matatizo ya kifamilia? Sikiliza hali yangu."
"Miaka michache iliyopita nilikutana na mjane...
HiVi Zitto kabwe huu aliofanya si zaidi ya uzalilishaji na ukandamizaji wa haki za binadamu!
Hivi si dalili za Zitto kama kiongozi kuchanganyikiwa?
---
Kiongozi wa kikundi cha Mapigo Tisa cha Kijiji cha Kalinzi Wilaya ya Kigoma, Khalid Isaa (kushoto) akimwongoza kiongozi wa chama cha...
Waheshimiwa nahitaji msaada kwenye hili, hivi inakuwaje mtu hauuzi kabisa dukani kwako kwa siku karibia 20 yani kila siku patupu tatizo linakua ni nini?
Binafsi nimefungua frame nauza mitumba ya kike(gauni) lakini niliuza siku 5 za kwanza tu ila sasa hivi mambo magumu mzigo ni kama umechacha...
Wakuu za mida? nadhani mko poa!
Mimi ni kijana wamiaka24 nilifeli kidato cha nne mkoani huko nikawa nafanya shughuli za kilimo na washkaji zangu huko mkoani. Nilikuwa napata hela za kujikimu na chakula fresh tuu na pia kadri siku zilivyokuwa zinaenda nilikuwa nina mpango wa kulima mazao mengi...
"ASILIMIA 53 ya wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) leo ni wanawake. Sijui wanaume wamekwenda wapi? Rais Mstaafu Dk Jakaya Kikwete na Mkuu wa Chuo amehoji wakati wa Duru ya tano ya Mahafali ya 52 na kuongeza “itabidi tufanye utafiti.”
Chanzo: HabariLeo
Acha kutupotezea muda wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.